mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania vita, mauaji na machafuko si kitu kipya duniani, historia inatufundisha nini?

    Nashangaa kuona watu wanashangaa kana kwamba vurugu za kisiasa, mauaji na matumizi ya nguvu dhidi ya raia ni vitu ambavyo havijawahi kutokea duniani. Hebu tuangalie historia kidogo. Kuanzia falme za kale za China, wafalme wa Ulaya, vita vya kikoloni, mapinduzi, vita vya dunia hadi migogoro ya...
  2. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kuanzia mwakani 2027 kumbukumbu za mauaji ya watanzania (mauaji ya kimbari) zinapaswa kuwa siku ya maombolezo ya kitaifa. Wananchi tuweke mkakati.

    Hakuna haja ya kusubiri watuhumiwa wajadiliane namna ya kukumbuka marehemu wetu. We are the nation.
  3. Megalodon

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini suala la Mauaji ya Oktoba 29 halionekani kuwagusa Viongozi wa juu wa kiislam?

    Suala la Oct 29, 2025 viongozi wa Juu wa kiislam ni kama haliwahusu: uongozi wa TEC ndio umekuwa mstari wa mbele kuhoji uhalali wa mauaji ya Oct 29. Imepelekea ionekane kama hili suala lipo kidini zaidi. Ninaishukuru TEC kwa kutojali huo mtazamo na kuendelea kunenea HAKI BIL BATIL. Naishukuru...
  4. Waterloo

    JamiiForums Tanzania Je Mauaji ya Oktoba 29 sasa kuadhimishwa Kila mwaka?

    Watanzania poleni kwa kumbukizi ya mauaji ya maelfu ya ndugu jamaa na marafiki kufuatia ghasia za uchaguzi mkuu wa mwaka jana maarufu kama mauaji ya oktoba 29. Kwa kweli watanzania wameshindwa kusahau na kumove on. Ni mwaka sasa Serikali hii ya CCM ikijitahidi kumaliza mkwamo huu lakini naona...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mashirika ya utangazaji DW na BBC mtuletee pia kumbukumbu ya mauaji aliyofanya Hitler huko Ujerumani kila mwaka

    DW na BBC walituletea kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu vurugu za October 29 zitokee. Binafsi sikuupenda upuuzi ule hasa kwa kipindi hiki ambacho taifa linajitahidi kurejea katika hali ya kawaida. DW na BBC hawakutaka kuhoji hata mtu mmoja aliyekatwa kidole, kupoteza mali zake kwenye zoezi lile...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watanzania wajitokeza kwa wingi kuomboleza kumbukumbu ya mauaji ya 29.10.2025

    WATANZANIA WAJITOKEZA KWA WINGI KUOMBOLEZA MAUAJI YA 29.10.2025. Tume ya Uchunguzi iliyoundwa na serikali ilitangaza kuwa watu 518 walikufa katika ghasia zilizohusiana na uchaguzi wa Oktoba 2025. Samia Suluhu Hassan ambaye anasema ni rais baada ya mauaji haya, hajatoa fidia kwa majeruhi na...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania waomboleza mauaji ya 29/10

    Today, the U.S. Embassy community joined me to honor the memory of all those who lost their lives in the violence surrounding Tanzania’s October 2025 general elections. We remember them, and the families who still grieve and seek answers. As I said to the U.S. Senate during my confirmation...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Eti kukumbuka mauaji ya Oct 29 ni uchochezi kwa hiyo muue watu kwa maelfu alafu ipite hivihivi!? Watu au mbuzi?

    Yaani nchi yetu Ina watu wana matatizo makubwa sana ya kufikiria Oct 29 2025 ni siku ngumu sana ambayo maisha ya watu wote yaliathirika vibaya sana. Maisha ya mamia kwa maelfu ya watanzania wenye hatia na wasio na hatia walipoteza maisha kupotea na kupoteza maisha na wengine kupata ulemavu wa...
  9. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 THRDC Yapendekeza Oktoba 29 kuwa siku ya kitaifa ya kumbukizi

    Kituo cha Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) kimependekeza Oktoba 29 ya kila mwaka iwe Siku ya Kitaifa ya Kumbukizi ya matukio ya Oktoba 2025, ili kuwakumbuka wahanga na kuweka mikakati ya kuzuia kujirudia kwa vifo, majeruhi na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Katika taarifa yake...
  10. F

    JamiiForums Tanzania TEC ningekubaliana nao kama wangefanya hivi kipindi cha mauaji ya Magomeni mwembechai au mauaji ya Zanzibar,

    Kila Uhai wa Mwanadamu Una thamani, na kila familia iliyo poteza mpendwa inastahili huruma na heshima Matukio ya mwaka 1998 Na 2000 Yakumbukwe pia: Fuatana Nami Mchambuzi wako Profesa Chotara Mweusi Sultan Bingwa wa Uchambuzi kutoka Viunga vya Sharif Shamba Ilala Dar Es Salam. Baraza la...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wawili wanaodaiwa kujihusisha na matukio ya mauaji na uporaji wa pikipiki wafariki wakipambana na Askari

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema watuhumiwa wawili wanaodaiwa kujihusisha na matukio ya mauaji na uporaji wa pikipiki wamefariki dunia baada ya kujeruhiwa katika mapambano na askari wa polisi eneo la Kijenge, jijini Arusha. Watuhumiwa hao ni Yusuph Hamis, maarufu kama Yuzo, na Dickson...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yangu, ni lazima Kila Mwaka tuwe na Wiki ya Kumbukumbu Mauaji Oktoba 29 2025 Kuanzia Tawi mpaka Taifa .Tuna siku 4, Chama kitangaze rasimi hil

    Kama Kuna jambo CCM watatumia Kila namna ili TU hii kumbukumbu isiwepo ni Haya Mauaji ya Kimbali ya Oktoba 29 2025. Kama Chama tusikubali Kamwe kuingia kwenye Mtego unaodogosha Mauaji haya . Mauaji yale hayakuwa ya Ajali ya Moto, Wala Meli kuzama Baharini, ni MAUAJI YA VYOMBO VYA DOLA KUTUMIA...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Kanisa KATOLIKI kwa kuanzisha Rasimi safari ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Oktoba 29 2025, Japo Serikali na CCM wanatamani Hilo lisiwepo !!

    Kanisa linapobeba jukumu kama hili zito ,linaonyesha kwa namna gani Kanisa linajali Watu !!. Moja ya kumbukumbu ambazo CCM watataman maisha yake yote isahaulike ni haya Mauaji ya Oktoba 29 2025. CCM wako tayari kUfanya namna yoyote ile wanayoweza ili mradi tu KUDOGOSHA Mauaji haya ,ionekane...
  14. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Sergeant Major Kabera yana mizizi ya uhasama kati ya Kagame na mtangulizi wake, Fred Rwigyema?

    Uchunguzi wa mazingira ya kifo cha Robert Kabera nchini Uganda umefungua upya mjadala kuhusu migogoro ya ndani ya RPF, urithi wa Fred Rwigyema na madai ya kutengwa kwa baadhi ya watu waliokuwa karibu na waanzilishi wa chama hicho. Kifo cha aliyekuwa mwanajeshi wa Rwanda, Sergeant Major Robert...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna mauaji yamefanyika Muleba - Kagera

    Vijana wanne wanaojihusisha na biashara ya mkaa wameuawa kwa kupigwa risasi mkoani Kagera. Hii ni baada ya kupigwa na kuteswa wakiwa na wenzao 11 ambao ni majeruhi kwa sasa. Vijana hao wanne wameshakabidhiwa kwa familia zao huku wakionywa kutoa taarifa kwa waandishi wa habari. Polisi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Askari wa TANAPA 3, Askari wa TFS 6 pamoja na migambo 4 mbaroni kwa tuhuma za mauaji ya watu 4 Kagera

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linawashikilia askari wa Wanyama pori (TANAPA) watatu, askari wa Maliasili ( TFS) sita na askari Mgambo wanne kwa tuhuma za mauaji ya watu wanne (04) yaliyotokea huko katika kijiji cha Kanyamika kata ya Karambi Tarafa ya Kimwani Wilaya ya Muleba Mkoa wa Kagera...
  17. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Ujerumani waikomalia serikali haramu kuhusu haki, mauaji, utekaji, n.k.

    Sina haja ya kuandika mengi. Tazama video mwenyewe. Pia, angalia dakika ya 2:33 mbunge wa Ujerumani akimshushua askari wa muuaji Samia. Wanataka kudhibiti hadi mahojiano ya wabunge wa nchi zingine na vyombo vya habari. Huyo mama Mjerumani kanifurahisha sana...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la matukio ya mauaji linasababishwa na kutokutekelezwa kwa adhabu ya kifo kwa miaka mingi

    Kila kukicha matukio ya mauaji haswa mauaji yatokanayo na migogoro/ wivu wa kimapenzi yameongezeka sana. Wahanga wakuu katika mauaji hayo ni wanawake. Inaonekana pamoja na sababu zingine lakini sababu kuu ya kushamiri kwa matukio ya mauaji inasababishwa na kutokutelelezwa kwa adhabu ya...
  19. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Mtazamo Wangu: Mauaji ya eShowe ni kwasababu ya Uhaba wa Wafanyakazi Afrika Kusini

    Hivi mmeiona hii video ya tukio la mauaji yaliyotokea Jumamosi iliyopita kwenye duka la Boxer huko eShowe, KwaZulu-Natal? Inatisha sana! Jamaa mmoja (33) aliyekuwa mfanyakazi wa duka hilo aliwaua kwa kuwamiminia risasi mameneja watatu wa kike ofisini kwao baada ya kufukuzwa kazi kwenye kikao cha...
  20. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Kweka apandishwa kizimbani, asomewa shitaka la mauaji

    Mfanyabiashara na mkazi wa Bunju A, jijini Dar es Salaam, Laurence Kweka (48), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni akikabiliwa na shtaka la kumuua mkewe, Jane Maloo Urassa, kwa kumpiga risasi. Soma pia: Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam Kweka...
Back
Top Bottom