Wabunge wa Ujerumani waikomalia serikali haramu kuhusu haki, mauaji, utekaji, n.k.

Wabunge wa Ujerumani waikomalia serikali haramu kuhusu haki, mauaji, utekaji, n.k.

Sina haja ya kuandika mengi.

Tazama video mwenyewe.

Pia, angalia dakika ya 2:33 mbunge wa Ujerumani akimshushua askari wa muuaji Samia.

Wanataka kudhibiti hadi mahojiano ya wabunge wa nchi zingine na vyombo vya habari.

Huyo mama Mjerumani kanifurahisha sana.


View: https://youtu.be/bSQD4I9A0Iw?is=qMLfSw2NwYEXDvzC

Hizi habr zilipendwa. Wanajua kuwachota nyumbu mwisho wa siku no impact kwa serikali ya CCM
 
Sina haja ya kuandika mengi.

Tazama video mwenyewe.

Pia, angalia dakika ya 2:33 mbunge wa Ujerumani akimshushua askari wa muuaji Samia.

Wanataka kudhibiti hadi mahojiano ya wabunge wa nchi zingine na vyombo vya habari.

Huyo mama Mjerumani kanifurahisha sana.


View: https://youtu.be/bSQD4I9A0Iw?is=qMLfSw2NwYEXDvzC%5B/UDuuh%20

View:
Hatari%20sana,hivi%20hao%20Wajerumani%20si%20ndiyo%20waliwaua%20watanganyika%20ambao%20walikua%20wanapenda%20kulinda%20uhuru%20wao%20na%20kukataa%20ukoloni?%20Hivi%20hao%20Wajerumani%20si%20walitumia%20nguvu%20za%20kijeshi%20na%20kuwakandamiza%20wana%20wa%20Afrika?
Hivi%20hao%20Wajerumani%20si%20ndiyo%20walimkata%20kichwa%20Chief%20Mkwawa%20,Mandara%20nk?
Hivi%20hao%20Wajerumani%20si%20inabidi%20watulipe%20fidia%20wana%20wa%20Afrika%20kwa%20ukatili%20wao%20dhidi%20ya%20mtu%20mweusi?
 
Mungu wabariki Wazungu
German colonial rule in Africa (from the late 19th century until World War I) involved severe violence, forced labor, land dispossession, and large-scale massacres. [1, 2, 3]

1. The Herero and Nama Genocide (German South West Africa / Namibia, 1904–1908)
  • The Atrocity: Following anti-colonial uprisings by the Herero and Nama people against German settlers and land seizures, German General Lothar von Trotha issued an explicit extermination order (Vernichtungsbefehl). [1, 2, 3]
  • Methods: Survivors were driven into the waterless Omaheke Desert (where thousands died of thirst) or rounded up into brutal forced-labor concentration camps, such as those on Shark Island and in Swakopmund, characterized by torture, medical experiments, overwork, and starvation. [1, 2, 3]
  • Casualties: An estimated 65,000 to 80,000 Herero (roughly 75% to 80% of the population) and at least 10,000 Nama (about 50% of the population) were killed. This is widely regarded by historians as the first genocide of the 20th century. [1, 2, 3, 4]
  • Recent Recognition: In May 2021, the German government officially recognized the killings as a genocide and offered a financial package of over €1.1 billion ($1.3 billion) in development aid over 30
 
no impact wakati kuna kibibi kimejifungia ndani kinatoka kwa kujificha kwenda kuangalia pesa alizoiba na kumpa chivayo kwa siri! wanasema yupo EDA ya uongo na kweli!
Kwa hiyo hapo ndo mnapofurahishwa na wazungu. Mmeridhiika wenyewe
 
Ila mkuu kama na wewe unatarajia ipo siku utaolewa na kuzaa watoto utamtesa sana mume wako kwa unavyo pandisha sukari ghafla CCM ikiguswa😁😁😁
Afadhali yangu mie, kuliko nyie Mzungu akipiga chafyq tu huko nyie mbio kuja kuanzisha thread na mapambio juu eti 'Mungu Wabariki Wazungu '.
 
Hata kama zilipendwa kwani zinasema uongo? Hizi habari ni latest na zinahusu kile kikao cha mabunge ya dunia, kakojoe ulale dada.
Habari za kweli! Zina impact gani ikiwa Samia na genge lake wanaendelea kutawala?
Ukishapata Habari ya wazungu tu basi unaridhiika unaenda kukojoa mbio kulala
 
Machawa wa wazungu hamwishi kuimba 'Mungu Wabariki Wazungu ' lkn Samia anaendelea tu kutafuna kodi
Bora kuwa chawa wa wazungu kuliko kuwa chawa wa mzanzibar... tena form four failure!.
Maana yake ni kwamba ww huna akili kabisa!...hata maneno yako yanasadifu hivyo kwamba samuya anatafuna kodi zetu ila ww unaona ni sawa tu!
 
Back
Top Bottom