Ongeza maarifa aise, kwani hizi habari za Eid Amin mama na genge lake la wauaji ni jambo la siri? Je, kuna mtanzania yeyote mwenye akili timamu ambaye hajui kuwa Eid Amin mama kapora kura na hapashwi hata kuwa madarakani, na mbaya zaidi ni muuaji, mdini, mfisadi, mkanda, mfiraji, mtekaji na mbakaji wa waTanganyika? Kwa mawazo yako unafikiri habari za wazungu ndio zitaridhisha utambuzi wa watanzania kujua nini kinaendekea nchini kwao?. Je hutambui kuwa hata kwenye audio version ya AI inatambua udhalimu wa utawala wa huyu mama shetani na genge zima la CCM, na je hujui kuwa dunia nzima kwa sasa inajua nini kinaendekea Tz. Mlikuwa mna haja gani ya kutaka kuvamia interview ya watu. Ni kutiana aibu tu pumbafff.