haki

  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Nov 6, ni Hukumu inayoenda Kufungua Milango ya Marekani, Ulaya, ICC kuwashughulikia Wahusika wa mauaji ya Oktoba 29,Utekaji

    Miezi michache ilopita, Mliaanza kulia lia mliposikia Kuna Orodha ya Viongozi watawekewa VIKWAZO na Marekan/EU. Bungeni mkaanza kulia lia na kupayuka. Sasa Mfungeni Lissu JELA !!! Nyie simna Majeshi, mna honga makamouni yawatetee. Haya mfungeni!!. Dunia Haijawahi kalia Kimya, Mauaji ya...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Charles Odero: Lema amesema ukweli CHADEMA inatakiwa impiganie Tundu Lissu

    Mwenyekiti wa Kamati ya Maridhiano, Odero Charles, amekosoa baadhi ya watu wanaojiita wanaharakati akisema matumizi ya lugha za matusi na nguvu dhidi ya wengine hayaendani na misingi ya uanaharakati. Akizungumza na waandishi wa habari leo Novemba 2,2026 Odero pia amepongeza kauli mbalimbali...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Jaji mkuu George Masaju awashukia watumishi wa Mahakama wanao tumia madaraka yao kuwaonea na kuwanyima haki maskini

    Jaji mkuu wa Tanzania,Gourge Masaju,ametoa onyo kali kwa Majaji mawakili,maofisa wa polisi na watendaji wengine wa vyombo vya dola wanaotumia madaraka yao kuwaonea na kuwanyima haki maskini na watu wasio na.uwezo ,akiwataka kuwacha mara moja vitendo hivyo kwa kuwa wanajiweka katika hatari ya...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mtoto akikua na kukuta wazazi wake ni maskini ana haki ya kuwatoa kafara ili atajirike

    Mtu hakuomba mumzae, nyie starehe zenu zimemleta mtoto Duniani. Anakula kwa shida Analala mahali pana vumbi Anavaa nguo used aka Mtumba. Hapo akikutoa kafara ili aondokane na umaskini yuko sawa tu
  5. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumsikiliza Lema, itoshe kusema kuna uporaji mkubwa wa haki za watu CHADEMA, wanatenda tofauti na maneno yao

    Kwa mliokuja Inbox kutaka maoni yangu kuhusu press conference ya Lema tafadhali someni huu uzi kwa makini. Nitaandika kwa ufupi sana. Kwa ufupi ni kuwa Lema kakivua nguo chama chake na uongozi uliopo sasa. Haya ni mambo kadhaa niliyoona; 1. CHADEMA inahubiri kutaka haki ila inatenda tofauti...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu linaanza kufanya tathmini ya hali ya haki za binadamu katika nchi 14 duniani ikiwemo Tanzania

    Rekodi za haki za binadamu za nchi 14 zinatarajiwa kuchunguzwa wakati wa kikao cha 53 cha Kikundi Kazi cha Mapitio ya Mara kwa Mara ya Hali ya Haki za Binadamu (UPR) cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, kitakachofanyika Geneva kuanzia Novemba 2 hadi 13, 2026. UPR ni utaratibu wa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania LEMA FOR YOUR INFORMATION: Lisu hataki kusaidiwa. Eti ulionana na Makamu wa Rais kumsaidia Lisu! Lisu Anataka haki, si kusaidiwa

    Kumbe wewe chawa, unategemea kusaidiwa! Wakikusaidia hela unasaliti kama hivi ulivyosaliti wenzako jana
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT: Tanzania ipo katika mkwamo wa Kisiasa, sababu ya ukiukwaji wa Demokrasia, Utawala Bora na Haki za Binadamu

    TAARIFA KWA UMMA HAKUNA MARIDHIANO BILA UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI Leo, Novemba 1, 2026. Chama cha ACT Wazalendo kimeeleza kuwa Tanzania ipo katika mkwamo mkubwa wa kisiasa unaotokana na ukiukwaji wa misingi ya demokrasia, utawala bora na haki za binadamu, na kusisitiza kuwa hakuna maridhiano...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Gulatone Masiga: Kumbukumbu za waathirika wa October 29: je, tunakumbuka kwa msingi wa haki na uadilifu au ajenda za kisiasa?

    Na GULATONE MASIGA Historia ya Tanzania ina matukio mbalimbali ya machungu yaliyosababisha vifo vya wananchi, viongozi na watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama. Matukio hayo yanatukumbusha kuwa amani, usalama na utulivu wa nchi si mambo yanayopaswa kuchukuliwa kuwa ya kawaida. Ni tunu...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja Masese :Maridhiano bila ukweli na uwajibikaji ni usaliti

    Historia haina huruma kwa watawala katili. Historia inatunza kumbukumbu za sauti zilizopazwa mchana, lakini zikamezwa na giza totoro. Leo watawala wanazungumzia maridhiano, neno tamu vinywani, lakini lenye makovu makubwa moyoni ‪Mwanachama mwandamizi wa CCM, alisimama, akanyoosha kidole...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Frank Ruhasha: October 29 Risasi zilipigwa za kichwa walilenga kuua sio kudhibiti maandamano

    Naibu waziri kivuli wa kilimo, mifugo na uvuvi kutoka ofisi ya wasemaji wa kisekta wa chama cha act wazalendo, frank ruhasha, amesema kuwa mauaji na ukatili uliotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 havikulenga kudhibiti maandamano, bali vyombo vya dola vilifanya mauaji ya makusudi kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania KERO Tarime: Malalamiko kuhusu ukosefu wa uwazi na haki katika zoezi la upimaji wa madini Kijiji cha Nkerege

    Ninaandika kama mwananchi wa Kijiji cha Nkerege, Wilaya ya Tarime, kueleza masikitiko yangu kuhusu namna zoezi la upimaji wa madini lilivyotekelezwa katika kijiji chetu na utaratibu uliotumika kugawa fidia kwa Wananchi walioathirika. Kabla ya zoezi kuanza, kulikuwa na makubaliano kwamba...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Manyerere Jackton, Barua yako kwa rais samia inahitaji pia kusindikizwa na waraka wenye fikra tunduzi za kitaifa

    Utangulizi: Kalamu inapokutana na kalamu. Ndugu yangu manyerere jackton, kaka yangu, rafiki yangu wa muda mrefu na comrade mwenzangu katika safari ya maisha na fikra, nimesoma kwa makini barua yako ya wazi kwa mheshimiwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania, dkt. samia suluhu hassan...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kungekuwa na chama chenye mizizi Mbeya, Ccm ingechomolewa ! Mbeya ni moyo wa harakati, historia ya kupambania haki na hawayumbi kirahisi kwa asali.

    Niliwahi kuishi Mbeya na kuna jambo moja nililoligundua kuhusu watu wa eneo hilo: wana viashiria vingi vya kuwa na nguvu kubwa ya kisiasa na uwezo wa kuendesha harakati za mabadiliko. Tatizo lao si ukosefu wa ari, ujasiri au dhamira ya kupinga mifumo isiyo ya haki. Tatizo kubwa ni kukosekana kwa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Amri ya Habeas Corpus Nchini Kenya na Fundisho la Mihimili Yetu: Je, Mihimili Yetu ni Ngome ya Haki au Vikaragosi vya Dola?

    Picha: Alama ya utawala wa sheria na kimbilio la mwisho la raia pale haki inapominywa Hatua ya Mahakama Kuu ya Kenya kutoa amri ya Habeas Corpus dhidi ya Serikali na Mkuu wa Jeshi la Polisi, ikitaka mwanaharakati Twaha Mwaipaya afikishwe mahakamani tarehe 2 Novemba 2026 akiwa hai au mauti, ni...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyabiashara wa Maua, Mbuyuni- Dar tumepewa siku 3 kuondoka ikielezwa kuwa haitakiwi fremu kuwa kando ya barabara

    Ndugu wanajukwaa, Naomba kutumia jukwaa hili kuwasilisha malalamiko na kuomba msaada wa kufikisha kilio cha wafanyabiashara wanaoendesha shughuli zao katika fremu za biashara za maua zilizopo eneo la Mbuyuni barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Dar es Salaam. Mwaka jana 2025, tulikutana na...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Haki 10 za mahabusu ambazo Mahakama ilimnyima Lissu

    Lissu hakujitetea kwa ukamilifu kutokana na baadhi ya haki zake kama mshitakiwa kukiukwa aidha na mahakama ama magereza. 1. Haki ya kuongea na mawakili wake. KANYIMWA 2. Haki ya kupata mashahidi anaowataka. KANYIMWA 3. Haki ya kutoteswa. KANYIMWA, alilalamika kuwekewa kamera hadi chooni. 4...
  18. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakazi wa Shamata wabeba Jeneza hadi Kituo cha Polisi kudai Haki baada ya kuuawa kwa Mkazi

    Wakazi wa Shamata, Kaunti ya Nyandarua, waliandamana hadi Kituo cha Polisi cha Shamata wakiwa wamebeba jeneza, wakitaka haki itendeke kufuatia mauaji ya mmoja wa wakazi wa eneo hilo. Tukio hilo lilitokea Jumatano, Oktoba 28, 2026, ambapo waombolezaji walisitisha shughuli za mazishi na kuelekea...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Askofu Benson Bagonza: kukumbuka na kusahau ndiko kukumbuka

    Tukikumbuka, Tunajifunza. Tukisahau, kuna kitu tunakijua lakini tunajitahidi kukisahau. Kwa hiyo, tunakumbuka tunachosahau. HAKIKA, tunakijua ndiyo maana tunajitahidi kukisahau. KWA HIYO: Kuikumbuka 29 Oktoba ni kujifunza kilichotokea. Kuisahau Oktoba 29 ni kuikumbuka ili tufanye jitihada...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Art of politics in Africa: bana pesa na miradi ili wananchi waone maendeleo ni fadhila sio haki yao, kisha wabaki wanyenyekevu kwa viongozi na mamlaka

    Nimeikuta hii video random mtandaoni, ukikaa na kui analyze kwa upana ni nchi nyingi za Africa jamii inayolazimika kuomba, kushukuru na kunyenyekea ili iweze kuishi Tunasikia kauli kama “Mradi wangu,” “Nitatoa pesa,” “Nitaleta maendeleo,” na “Mimi ndiye niliyesaidia.” Tunaomba kwa...
Back
Top Bottom