carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Mwenyekiti wa Kamati ya Maridhiano, Odero Charles, amekosoa baadhi ya watu wanaojiita wanaharakati akisema matumizi ya lugha za matusi na nguvu dhidi ya wengine hayaendani na misingi ya uanaharakati.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Novemba 2,2026 Odero pia amepongeza kauli mbalimbali zilizotokana na Mkutano aliyofanya Godblesslema amesema, mwanaharakati wa kweli anapaswa kupigania mabadiliko chanya, kulinda haki za binadamu, kuelimisha jamii na kukemea vitendo vinavyohatarisha maslahi ya jamii, badala ya kutumia lugha za kudhalilisha wengine
Aidha Pia ameongeza kuwa kiongozi wa kweli ni yule anayetafuta Suluhu katikati ya matatizo kama ambavyo Lema na kauli zake zinazolenga kuitoa CHADEMA katika Mkwamo