Mwenyekiti wa Kamati ya Maridhiano, Odero Charles, amekosoa baadhi ya watu wanaojiita wanaharakati akisema matumizi ya lugha za matusi na nguvu dhidi ya wengine hayaendani na misingi ya uanaharakati.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Novemba 2,2026 Odero pia amepongeza kauli mbalimbali...
Jaji mkuu wa Tanzania,Gourge Masaju,ametoa onyo kali kwa Majaji mawakili,maofisa wa polisi na watendaji wengine wa vyombo vya dola wanaotumia madaraka yao kuwaonea na kuwanyima haki maskini na watu wasio na.uwezo ,akiwataka kuwacha mara moja vitendo hivyo kwa kuwa wanajiweka katika hatari ya...
Na GULATONE MASIGA
Historia ya Tanzania ina matukio mbalimbali ya machungu yaliyosababisha vifo vya wananchi, viongozi na watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama. Matukio hayo yanatukumbusha kuwa amani, usalama na utulivu wa nchi si mambo yanayopaswa kuchukuliwa kuwa ya kawaida. Ni tunu...
Historia haina huruma kwa watawala katili. Historia inatunza kumbukumbu za sauti zilizopazwa mchana, lakini zikamezwa na giza totoro. Leo watawala wanazungumzia maridhiano, neno tamu vinywani, lakini lenye makovu makubwa moyoni
Mwanachama mwandamizi wa CCM, alisimama, akanyoosha kidole...
Nimesikia kupitia Mitandao ya Kijamii, Kesho una Kikao na Wananchi !! .
Kama ambavyo MBOWE amedharaulika ndivo unaenda kua !!.
Je NCHI Hiii Kuna Mwanasiasa ambaye angechagua kua sehemu ya CCM asingelikua Bilionea zaidi ya LISSU?
Huyu Lissu huyu angetaka kua Makamo wa Rais Serikali ya Umoja...
Hali ni mbaya sana kwa huyu kiongozi ambaye mitaani wanasema ni haramu.
Mimi nilidhani kadili siku zitapoenda watasahau juu ya yaliyotokea Oktoba 29 pamoja na tuhuma za ufisadi na mafisadi anayoyapendelea
Naona kadiri siku zinavyozidi ndio anazidi kuchukiwa.
Afanyeje ili mambo yapoe?
KUMBUKUMBU ZA WAATHIRIKA WA VURUGU: JE, TUNAKUMBUKA KWA MSINGI WA HAKI NA UADILIFU AU AJENDA ZA KISIASA?
Na GULATONE MASIGA
Historia ya Tanzania ina matukio mbalimbali ya machungu yaliyosababisha vifo vya wananchi, viongozi na watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama. Matukio hayo...
Mbunge wa Mvomero, Mhe. Sara Msafiri, amehoji utekelezaji wa maelekezo ya Serikali na Bunge kuhusu miradi ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), akibainisha kuwa licha ya kuelekezwa kwa kila mamlaka ya serikali kuandaa angalau mradi 1 wa PPP na kila halmashauri kuandaa angalau miradi 3...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ametoa wito kwa viongozi wa dini na jumuiya za kiraia nchini kuchagua njia ya maridhiano, kufuata sheria na kulinda amani ya taifa, akionya kuwa machafuko na vurugu huumiza wananchi wasio na hatia na kurudisha nyuma maendeleo ya nchi.
Katambi...
Ripoti ya Uwajibikaji wa Ununuzi wa Umma ya Mwaka 2024/25, iliyoandaliwa na WAJIBU na Policy Forum kwa kutumia ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG
Mwenendo wa Uwajibikaji Katika Ununuzi wa Umma kwa Kipindi cha Miaka Mitatu 2022/23 hadi 2024/25. Uchambuzi wa ripoti za...
Akizungumza katika mkutano wa kufunga makambi ya ulezi ya kanisa la Adventista-Kinyerezi leo Septemba 19, 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesisitiza ili Watanzania watabasamu, haki na uwajibikaji vinabidi kuwa kipaumbele.
"Leo hii Mheshimiwa Rais aliposema anahitaji kuwaachia Watanzania...
Hivi kudandia mambo ya chama kingine ambayo hayawahusu ni umbeya au kutafuta kiki?
Hii haimaanishi watu wasihoji au kukosoa mnaruhusiwa kabisa kuhoji
Lakini watu wa humu jukwaani wa CCM kuanza kushupalia mambo ya CHADEMA, ni kwa sababu wao ni waadilifu sana au ni umbeya tu?
Nyie...
Hivi karibuni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ametangaza mpango wa kusimamia usafi na kupiga vita utupaji taka ovyo baada ya maelekezo ya Mh. Raisi. Ni hatua ya kupongezwa. Lakini ukweli tunaoujua sote ni kwamba kampeni za usafi huja na kuondoka — kinachokosekana ni mfumo wa kudumu unaomfanya...
Mhe. Peter Kisumo [marehemu] anajulikana kama Mkuu wa Mkoa wa kwanza wa mkoa wa Kilimanjaro baada ya kuanzishwa kwake rasmi mwaka 1963.
Alifuatia baada ya kipindi cha mkoa huo kuwa sehemu ya Jimbo la Kaskazini chini ya Mhe. PC Edward Barongo (1961-1963). Kisumo aliongoza mkoa huo mpya.
Jukumu...
Kuna jambo ambalo tunapaswa kulisema kwa uwazi kabisa bila kuficha ukweli.
Inasikitisha kuona uongozi wa juu wa nchi ukipambana usiku na mchana kutafuta suluhisho la matatizo ya wananchi Rais akisimamia utekelezaji wa miradi Serikali ikitenga fedha mawaziri wakizunguka kusimamia majukumu yao...
Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, amesisitiza kuwa uwajibikaji ndio msingi mkuu wa haki za binadamu na usalama wa wananchi.
Akizungumza katika mahojiano na Crown Media, Agosti 28, 2026, Sheikh Ponda ameeleza kuwa uwajibikaji unahakikisha viongozi na watendaji...
Kuna maswali ambayo lazima tuwaulize Serikali, upinzani, wanaharakati, wasomi na viongozi wa kiraia kuhusu yaliyotokea Oktoba 29, 2025.
Kuna jambo moja nataka nilianze kwa kulisema wazi:
Mimi sipingi maandamano. Ninaunga mkono haki ya wananchi kuandamana kwa amani.
Maandamano ni sehemu ya...
Hayati Job Ndugai - Januari 6, 2022 alitangaza kujiuzulu nafasi yake ya Uspika wa Bunge, akisema uamuzi huo ameufanya kwa hiyari yake kabisha na kwa kuzingatia maslahi mapana ya nchi, serikali na chama. Desemba 28, 2021 akiwa kwenye mkutano huko Dodoma video yake ilitrendi akisema Samia ametoka...
Kuna Madereva wa serikali wapo rafu sana barabarani. Hivi hakuna sheria ya kuwadhibiti ? Inatakiwa iwekwe sheria ya kuwajibishwa na askari wa barabarani/traffic police. Kama haujawahi kuendesha gari masafa marefu highway hauwezi kunielewa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.