Waziri Mkuu Mwigulu: Ili watu watabasamu, haki na uwajibikaji lazima zisisitizwe

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Akizungumza katika mkutano wa kufunga makambi ya ulezi ya kanisa la Adventista-Kinyerezi leo Septemba 19, 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesisitiza ili Watanzania watabasamu, haki na uwajibikaji vinabidi kuwa kipaumbele.

"Leo hii Mheshimiwa Rais aliposema anahitaji kuwaachia Watanzania anapomaliza awamu yake hii ya pili kwamba anataka aondoke asiwaachie tu miundombinu, majengo na barabara, anataka awaachie na tabasamu, mimi kama msimamizi wa shughuli za serikali na ambaye katiba inanielekeza jambo lolote ambalo Mheshimiwa Rais anataka lielekezwe, Waziri Mkuu atatekeleza ama atasababisha litekelezwe, nikajua ili watu wapate tabasamu kuna mambo mawili lazima yasisitizwe: haki na uwajibikaji, haki na uwajibikaji."

madelu kaanza. Utawala uliofitinika. Utawala wa damu.

"... anapomalizia awamu yake ya pili" - (kwamba asije akajaribu kusema ile awamu ya kwanza ilikuwa ni ya Maghufuli)

kwamba siku zote hajasema haki & uwajibikaji ila sasa! .... Acha iendelee kunyesha
 
Akizungumza katika mkutano wa kufunga makambi ya ulezi ya kanisa la Adventista-Kinyerezi leo Septemba 19, 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesisitiza ili Watanzania watabasamu, haki na uwajibikaji vinabidi kuwa kipaumbele.

"Leo hii Mheshimiwa Rais aliposema anahitaji kuwaachia Watanzania anapomaliza awamu yake hii ya pili kwamba anataka aondoke asiwaachie tu miundombinu, majengo na barabara, anataka awaachie na tabasamu, mimi kama msimamizi wa shughuli za serikali na ambaye katiba inanielekeza jambo lolote ambalo Mheshimiwa Rais anataka lielekezwe, Waziri Mkuu atatekeleza ama atasababisha litekelezwe, nikajua ili watu wapate tabasamu kuna mambo mawili lazima yasisitizwe: haki na uwajibikaji, haki na uwajibikaji."

Watanganyika hawaelewi. Anataka kuanza kujichanganya kama ndugu yake

La Meck jitenge na neno Haki na Uwajibikaji. Wahuni wataingia kwenye AC zako tutasikia umejiuzulu na tusikuone tena
Lugha yako iwe katiba yetu haina mapungufu, wananchi lindeni amani
Jeshi simamieni amani
 
Haki haikwepeki kaka, ndio trend ya sasa. Ndio hawapendi ila hawana budi kulisikia
 
Akizungumza katika mkutano wa kufunga makambi ya ulezi ya kanisa la Adventista-Kinyerezi leo Septemba 19, 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesisitiza ili Watanzania watabasamu, haki na uwajibikaji vinabidi kuwa kipaumbele.

"Leo hii Mheshimiwa Rais aliposema anahitaji kuwaachia Watanzania anapomaliza awamu yake hii ya pili kwamba anataka aondoke asiwaachie tu miundombinu, majengo na barabara, anataka awaachie na tabasamu, mimi kama msimamizi wa shughuli za serikali na ambaye katiba inanielekeza jambo lolote ambalo Mheshimiwa Rais anataka lielekezwe, Waziri Mkuu atatekeleza ama atasababisha litekelezwe, nikajua ili watu wapate tabasamu kuna mambo mawili lazima yasisitizwe: haki na uwajibikaji, haki na uwajibikaji."

Mmeanza kurudi kwenye madai ya wananchi ambayo mlikuwa mkiyapinga kwa nguvu sana.
 
Akizungumza katika mkutano wa kufunga makambi ya ulezi ya kanisa la Adventista-Kinyerezi leo Septemba 19, 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesisitiza ili Watanzania watabasamu, haki na uwajibikaji vinabidi kuwa kipaumbele.

"Leo hii Mheshimiwa Rais aliposema anahitaji kuwaachia Watanzania anapomaliza awamu yake hii ya pili kwamba anataka aondoke asiwaachie tu miundombinu, majengo na barabara, anataka awaachie na tabasamu, mimi kama msimamizi wa shughuli za serikali na ambaye katiba inanielekeza jambo lolote ambalo Mheshimiwa Rais anataka lielekezwe, Waziri Mkuu atatekeleza ama atasababisha litekelezwe, nikajua ili watu wapate tabasamu kuna mambo mawili lazima yasisitizwe: haki na uwajibikaji, haki na uwajibikaji."

Kwa mara ya kwanza umeongea na wananchi
 
Atatolewa muda si mrefu mwenzako alianza hivyohivyo wakamla kichwa
 
Akizungumza katika mkutano wa kufunga makambi ya ulezi ya kanisa la Adventista-Kinyerezi leo Septemba 19, 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesisitiza ili Watanzania watabasamu, haki na uwajibikaji vinabidi kuwa kipaumbele.

"Leo hii Mheshimiwa Rais aliposema anahitaji kuwaachia Watanzania anapomaliza awamu yake hii ya pili kwamba anataka aondoke asiwaachie tu miundombinu, majengo na barabara, anataka awaachie na tabasamu, mimi kama msimamizi wa shughuli za serikali na ambaye katiba inanielekeza jambo lolote ambalo Mheshimiwa Rais anataka lielekezwe, Waziri Mkuu atatekeleza ama atasababisha litekelezwe, nikajua ili watu wapate tabasamu kuna mambo mawili lazima yasisitizwe: haki na uwajibikaji, haki na uwajibikaji."

😀😀😀
IMG-20260829-WA0027.jpg
 
Sidhani kama hayo aliyosema ametumwa na Mama.Sisi tunapenda Mama aongeze kipindi kingine .Yeye anasema anamaliza kipindi cha pili.Halafu anajiandaa kuchukua nafasi yake .
Huyu mtu hatufai
 
Back
Top Bottom