HOJA Kuna madereva wa Serikali wapo rafu sana barabarani

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
2,682
Reaction score
6,638
Kuna Madereva wa serikali wapo rafu sana barabarani. Hivi hakuna sheria ya kuwadhibiti ? Inatakiwa iwekwe sheria ya kuwajibishwa na askari wa barabarani/traffic police. Kama haujawahi kuendesha gari masafa marefu highway hauwezi kunielewa
 
Kuna Madereva wa serikali wapo rafu sana barabarani hivi hakuna sheria ya kuwadhibiti ? Inatakiwa iwekwe sheria ya kuwajibishwa na askari wa barabarani /traffic police. Kama haujawahi kuendesha gari masafa marefu highway hauwezi kunielewa
Ni almost madereva wote wa Serikali, huwa wanahisi Barabara zipo kwa ajili yao na hawajali watumiaji wengine.

Kwa sasa Tanzania ni Taifa la kambale, kila mmoja ana ndevu anajiamulia anavyoona inampendeza.

Ajali ndio kitu pekee huwa kinawatuliza fujo zao barabarani, tofauti na ajali hamna kitu kingine watasikiliza.

Watu zisipowafaa akili zao, utawadhuru Ujinga wao.
 
Umemalizia vzr sana hoja yako
 
Kuna Madereva wa serikali wapo rafu sana barabarani. Hivi hakuna sheria ya kuwadhibiti ? Inatakiwa iwekwe sheria ya kuwajibishwa na askari wa barabarani/traffic police. Kama haujawahi kuendesha gari masafa marefu highway hauwezi kunielewa
madereva wote wa serikali pamoja na wale wa vyombo vya ulinzi na usalama wapo rafu sana
 
Kuna Madereva wa serikali wapo rafu sana barabarani. Hivi hakuna sheria ya kuwadhibiti ? Inatakiwa iwekwe sheria ya kuwajibishwa na askari wa barabarani/traffic police. Kama haujawahi kuendesha gari masafa marefu highway hauwezi kunielewa
Madereva wa Serikali watungiwe sheria yao na tuache ROAD TRAFFICK ACT tuliyoridhi toka kwa wakoloni?
Kama watapewa sheria yao, basi na barabara zao ziwepo.

In short , kama katikati ya jiji kila dereva uliyetaja wanapita DART Road, wanapita na red lights, hawasimami kupisha ambulance, then wanyonge maskini wanajiunza nini kwkao?
 
Kuna Madereva wa serikali wapo rafu sana barabarani. Hivi hakuna sheria ya kuwadhibiti ? Inatakiwa iwekwe sheria ya kuwajibishwa na askari wa barabarani/traffic police. Kama haujawahi kuendesha gari masafa marefu highway hauwezi kunielewa
Mimi nawajua sana hawa jamaa,wewe unaendesha gari ukiwaza familia yako inayokutegemea,mwenzako anakupita na speed utafikiri anafukuzwa,mpaka unajiuliza hivi bosi yumo ndani au dereva yuko peke yake...
 
Back
Top Bottom