HOJA Kuna madereva wa Serikali wapo rafu sana barabarani

HOJA Kuna madereva wa Serikali wapo rafu sana barabarani

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Madereva wa Serikali watungiwe sheria yao na tuache ROAD TRAFFICK ACT tuliyoridhi toka kwa wakoloni?
Kama watapewa sheria yao, basi na barabara zao ziwepo.

In short , kama katikati ya jiji kila dereva uliyetaja wanapita DART Road, wanapita na red lights, hawasimami kupisha ambulance, then wanyonge maskini wanajiunza nini kwkao?
Kabisa ni muhimu watungiwe sheria za kuwabana
 
Tatizo aina ya magari wanayoendesha ndiyo yanawapa umwamba barabarani lakini akiwa na gari zao binafsi lazima watii sheria.Angalia tu magari ya vyombo vya ulinzi kama polisi jeshi na wengine wanaweza kukukwangua na kigari chako na usiwafanye chochote na wanaweza kupita upande wa barabara ambao hauruhusu kupita lakini watakuamuru wewe uwapishe.Kiufupi madereva wa magari ya serikali wako lafu sababu ya aina ya magari wanayoyaendesha ambayo hata polisi wasimamia sheria hawawezi kuyachukulia hatua
 
Tatizo aina ya magari wanayoendesha ndiyo yanawapa umwamba barabarani lakini akiwa na gari zake binafsi lazima watii sheria.Angalia tu magari ya vyombo vya ulinzi kama polisi jeshi na wengine wanaweza kukukwangua na kigari chako na usiwafanye chochote na wanaweza kupita upande wa barabara ambao hauruhusu kupita lakini watakuamuru wewe uwapishe.Kiufupi madereva wa magari ya serikali wako lafu sababu ya aina ya magari wanayoyaendesha ambayo hata polisi wasimamia sheria hawawezi kuyachukulia hatua
Zikotungwa sheria za kuwadhibiti na ziwekewe mkazo wote watanyooka , ukifika Rwanda utagundua madereva wote wana ustaarabu
 
Mihemko, hao jamaa wanapasha mishahara zaidi ya bankers, wana dili nyingi sana kuanzial vipuli mpaka mafuta. The only issuseu hatujui mabosi ndio wanawaambia wakimbize,
Ok. Ila bankers ni neno pana. Isije kuwa unazungumzia tellers na receptionists.
 
Kuna siku wamempiga makofi dereva wa trekta mitaa ya Sokoine Picha Dakawa kisa hakuwapisha pamoja na kwamba walimfuata kwenye upande wake
 
Back
Top Bottom