Kwanza nianze kwa kuwapongeza JamiiForums kwa kazi nzuri mnayofanya ya kubadilisha mwenendo wa nchi yetu, kazi kubwa inafanyika na mabadiliko yanaonekana, pongezi kwa hilo.
Hivi karibuni niliona habari ya MOI kuhusu yule mgonjwa ambaye alikosa huduma kutokana na uongozi kumkazia kuhusu suala la...
Anonymous
Thread
hospitali
hospitali ya muhimbili
idara
jamii
muhimbili
ngazi
serikali
ustawi
ustawi wa jamii
utendaji
uwajibikaji
Mbunge wa Jimbo la Momba CONDESTER SICHALWE CCM amelalamika kuwa mawazo, maoni wanayotoa bungeni yamekuwa ayasikizwi na serikali, pamoja na ayo ameongeza kuwa taarifa za ukaguzi za mkaguzi Mkuu wa serikali CAG zimekuwa zikipuuzwa na Serikali.
Soma Pia: Ripoti 21 za CAG zatua Bungeni kwa ajili...
Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.
Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.
Hana uwezo hata chembe.
That says a lot ueledi wa civil services,
It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Mh. Mchengelewa bila shaka ni mzima wa afya njema. Nakuomba uongeze siku za kujiandikisha kwa sbb zifuatazo:
1. Kuepo kwa figisu nyingi za kuandikishaji sehemu mbalilmbali.
2. Yanga na simba zimeathiri zoezi zima la kuandikisha watu wote wameenda kuangalia mpira wa simba na yanga, cha...
Pole Rigathi Gachagua, Former Deputy President.
=====
Hii ni baada ya seneti kupiga kura kupitisha mashtaka 5 kati ya 11 misingi yake ya kuondolewa kwake madarakani.
Spika Amason Kingi: Seneti imeamua kumng'oa madarakani kwa hati ya mashtaka, Naibu Rais Rigathi Gachagua. Hivyo basi, anakoma...
Wakuu,
Jiwe limerushwa gizani, wakuu mjitokeze kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa, na baadaye uchaguzi mkuu, vyote ni muhimu kwa maendeleo ya nchi.
======
Tumeongozwa na Rais Samia Kwenda kujiandikisha ikiwa ni siku ya kwanza yah atua ya mwanzo ya wananchi kushiriki kwenye...
Kumekuchaje wanajamvi?
Wakati tukisubiria hukumu ya akina Nyundo Mjeda na wenzake dhidi ya Binti wa Yombo, hebu tumkumbushe mama kitu kimoja cha msingi maana huenda hajui.
Kwenye uongozi kuna mambo 2 ya msingi ambayo kwa kiongozi yeyote yule hata mjumbe wa nyumba 10 huwa hayakwepeki.
Mambo...
Katika hali inayoumiza na kusikitisha ni namna tunavyoyajadili masuala makubwa ya Taifa letu. Nimepitia maandiko mengi, mijadala mingi na hotuba kadhaa ila nilichokibaini nimekipa jina mchezo wa lawama "blame game". Inaweza kuonekana kama lugha kali kidogo kwa wakubwa ila hakuna lugha nyingine...
Tatizo la Tanzania ya sasa hakuna uwajibikaji watu wanakufa na kutekwa lakini viongozi wote wapo kazini kama vile hakuna baya limetokea. Hii inasibitisha viongozi wa siku hizi ni magenge ya marafiki na Machawa na ni vigumu kuwajibisha ndugu, marafiki, machawa wako hasa pale ambako wanaouliwa ni...
Bashe fanya kazi yako na timiza wajibu wako, unalipwa kuleta masuluhisho katika sekta ya kilimo. Acha kufokea raia kwamba watu wanakosoa tu bila kuletea masuluhisho kwa hiyo unawanyima huduma za serikali kwa mamlaka yako uliyo nayo.
Kwanza huna mamlaka ya kuwanyima huduma raia walipa kodi...
TISS na Polisi Hufanya Kazi Kulingana na Sheria: Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) na Jeshi la Polisi hufanya kazi chini ya sheria na taratibu za nchi, zikiwa na taratibu za kiuchunguzi zinazozingatia haki. Kuwatuhumu moja kwa moja bila ushahidi wa wazi ni kinyume na misingi ya haki na sheria...
KUTEKWA NA KUUAWA WATU NA TAFSIRI YA UWAJIBIKAJI.
Hayati Ali Hassan Mwinyi wakati huo akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi (1975-1977) alijiuzulu nafasi yake ya Uwaziri kwa sababu ya kosa la kiutendaji la watendaji wa Wizara yake lililogharimu maisha ya Watanzania kadhaa. Historia ikaandikwa...
Hakuna kinachozuia IGP kujiuzulu kwa haya yanayoendelea. Mauaji ya watu wasio na hatia tena mchana kweupe wanakwapuliwa kwenda kuuawa ni dhahiri polisi na usalama wanashirikiana kutekeleza hayo.
TISS ipo chini ya ofisi ya Rais na aliitaka ikae chini yake kupitia mabadiliko ya sheria ya TISS...
ally kibao atekwa
ally kibao auawa
ally mohamed kibao
igp
igp kujiuzulu
kifo cha kibao
rais samia
salam za rais samia
siasa tanzania
usalama wa taifa
utekaji tanzania
uwajibikaji
watu wasiyojulikana
Huwa nikikaa mtandaoni naona kila mtu analeta nyuzi eti watanzania wamelala wakati na lenyewe ni litanzania, mara gen z ya bongo hamna kitu kazi simba na yanga wakati na lenyewe lilikua kijana halikufanya kitu sasa hivi linasema vijana.
Yaani huwa nashangaa pale jitu limepigwa na maisha...
Wakuu,
Huyu ni kiongozi wa pili kutoka CCM ambaye anatoa kauli tatanishi kuhusu kupoteza watu pamoja na watu wasiyojulikana, lakini wanaishia kutenguliwa na kuonywa tu na hakuna hatua nyingine inachukuliwa dhidi yao.
Wa kwanza alikuwa Mwenyekiti wa UVCCM Kagera, akasema wakiwapoteza watu...
Ili kuhakikisha kuwa na maafisa wa vyombo vya dola wenye maadili mema na uwajibikaji, yafuatayo yanaweza kufanywa:
1. Kuimarisha Uchaguzi na Udahili: Mchakato wa kuchagua na kudahili maafisa wa vyombo vya dola unapaswa kuwa mkali na wa uwazi, ukizingatia zaidi maadili, tabia, na historia ya...
Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoriki Tanzania Daktari wa Falsafa na Padre ndugu Kitima amesema si haki na ni udhalilishaji wa wazi wanafanyiwa Wamasai wa NGORONGORO kwa kunyimwa haki zao.
"....leo hii tunapozungumza ndugu zetu Wamasai wa kule NGORONGORO wanatuma ujumbe mbaya wenye...
Haya mambo ya ajabu yanashangaza sana, huwezi kuta haya mambo ya kijinga yanafanywa na viongozi huko kwa wenye IQ 100+
Pia soma: Nchi yenye IQ kubwa Duniani
Hata hiyo namba tuliyonayo nahisi wame tupendelea tu.
Rank Country/Region IQ
1 Hong Kong * 106
2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.