uwajibikaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ushirombomoya

    SoC01 Ubepari ulivyochangia kushuka kwa malezi na anguko la uwajibikaji. Nini suluhisho?

    Habari! wanajukwaa, nimekuwa msomaji wa bandiko mbalimbali za wanajukwaa hili kwa kipindi kirefu hata kabla sijajiunga rasmi humu bandiko hizo zimeniongezea maarifa na kunihabarisha kwa kiasi kikubwa. Leo nami napenda nitoe mchango wangu kuhusu uhusiano kati ya ubepari na athari zake kwenye...
  2. S

    CCM: Tunafuatilia mienendo ya viongozi wetu wanaopotosha umma, kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wetu

    Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu na maadili ya Chama. CCM inawakikishia wanachama na watanzania kuwa hatua...
  3. FARAJI ABUUU

    Uwajibikaji ndiyo afya ya Utawala bora

    Tukizungumzia uwajibikaji hatuwezi kuiacha serikali na mashirika ya umma yaliyobeba majukumu ya kuwahudumia watu ukiangalia wakulima,wafugaji,wafanyabiashara,wanafunzi n.k wanaingalaia serikali na mashirika ya umma vipi wanawajibika na kusaidia kukidhi mahitajio ya matarajio yao. pamoja na...
  4. S

    Uongozi Bora na Uwajibikaji wa Kidemokrasia

    UONGOZI BORA NA UWAJIBIKAJI WA KIDEMOKRASIA Kwa maana ya jumla, demokrasia ni nguvu ya wengi katika kufanya maamuzi yanayohusu umma na kuweka usawa wa kisiasa katika matumizi ya nguvu hiyo (International IDEA 2008). Demokrasia ni lazima iwape wananchi uwezo wa kujieleza na kuwasilisha hoja...
  5. PendoLyimo

    Dkt. Chaula ahimiza uwajibikaji wa pamoja Shirika la Posta

    DKT CHAULA AZUNGUMZIA UWAJIBIKAJI WA PAMOJA POSTA Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Zainab Chaula ameitaka Menejimenti ya Shirika la Posta Tanzania kufanya kazi kwa tija, bidii, weledi na uwajibikaji wa Pamoja ili kuleta matokeo mazuri kwa Shirika na maslahi mapana...
  6. J

    Dkt. Chaula azungumzia uwajibikaji wa pamoja Posta

    DKT CHAULA AZUNGUMZIA UWAJIBIKAJI WA PAMOJA POSTA Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Zainab Chaula ameitaka Menejimenti ya Shirika la Posta Tanzania kufanya kazi kwa tija, bidii, weledi na uwajibikaji wa Pamoja ili kuleta matokeo mazuri kwa Shirika na maslahi mapana...
  7. M

    SoC01 Utawala bora, uwajibikaji kwa Tanzania tunayoitaka

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoendelea duniani na iliyojaliwa rasilimali nyingi ambazo kama zikisimamiwa na kutumiwa vizuri zitakuza uchumi na kuleta maisha bora kwa wananchi. Ili ziweze kusimamiwa na kutumiwa vizuri na ili uchumi uweze kukua na kuleta maisha bora kwa...
  8. DustBin

    SoC01 Misingi ya Utawala Bora na Uwajibikaji

    Ili kuendana na dunia ya sasa inayopiga hatua katika ukuaji wa sayansi na teknolojia, suala la uwajibikaji wa viongozi wetu na wale waliopewa mamlaka kuhakikisha wanatawala kwa kufuata misingi ya haki na usawa ni katika mambo ya msingi sana na muhimu katika jamii yetu. Sawasawa wawe viongozi wa...
  9. C

    Utawala Bora na Uwajibikaji

    Habari wakuu! Katika Nchi zilizoendelea na zinazoendelea suala la utawala bora na uwajibikaji ni kipaumbele cha kwanza ambacho kinawezesha nchi kuleta matokeo chanya mfano kwa hapa Tanzania suala la utawala bora na uwajibikaji bado halina nafasi kubwa hivyo hupelekea baadhi ya maeneo ya...
  10. CCM Music

    Uwajibikaji kwenye eneo la kazi

    Kwa mtazamo wangu binafsi naona jamaa amefikiria vizuri sana. Serikali yetu ya CCM hii tusilaze damu tuchukue fasta. Na wapinzani nawaonya, Serikali ya CCM ikichukua huu ushauri hahahahahaha mtapoteana miaka 50 mbele huko. Nimemwelewa sana. Document hii nimepata kwenye group moja la WhatsApp...
  11. beth

    Dkt. Charles Kimei: Bunge liwajibike kusimamia bajeti inayotekeleza kwa asilimia 100%

    Mbunge wa Vunjo, Dkt. Charles Kimei amesema Bunge lazima liwajibike katika kusimamia Serikali ili ije na Bajeti ambayo inatekelezeka kwa asilimia 100 huku ahadi zinazotolewa nazo zikitekelezwa. Ameeleza, "Mimi nilikuwa najua Bajeti ni Sheria, lakini kama tupo hapa miezi mitatu halafu tunaambiwa...
  12. Thailand

    Kwa uwajibikaji huu wa Wizara ya Michezo, hakika Dkt. Magufuli tutakukumbuka mzee wa msimamo

    Yaani wizara ya michezo chini ya waziri Bashungwa inakuja na tamko jepesi kuhusu kuwarudishia mashabiki pesa zao za viingilio kutokana na kuhahiriswa kwa mechi ya simba na yanga bila kuwajibika kwa aliyesabisha tatizo hilo. Bila kifikiria adha na usumbufu watu walioacha shughuli zao huko...
  13. Grahams

    Dhana ya Kuinuana Kiuchumi baina ya Wanafamilia; Kuna haja unapompa ndugu yako Mtaji wa biashara umtoze riba ili kuongeza uwajibikaji?

    Binafsi naamini kwenye familia, mmoja anaweza kuinuliwa ili aweze kuwainua wengine. Ndiyo maana kwenye maandiko Kitabu cha Mwanzo 42:25-28 unaona Yusufu alivyoinuliwa ili kuwasaidia ndugu zake. Kuna mtu anaweza kujiuliza kwani ni lazima kuwasaidia ndugu zako, Jibu sio lazima (Sijui kama kuna...
  14. J

    Nini maana ya Uwajibikaji kama msingi wa Utawala Bora?

    Uwajibikaji ni hali ya kiongozi na mtendaji kuwa tayari kujibu, kubeba dhamana na kutoa maelezo kwa wananchi juu ya maamuzi au matendo aliyoyafanya katika kutekeleza dhamana aliyopewa. JE, KATIBA INASEMAJE? Kwa mujibu wa Ibara ya 8 (1) (c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977...
  15. technically

    Maagizo ya Rais Samia kwanini hayafanyiwi kazi kwa wakati?

    Agizo la kufuta kesi zote hewa za watu waliobambikizwa kwanini watu bado wapo mahabusu mfano Mashehe wa uhamsho? Agizo la kufungua vyombo vya habari mpaka sasa kimya Agizo la kufungua biashara kati ya Tanzania na Kenya leo usiku kuna wavuvi wa Kenya wamekamatwa kwenye ziwa Victoria. Report ya...
  16. M

    DOKEZO Hivi bodi ya benki ya NMB mpo?

    Nashindwa kuelewa hii bodi ya wakurugenzi ya NMB, mbona mpo kimya sana na mambo yanayoendelea NMB kwasasa. Huyu mtu anayeitwa Pete Novat amekuwa na madaraka makubwa sana kaachiwa na huyu Mama wa kizungu ananyanyasa sana watu, hasa kwenye upande wa rasilimali watu. Kazi anajaza ndugu zake NMB na...
  17. Donatila

    Tanzania yajiondoa kwenye Mkakati wa Uwazi, Ushiriki na Uwajibikaji(OGP)

    Serikali ya Tanzania inadaiwa kujitoa kwa muda kwenye Mkakati wa Uwazi, Ushiriki na Uwajibikaji yaani Open Goverment Partnership(OGP). Inadaiwa Serikali imeamua kujikita kwenye "kutumbua majipu" kwanza kabla ya kujikita kwenye uwazi. OGP ilianzishwa mwaka 2011 na ilianza na Serikali 8 hadi 70...
Back
Top Bottom