uwajibikaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChoiceVariable

    Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

    My Take Cheo ni dhamana, maisha yaendelee 🙏🙏👇👇 === Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt, Moses Kasiluka, viongozi hao ni kama...
  2. Ritz

    Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024

    Wanaukumbi. MAREKANI: Rais Joe Biden ametangaza kujiondoa katika kinyang'anyiro cha kuwania Urais kwa awamu ya pili Kwa hatua hiyo, Chama cha Democrats kitatakiwa kuchagua Mgombea mwingine. ===== Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza kuwa hatagombea tena urais, akisema "ni kwa manufaa ya...
  3. Not_James_bond

    Je, Msafara wa Rais wenye Magari 118 ni Uwajibikaji?

    Katika nchi nyingi za Kiafrika, viongozi wa kisiasa wamekuwa wakikabiliwa na maswali na ukosoaji kuhusu matumizi ya rasilimali za umma. Moja ya mambo yanayozua mjadala mkali ni ukubwa wa misafara ya raisi, ambayo mara nyingi inajumuisha idadi kubwa ya magari. Hivi karibuni, suala hili...
  4. BLACK MOVEMENT

    Kule Kenya Gen Z wanadili na Wakusanya Kodi wa Kenya, Tanzania tunadili na Mbowe ambaye hakusanyi kodi

    Gen z wanadili na Ruto ndio anaye kusanya kodi na kuzitumia vibaya, Raila wala Kalonzo hawakusanyi Kodi, Raiala yuko enzi za Moi na hakusanyi kodi za Kenya waka hapangi bajeti ya Kenya. Tanzania SAMIA ndio anaye kusanya kodi na tozo na kuzitumia kwa anasa huyu wajinga hawamuini. Wanaoambana...
  5. J

    Nchi hufilisika pale inapokuwa imeweka rehani rasilimali zake zote na siyo inapofeli kulipa Wakandarasi

    Nchi inapoweka Rehani Rasilimali zake zote Ndio tunaiita Mufilisi kwa sababu inakuwa haikopesheki tena. Kuchelewa kulipa makandarasi na Wazabuni wengine hilo ni jambo la kawaida sana Ndio sababu umewekwa utaratibu wa kuwalipa Riba ya kuchelewesha malipo. Ni sawa tu hii Mikopo yetu ya Eniembii...
  6. Cute Wife

    Kesi ya Malisa kituko! Wafika Mahakamani leo Julai 18 wakuta haijasajiliwa!

    Kesi ya uchochezi inayomkabili Mwanaharakati na Mkurugenzi wa GH Foundation, Godlisten Malisa imezua sintofahamu baada ya kufika mahakamani leo, Julai 18, 2024 mkoani Kilimanjaro na kukuta kesi hiyo bado haijasajiliwa. Pia soma: Kilimanjaro: Godlisten Malissa afikishwa Mahakamani Malisa...
  7. Cute Wife

    Pre GE2025 Ungependa zoezi la Upigaji Kura kwenye Uchaguzi Mkuu 2025 lifanyikaje?

    Wakuu, Mwaka huu 2024 tutafanya uchaguzi wa serikali za mtaa na mwakani 2025 tutafanya uchaguzi Mkuu ambapo tutachagua Madiwani, Wabunge pamoja na Rais. Kwa kuzingatia chaguzi za nyuma mpaka kufikia leo ungependa zoezi la uchaguzi lifanyikaje ili kuongeza uwajibikaji, utawala bora pamoja na...
  8. Erythrocyte

    Kilimanjaro: Godlisten Malissa afikishwa Mahakamani

    Mkurugenzi wa Taasisi ya GH Foundation, Godlisten Malissa tayari amefikishwa Mahakamani leo 18/07/2024, ambako anatarajiwa kusomewa Mashtaka kadhaa likiwemo la Uchochezi Pia soma: Malisa aripoti Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi, ajulishwa kuwa upelelezi haujakamilika Anatetewa na Mawakili Hekima...
  9. RWANDES

    Tatizo siyo viongozi wala vyombo vya dola bali mamlaka makubwa aliyonayo Rais, mwishowe wanafanya kazi kulinda ugali wao!

    Vyombo vyetu vinafanya kazi kubwa sana, yapo mambo makubwa ambayo yanahitaji hadi Rais ashirikishwe kufanya maamuzi lakini mambo mengi hupuuzwa. Kwa sababu Katiba imempa mamlaka makubwa mkuu wa nchi hasa kwenye teuzi na mambo mengine ndiyo maana anapoona unaenda kinyume naye utaishia...
  10. Yoda

    Vijana Waafrika waachane na mawazo mfu yaliyopitwa na wakati ya kulaumu "mabeberu"

    Huku kulaumu watu wa nje kwa matatizo ya sasa ya Afrika ni mawazo yaliyopitwa na wakati yasiyo na tija yoyote, yanahaitaji kukataliwa na kupuuzwa kabisa. Inasikitisha zaidi fikira hizi kuendelea kuwepo na kuaminiwa tena na vijana. Chanzo kikuu cha umaskini wa Africa ya sasa ni utawala mbovu...
  11. Cute Wife

    Mahakama Kuu yatangaza Sheria ya Bima ya Afya ya Jamii ya mwaka 2023 kuwa kinyume na Katiba

    Pigo jingine kwa Rais Ruto baada ya Mahakama Kuu kutangaza Sheria ya Bima ya Afya ya Jamii ya mwaka 2023 kuwa kinyume na katiba. Sheria hii ilikuja baada ya NHIF kuondolewa, bima ambayo Wakenya wengi wamekuwa wakiitaka irejeshwe.
  12. Dkt. Gwajima D

    Ziara yangu ofisi za JamiiForums

    Wasalaam Wanajukwaa wenzangu. Mapema tarehe 12 Julai, 2024 nimetembelea Ofisi za Jamii Forums kama mojawapo ya taasisi inayojihusisha na habari za kijamii. Lengo la ziara ni kuweza kufahamu shughuli za taasisi hii na kuona namna ya kushirikiana Ili kupanua wigo wa kuifikia jamii kidigitali...
  13. Mfilipi WaTanzania

    Kwa mujibu wa utafiti wa mwaka 2020 Jeshi la Polisi lilitajwa kama kinara wa Rushwa Tanzania

    Kwa Mujibu wa Utafiti wa “National Governance And Corruption Survey 2020” Jeshi la Polisi ni Taasisi Kinara kwa Rushwa nchini Tanzania kwa tasisi za Umma ikiwa na Alama 45.6%. Huu ni Utafiti uliofanywa kwa kuhoji Wananchi Maeneo Mbalimbali nchini. Wahojiwa walitoa maoni na kuonyesha kuwa Jeshi...
  14. Cute Wife

    Wakili Kambole: Hakuna kosa kisheria mtu kupiga picha akiwa na fedha zake

    Wakili wa kujitegemea Jebra Kambole amesema kuwa, hakuna kosa kisheria kwa mtu pale anapoamua kupiga picha akiwa na fedha zake. Wakili Kambole amesema hayo Julai 10, 2024 alipokuwa akihojiwa na kituo cha redio cha ambapo amesisitiza kuwa, endapo mtu akikamatwa kwa kosa hilo ana uhalali na uwezo...
  15. Cute Wife

    Pre GE2025 Kesi ya mwanachama wa CCM na CHADEMA ni vitu viwili tofauti, huyo mwingine lazima tuhangaike naye!

    Haya ni maneno yanayosemwa na mwana CCM, kwamba wao wakifanya kosa, watashughulikiwa tofauti na CHADEMA, hata ikiwa polisi ataonywa tu asirudie basi, ila kwa wengine kama CHADEMA ni tofauti, lazima ahenyeshwe sawa sawa! Na hili ni kweli kabisa, si tunaona yanayotokea? Mwenyekiti UVCCM Kagera...
  16. Cute Wife

    Kusema ukweli mabasi mengi ya shule (school bus) ni skrepa, tusisubiri hadi majanga yatokee ndio tushtuke

    Wakuu, Mabasi haya si mageni kwetu, baadhi yanabeba watoto wetu, wa jirani zetu na wengine watoto wetu ndio madereva kwenye magari haya, nina imani wote tutakubaliana kuwa magari haya hasa kwa hapa Dar ambako nimeshuhudia, mengi yanapumulia mashine, hayafai hata kidogo kutumiwa na na watoto...
  17. RWANDES

    RC Iringa hafai, hamsaidii Rais kwani ameonesha dharau mbele ya Waziri Mkuu kwa kutetea ubadhirifu wa fedha

    NI aibu kwa Mkuu wa mkoa Iringa kutetea wabadhirifu wa fedha za umma mkoani Iringa, jengo la bwalo tayari zimeshatafunwa sh milioni 431 ujenzi hauleweki Mkuu wa Mkoa yupo tu anapunga kiyoyozi ndani ya ofisi. Madawati yaliyotengenezwa hayana ubora, mkuu wa mkoa unatetea waliofanya kazi hiyo ...
  18. peno hasegawa

    Pre GE2025 Wananchi wa Kilimanjaro wachangishana kurekebisha barabara mbovu yenye urefu wa kilomita 72

    Changamoto ya ubovu wa miundombinu ya barabara katika eneo la Kiruweni, Kata ya Mwika Kusini, Wilaya ya Moshi, imewalazimu wananchi wa eneo hilo waishio maeneo mbalimbali nchini kuchangishana fedha na kuanza ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilomita 72 kwa kiwango cha changarawe. Eneo hilo...
  19. Cute Wife

    Waziri Masauni aonya wanaodhihaki viongozi mtandaoni

    Ila CCM imejaa viongozi wengi wajinga, badala mtilie mkazo kwenye uadilifu, kukemea uchawa na wizi, rushwa na ufisadi, mnakuja kujitia aibu kwa ujinga kama huu! kwani nani hajui kukosolewa kwenu ni matusi? Kukosolewa kwenu ni uchochezi? Kukosolewa kwenu ni kuleta machafuko? Yaani kama hamtoshei...
  20. Yoda

    Skendo ya Bashe na sukari ni kubwa kuliko, isiache ipite bila uwajibikaji.

    Ukiyasikiliza maelezo ya Bashe katika tuhuma za maamuzi na kutolewa vibali vya biashara ya kuingiza sukari yana walakini mwingi na kuacha maswali zaidi 1. Ni kweli Bashe anayo mamlaka ya kujifanyia maamuzi tu kwamba nchi ina dharura ya upungufu wa sukari yanayompa mamlaka ya kutofuata taratibu...
Back
Top Bottom