uwajibikaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Try Again anajiuzulu vipi ajatoa majibu? Shida ya team?? Mo makazi Dubai?

    Mashabiki wa simba mbona siwaelewi 1. Mtu anajiuzulu vipi ajatoa progress ya team akitoka? How will things run? 2. Shida ya simba nini?? majibu? 3. Wakati huu wa usajili na mipango ya mwakani?? nani atatoa orientation?? au mna za upya?? 4. MO makazi yake ni dubai?? vipi?? chairman via...
  2. The Sunk Cost Fallacy 2

    Rais Samia: Waliosema nimeuza Bandari na Bahari faida yake ndio hii

    My Take Mlisema Samia ameuza Bandari Kuna bango lenu hili hapa, ni spana tuu Kwa kwenda mbele. ======= Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imevunja rekodi kwa kutoa jumla ya Shilingi za Kitanzania 153.9 Bln kama gawio kwa Serikali kuu kwa mwaka wa fedha Mwaka 2023/2024. Gawio...
  3. L

    Rais Samia: Wananitukana wakitaka niwajibu, sasa siwajibu..

    Ndugu zangu Watanzania, Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii. Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua shangwe kwa watanzania mbalimbali waliokuwa wakifuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka ikulu...
  4. S

    SoC04 Tanzania tuitakayo inatakiwa iwe ya uwajibikaji

    Tanzania ni mojawapo ya nchi chache zenye kila aina ya rasilimali ila bado imekua masikini na inasua sua kiuchumi,yafwatayo yanatakiwa kurekebishwa ili taifa hili liendelee. Uhuru wa vyombo vya habari: Bado sijaona uhuru wa kuhabarisha uma kwa vyombo vyetu vya habari, huenda ikawa ni utashi wa...
  5. kirengased

    Serikali iondoe dhulma na uonevu Tanzania

    Pamoja na matumizi ya kidigitali serikalini na kufutwa kwa analojia ni aibu Kwamba bado system za serikali hazitendi haki na zinaruhusu dhulma,rushwa na kupendeleana. Serikalini kunawatu wameajiriwa miaka ya karibuni lkn wamehonga na kupewa madaraja wasiyostahili. Mfano unakuta mwalimu...
  6. Nyendo

    Viongozi na kuhangaika kurekebisha mambo wanapotembelewa na viongozi ngazi za Juu

    Ukistaajabu ya Mussa utaona ya viongozi wakiwa na hekaheka za kurekebisha mambo yao wakijua watatembelewa na viongozi ngazi ya juu, utajionea vituko vya mahangaiko yao wakati siku zote walikuwa wamekaa kama hawaoni kuna kasoro au hawahusiki na kurekebisha. Utapigwa butwaa kama ni barabara...
  7. P

    Viongozi wa manispaa ya Temeke kuweni wabunifu

    Kwanza ni wape pole kwa kazi kubwa mnayoifanya ,viongozi wangu wa manispaa ya Temeke.Ninaimani kubwa na nyinyi ,hasa katika kuwaletea maendeleo wana Temeke wote. Pili,niipongeze manispaa ya Temeke ya kujenga kituo cha mabasi kwa kata ya Buza .Kwa kweli ni jambo la maana na lakupigiwa makofi...
  8. I

    Rais wa Burkina Faso Ibrahim Traore awapa wananchi ruhusa ya kumuadhibu waziri kwa ufujaji wa fedha za umma

  9. Day 1 gongs

    DED Manyoni uwe na utu katika utendaji wako wa kazi, afya ni nguzo kuu ya mtu

    Habari wanajf, DED Manyoni uwe na utu Kwa watumishi walio Chini yako haswa ukizingatia afya ndiyo msingi wa rasilimali watu, Kipi kinakufanya kushindwa kumruhusu mtumishi wako Kada ya Uchumi ambaye anasumbuliwa na maradhi ya mapafu tena Kwa uthibitisho wa Medical Report ya Daktari kutoka...
  10. C

    Mageuzi ya Kisiasa 2030

    Siasa ya Tanzania imekua katika mdidimio mkubwa kuanzia 2020 na sababu kubwa ni kutokuwa na Demokrasia ya kweli, wakati wananchi wakitaka mabadiliko na mfumo mzima wa uendeshahi nchi wanasiasa wa upinzani wamegeuka na kuwa wasaliti kwa wananchi na kurudi upande wa chama tawala. Wananchi...
  11. S

    Viongozi wakiacha kujipigania wao na familia zao hatutakuwa watumwa

    Viongozi wakiacha kujipigania wao na familia zao (kununua magari ya kifahari, ziara za gharama nje ya nchi) wakapigania taifa kwa dhati hatutakuwa watumwa wa misaada ya kiteknolojia, fedha, na mengineyo.
  12. My Honest Book

    Unakuabaliana na mimi kuwa tungekuwa na Wakuu wa Mikoa kama Makonda tusingekuwa na haja ya Wabunge?

    Naomba kukana kutumika kwa hii tathmini yangu ninayoenda kuisema hapa bali ni kwa uhuru wangu wa kutoa maoni na utimamu wangu wa kuweza kuona na kutambua mema na mabaya. Ni hivi wakuu, mimi kwa ufatiliaji wangu wa utendaji kazi wa RC Makonda tangu aanze majukumu yake km Mkuu Wa Mkoa wa Arusha...
  13. DeMostAdmired

    Hii nchi kazi tunayo, kila mahali ni Ufisadi

    Mikipo ndo mikipo Ufisadi ndo unakithiri Uchawa ndo usiseme Rushwa, uzembe makazini, shame on us
  14. H

    SoC04 Taasisi ya kuzuia na kumbana na rushwa iongeze nguvu katika kudhibiti rushwa katika vituo vya kupima uzito magari ili kulinda miundombinu ya barabara

    Taasisi ya kuzuia na kumbana na rushwa (TAKUKURU) inapaswa kushirikia na wizara ya ujenzi kupitia wakala wa barabara (Tanroads) ili kudhibiti vitendo vya rushwa kati ya madereva na mafisa wa vituo vya kupima uzito wa magari ili kusudi miundombinu ya barabara hasa za mikoani kuweza kudumu kwa...
  15. Analogia Malenga

    Ruto: Nilitumia pesa kidogo kwa ziara yangu ya Marekani

    Rais Ruto: Ndege yangu ya kwenda Marekani iligharimu chini ya Ksh.10 milioni. Hakuna njia ninaweza kutumia Ksh.200 milioni. Mimi ni msimamizi mwaminifu. Mimi si mwendawazimu. Lazima niwe kiongozi wa mfano na mjadala huo lazima ukome. ==== Pia soma: Safari ya Rais Ruto nchini Marekani yadaiwa...
  16. A

    SoC04 Kuongeza wigo wa matumizi ya mifumo ya tehema ili kurahisisha ukusanyaji wa data (taarifa)mbalimbali kuanzia ngazi ya Serikali za Mitaa

    UTANGULIZI Data au Taarifa ni kiini cha maendeleo katika taifa. Taifa lililoendelea na linaloendelea hutegemea data (taarifa), namna nchi inavyokusanya taarifa,kuzihifadhi,kuzichakata na kupata matokeo ya data hizo ndiyo imekua tofauti kubwa kati ya Mataifa yaliyoendelea na yanayoendelea...
  17. M

    Ni ngumu kuibadili jamii inayoamini katika njia ya mkato ya maendeleo

    NI ukweli husiopingika kwamba kila mtu anatamani maendeleo na ukweli huo hauwezi kubadilika. Shida inayoniumiza kichwa changu Kwa sasa NI Kwa nini waafrika tunapenda short cut, hatupendi kuanzia chini au kutumia NJIA sahihi kupata mafanikio endelevu. Nafahamu kwamba afrika tunategemea Sana...
  18. R

    Pre GE2025 Luhaga Mpina: Nchi sita za Afrika zilizopindua Serikali zao zilikuwa sahihi

    Salaam, Shalom!! Akiongea kupitia press aliyoitisha nje ya Bunge amedai kuwa UMOJA wa Afrika haupasi kuzisimamisha uanachama Nchi 6 zilizopindua Serikali zao kwa sababu Watawala waliopinduliwa hawakujali sauti na matakwa ya wananchi. Amedai kuwa RUSHWA ikitamalaki, ukiukwaji wa HAKI za...
  19. A

    KERO TANROADS, kwanini mnaruhusu watu kujenga kwenye hifadhi ya barabara? Mnaweka amri ya Katazo baada ya wiki ujenzi unaendelea

    Kuna utaratibu wa TANROADS kuruhusu ujenzi wa majengo kwenye hifadhi ya barabara. Kuna ujenzi pia unaendelea kwenye hifadhi ya barabara za TARURA. Wanachofanya nikuweka Katazo kwa lengo la wewe kufika ofisini kwao, ukifika unaongea nao kwa capital letter then wanakuambia kaendelee. Watanzania...
  20. T

    Kama hujawahi kukutana na usumbufu, dharau na jeuri za watumishi wa serikali, utaendelea kutoona anachofanya Makonda

    Ukweli ni kwamba yawezekana Makonda ana mapungufu yake kama mwanadamu mwingine yeyote. Lakini kwa kero za nyingi ya ofisini za uma hasa unapokuwa unahitaji huduma yenye viashiria vya maslahi, utazungushwa na kusumbuliwa kwa vitu vidogo sana, unapoteza muda, gharama ya fedha na gharama zingine...
Back
Top Bottom