haki

  1. Atlast nimempata

    Mfuko wa hifadhi ya jamii PSSSF ni mfuko dhalimu! Naulaani milele! Umenidhulumu haki yangu niliyoidai miaka 14!

    H
  2. Jackal

    Trump Amuondolea Joe Biden Haki Ya Kupatiwa" Taarifa Za Siri/Classified Informations "Kama Ilivyotakiwa Kwa Maraisi Waliotangulia Wa Marekani

    President Donald Trump has said he’s revoking Joe Biden’s security clearance and ending the daily intelligence briefings he’s receiving, in payback for Biden doing the same to him in the wake of the January 6 attacks. Trump announced his decision in a post saying: “There is no need for Joe...
  3. The patriot man

    Wanawake mna haki ya kutopenda Wanaume wafupi

    Aisee mimi ni mwanaume ila wanaume wafupi wanaudhii yaani hata ukimuangalia anatia huruma hasa akiwa na kitambi daah.. Sikosoi uumbaji wa Mungu ila mwanaume kuwa mrefu inapendeza bana
  4. Mshana Jr

    Wakati mwingine, wengine huchukulia wema na matendo mema kuwa ni haki yao na sio ukarimu kutoka kwako

    Mwanaume alikuwa na kawaida ya kumpa ombaomba mmoja Shilingi milion moja kila mwezi. Mtu huyo aliendelea kufanya hivyo kwa muda Sana.. Sasa Siku moja, akampa ombaomba shilingi laki saba na nusu pekee. Ombaomba yule alishangazwa na hilo, lakini akajisemea, 750,000 ni bora kuliko kukosa...
  5. Miss Zomboko

    Pre GE2025 Haki ya kupiga kura haishii kwenye tendo la kupiga kura

    Haki ya kupiga kura ni mojawapo ya haki za msingi za kiraia inayowapa raia uwezo wa kushiriki katika mchakato wa kidemokrasia kwa kuchagua viongozi wao na kushiriki katika maamuzi ya serikali. Haki hii ni muhimu katika kuhakikisha usawa, uwajibikaji, na ushirikishwaji wa wananchi katika utawala...
  6. K

    Haki ya kuchagua na kuchaguliwa katika mfumo wa kidemokrasia ndani ya CCM

    Kuchagua na Kuchaguliwa Ni haki ya kikatiba ya CCM. Kuchagua na kuchaguliwa ni haki ya kiuraia ya kila Mtanzania mwenye utimamu wa akili, ambayo haiwezi kutungiwa sheria wala kanuni ili kuvizwa. Nilisikika ndotoni nikimwaga upupu wa neno baada ya kuvuta bangi huko ndotoni, ingawa haiui kama...
  7. B

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Tunawaalika wasio wanachama wa CHADEMA waje wajiunge na Chama chetu cha Haki, tupiganie maendeleo na ustawi wa Nchi yetu pamoja

    Kipenga kimepulizwa, wito umetolewa. Shime kila mtanzania anayechukia wizi, ufisadi, uuzwaji wa rasilimali za umma kwa wageni, utawala usiozingatia haki na heshima anaombwa kwa unyenyekevu kujiunga na Chama chenye mwelekeo chanya. Ni Mh Tundu Lissu Mwenyekiti Taifa Chama cha demokrasia na...
  8. S

    Unajisikiaje serikali yako inaponunua vifaa vya kukuumiza si kwa sababu wewe ni mwizi, jambazi, muuaji, mbakaji, nk, bali kwa sababu unadai haki?

    Angalia hili lidubwana hapa chini; Sasa madudu ya kutisha kama haya, serikali yako ya Tanzania imeyanunua kwa ajili ya kuumiza wananchi wake, ambao sio kwamba wana makosa makubwa kama uasi dhidi ya serikali, ujambazi, uharamia, ujangili, ubakaji, uuaji wa watu wasio na hatia, utapeli, ufisadi...
  9. Juice world

    Mungu saidia wapigania haki m23 waikamate kinshasa

    Mungu wape nguvu Hawa wapambanaji wa haki za wananchi waweze kuikamata kinshasa na kuweza kuleta Maendeleo Kwa wacongoman bila ubaguzi wowote sababu Hawa ndio wapigania haki wa kweli japo wanapigana dhidi ya magaidi ya FARDC waliozoea kunyonya raia wameenda kumsaidia gaidi mwenzao tshekedi ila...
  10. Magical power

    Kuongea na mababu na mabibi zako waliotangulia mbele za haki

    Tafuta vyakula alivyopenda kula na vinywaji alivyopendelea wakati wa uhai wake huyo marehemu. Nenda makaburini tafuta nafasi nzuri ya kukaa hakikisha uko peke yako na huonekani na watu. Ksha mwaga kile chakula alichopenda marehem au mzimu unaouita ,sema hivi we fulani weka jina lake mimi fulani...
  11. Rorscharch

    Ukiondoa Ukakasi wa Kauli za RC Chalamila Mnyonge Mnyongeni Ila Haki Yake Mpeni, Waafrika Tunapenda Kulelewa Mpaka Imekuwa Ulemavu

    NCHI INAZAMA KWA KUKUMBATIA UJINGA Je, umewahi kujiuliza kwa nini nchi hii haipigi hatua licha ya kuwa na rasilimali, amani, na nafasi za kujikwamua? Sababu iko wazi: tunakumbatia ujinga na kusambaza mzigo wa maamuzi yetu mabaya kwa wengine. Mtu anataka kondomu afadhiliwe, akishindwa kuitumia...
  12. Ojuolegbha

    Haki, Uwazi na Heshima ya Taifa; Jibu kwa Ado Shaibu

    Wito wa Ado Shaibu wa kuwekwa wazi kwa ripoti ya mauaji ya Mzee Ali Kibao unapaswa kuchambuliwa kwa kina, hasa kwa kuzingatia dhamira ya kweli ya haki na uwajibikaji. Rais Samia Suluhu Hassan ameonyesha msimamo wa uwazi na uwajibikaji, akitoa maelekezo thabiti kwa vyombo vya dola kuhakikisha...
  13. Kitimoto

    Mungu Tunakuomba Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu 2025 Tanzania Uwe ni Uchaguzi Huru na wa Haki

    Mungu tenda miujiza yako kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka huu 2025 CCM ishindwe sababu wamejimilikisha ukuu wako. “kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu. ” — Luka 1:37 (Biblia Takatifu) GOD BLESS TANGANYIKA
  14. L

    Pre GE2025 Mwenyekiti wa Chadema Wakili T Lissu Leo atasindikizana na wependa haki wengine kwenye kesi ya Dr Slaa

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Wakili TUNDU LISSU, leo tarehe 30 Januari 2025 ataungana na WAPENDA HAKI WENGI katika KUPOKEA Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar Es Salaam kwenye KESI ya DKT. WILBROD SLAA dhidi ya JAMHURI.
  15. M

    KERO PSSSF Dodoma tofautisheni msaada na Haki ya Mtu

    Wanajukwaa habari za muda huu. Ninalazimika kupanda jukwaani kutokana na usumbufu mkubwa sana uliopo Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSSSF . Hawa watu wanakuwa na vipengele vingi vya kufuatilia na hata ukishakamilisha wanafanya malipo wanavyotaka. Hivi inakuwaje mtu anajaza taarifa zinachukua...
  16. Genius Man

    kwa hii tume anayounda mgombea wa chama tawala tutegemee kitendo cha kujiteuwa na sio uchaguzi wa haki

    Katika uhalisia ndani ya taifa mgombea wa chama tawala ndio anajiundia tume mwenyewe hii sio demokrasia wakati nchi inawagombea zaidi ya mmoja na inamfumo wa vyama vingi vya siasa na ina wataalamu wa kisiasa kwanini mgombea anaunda tume ? Nilishauri tume huru kuundwa na wataalamu wa masuala ya...
  17. Akilindogosana

    Pre GE2025 Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atashinda kwa 95%, Samia atakuwa nafasi ya nne.

    Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%. Bitozo atashika nafasi ya nne. Ushindi wa Urais wa Tundu Lissu ni UHAKIKA kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atachukua nafasi ya kwanza kwa 95%. Bitozo ataambulia 1%. Watu wengi mno...
  18. K

    Msishangae tumeona Watanzania wengi wanataka Haki

    Watanzania wengi hawajali vyama vya siasa wanajali Haki. CCM wanatumia pesa za serikali lakini kwasababu ya rushwa kubwa iliyopo serikalini na wananchi kukosa haki zao za msingi kuanzia mahakamani, chaguzi, polisi na mambo mengine tusishangae Watanzania wengi kufuatilia mkutano wa Chadema kuliko...
  19. JanguKamaJangu

    Uhuru Kenyatta awaambia Gen Z "Msikubali haki yenu ipotee, ipambanieni sio mnakaakaa tu mnaogopa"

    https://www.youtube.com/watch?v=J8egAFLzxsA Siku mbili baada ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kutoa rai kwa vijana nchini Kenya kupigania haki zao na utawala bora nchini Kenya, Rais William Ruto amemtuhumu mtangulizi wake huyo kuwachochea vijana nchini Kenya kufanya fujo. Usemi huo wa Rais...
  20. Genius Man

    Sisi kama nchi Tumetoka kwenye mfumo wa haki na demokrasia tumeingia kwenye mfumo wa udanganyifu uliovaa uso wa kidemokrasia

    Tumetoka kwenye ukweli na haki tumeingia kwenye mfumo wa udanganyifu ambao ni mfumo usiokuwa na maana yoyote hali inayopelekea nchi kuonekana kama ni ya kidemokrasia kwa nje lakini ndani yake sio kama inavyoonekana kuanzia kwenye vyama hadi kitaifa kwa ujumla. Watanzania wengi kama mimi wapo...
Back
Top Bottom