Je kuongezeka, kuimarika na kushamiri kwa hali hii ya uelewa mpana wa mambo kwa wananchi, kumechochewa zaidi na nini, ili kusudi pia kichocheo hicho kitumike kuchochea Elimu na uelewa wa katiba iliyopo na inayokusudiwa?
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma
Mheshimiwa Jaji Mkuu,
Tarehe 29 Septemba 2023, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mbeya, Paul Ntumo, alimhukumu kifungo cha miaka mitatu na nusu, Mchungaji Mbarikiwa Dickson Mwakipesile (39), baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kuendesha huduma ya...
Takriban walimu 200 wa shule za msingi na sekondari Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameandamana mpaka Ofisi ya Mkoa ya Chama cha Mapinduzi wakiomba Serikali kuingilia kati madai yao ya upandishwaji wa madaraja ya mshahara baada ya kukaa kwa muda mrefu katika utumishi bila kupata stahiki hiyo...
“Askari ana uhuru wa kukaguliwa, kwa sababu mara nyingine wanasema [watuhumiwa] bangi hii haikuwepo, ameingia nayo nimewekewa. Ili kuondosha mashaka hayo ya msingi, afisa wa polisi anasema naomba nikaguliwe ili mambo yakienda yatakayokutwa kule [mahakamani] asiwe na nafasi ya kuyakana kwamba...
Nchi kadhaa Barani Afrika zinatumia Teknolojia dhidi ya Wakosoaji, vikundi vya Upinzani, Waandishi wa Habari, na Watetezi wa Haki za Binadamu na kudhoofisha Uhuru wa Kujieleza na Haki za kujumuika na kukusanyika.
=================================
Over the last few years, Africa has experienced...
Huyu alikulia hood mitaa iliyojaa msoto, uhalifu na umasikini, wazazi wake walikuwa kundi la black oanthers wanaharakati wa kupigania haki za wamarekani weusi, ni kundi lililokuwa likisakwa kila kukicha na serikali ,mama yake pekee alikuwa na kesi kama 50 zs uchochezi, kalelewa na ndugu tofauti...
Mh Waziri wa Elimu Prof Adolf Mkenda okoa mstakabali wa maisha ya binti huyu.
"Kaka Yericko pole na Majukumu, Naomba kaka nisaidie, mtoto huyu kwenye picha anaitwa SIFIKA DANIELY RUBEN, naomba apate Haki zake, Ipo hivi kaka, Nilikuwa natafuta binti wa kazi za ndani, Nikapata binti kutoka...
Tafiti mbalimbali za Kimataifa zinaonesha Mahakama ni moja ya Taasisi zinazoongoza kwa vitendo vya Rushwa katika nchi za Afrika na Amerika ya Kusini.
Ingawa dhana hii inaweza kubadilika, haipaswi kupuuzwa kwani Rushwa Mahakamani hupelekea kukosekana kwa Haki na hivyo kuharibu Imani ya Umma...
In this life baada ya kusoma Kitabu cha The Power of Now by Echhart Tolle nimeelewa kuwa sisi kama binadamu huwa tunajidanganya sana kuhusu kuwaza mambo yajayo na yaliyopita.
Honestly, hakuna hata siku moja mtu unaweza ukaamka uka-experience kuhusu future na past ila utaamka na ku-experience...
Wakuu kuna mwanamke nilizaa nae mwaka 2007, wakati nikiwa na mke wangu, na sikuwai kuishi nae zaidi ya kuwa nilikuwa naenda alikopanga mara moja moja, na mara nyingine akishindwa kodi ya nyumba nilikuwa namlipia, na pia alikuwa na fremu ya biashara, alikua akishindwa kodi namsaidia. Mimi na wife...
Kwa mujibu wa Ripoti ya 'Tanzania Elections Watch' ya 2021 Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 unatajwa kuwa moja ya Chaguzi zenye ushindani mkubwa zaidi katika historia ya Siasa za Vyama vingi Nchini Tanzania.
Ulifuatiliwa na Watu wengi Kimataifa, kutokana na Mazingira ya kurudi nyuma kwa Demokrasia...
JESHI la Polisi nchini, limewataka watu wanaojichukulia sheria mkononi kwa kuwashambulia askari wanaobeba siliha kuacha tabia hiyo mara moja kwani sheria inamruhusu kutumia silaha hiyo kwa ajili ya kulinda uhai wake, uhai wa mtu mwingine na mali binafsi na za serikali.
Taarifa hiyo imetolewa na...
IGP Wambura amejikita kwa taaluma yake ya TISS kuhakikisha jeshi la polisi linazima kila sauti inayohoji madudu ya mtawala.
Pia wapo wananchi ambao wamechoshwa na dhuluma wanazofanyiwa lakini majibu ya kero hizo ni kuswekwa mahabusu
Kamata kamata ya kimya kimya inaendelea.
Serikali ijiepushe...
Mahakama ya AfCHPR imeeleza kuwa Tanzania inapaswa kufuata Mabakubaliano ya Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu ulioanzisha Mahakama hiyo kwa kuondoa Adhabu za Utesaji, Ukatili, Unyama na Udhalilishaji.
Pia, Jopo la Majaji 11 limeagiza Mamlaka za Tanzania kuwasilisha Ripoti kuhusu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Septemba, 2023
https://www.youtube.com/live/UkbF5Mxsv7s?si=-fZrc0yrA0ppwyvs
===
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa pongezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.