Sisi ni wanafunzi tunaosoma Shahada ya Utoaji Dawa za Usingizi na Ganzi Salama (NURSE ANAESTHESIA) Shahada hii inachukua miaka minne mpaka kuhitimu.
Dawa hizo ni mhimu sana katika Huduma za Kiafya hasa katika sehemu ya vyumba vya upasuaji (theater), kwa wagonjwa mahututi, emergency, clinics na...
Anonymous
Thread
haki
hii
katika
maboresho
salama
serikali
shahada
usingizi
wanafunzi
wanaosoma
zao
Friends, ladies and gentlemen.
Je ni kweli kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu?
Inaonekana kwenye siasa za Tanzania hasa upinzani, chuki binafsi, migawanyiko, uhasama na utengano miongoni mwa vyama vya siasa eti ndiyo huleta nguvu na ndiyo kipaumbele chao kwa sasa.
Kitendo cha...
Siku ya Haki za Binadamu huadhimishwa kila mwaka duniani kote tarehe 10 Desemba.
Siku hii inaadhimisha kumbukumbu ya moja ya ahadi muhimu zaidi duniani: Tamko la Ulimwengu la Haki za Binadamu (UDHR) la mwaka 1948.
Hati hii ya kihistoria inathibitisha haki za asili ambazo kila mtu anastahili...
Nchi yetu kadiri siku zinavyoenda mbele, imeshuhudia zikitungwa sheria nyingi za kuirudisha nchi nyuma, yaani sheria nyingi zimekuwa za kuwatesa na kuwaonea wananchi. Ni sheria za kuhalalisha uovu dhidi ya wananchi:
1.
Tulikuwa na sheria ya vyama vya siasa, lakini baadaye ikabadilishwa hiyo...
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema kabisa! Namuulizia jenersli ulimwengu yuko wapi sasa , ni mda mrefu Sijamsikia katika kupaza sauti juu ya uvunjifu wa haki za binadamu pamoja na uchaguzi wa serikali za mitaa.
Awamu hii ya sita upo kimya sana ndugu yangu ni nini kimekupata? Njoo ungana...
Katika ripoti waliyoitoa juzi, shirika la haki za binadamu la Amnesty International limeeleza kuwa kuna ushahidi mwingi wa kuwa Inachokifanya Israel huko Gaza ni mauaji ya Kimbari (Genocide). Wakieleza kuwa kwa mujibu wa makubaliano ya kimataifa, kosa la genocide linahusisha, mauji, kutenda...
Salaaam wakuu, tafadhali naomba kujua uhalisia wa hii taarifa iliyowekwa kwenye gazeti hili la Mwananchi khusu Mzee warioba kuwa ametoa pongezi, haki na uhuru umefanikisha uchaguzi.
Wanabodi,
Makala yangu Gazeti la Nipashe la 24/11/2024
Vipindi 6 vya TV vya PPR Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
1. Prog. 1 - Ufunguzi wa Waziri wa Habari, Jerry William Slaa - https://youtu.be/bTs3S76UuoY
2. Prog. 2 - Mada Kuu-1 -Wajibu wa Media kwenye Uchaguzi wa Serikali za...
Wadau, kwa sasa, huyu bwana bila shaka ndio anaeongoza kwa kupata misukosuko kutoka na harakati za kisiasa pampja na kupinga uovu wanaofanyiwa watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wasio wanasiasa.
Kwa ujasiri aliona na utayari mkubwa alinao wa kubeba gharama ya hii kazi hata ikibidi kwa...
Wakuu,
Kumbe Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulikuwa ni wa huru na wa haki? Mbona hamkusema?
HIivi kweli unajitokezaje kusema kuwa Uchaguzi ni huru na wa haki baada ya kuona mabomu ya machozi, kuenguliwa kwa wapinzani, polisi kukamata wapinzani kwenye kampeni na wizi wa kura ambao ushahid wake...
wapendwa mwenye kujua haki za watoto wa nje ya ndoa tupeane madodosoo hapa
kwa dini zotee maana watoto wa nje ya ndoa wanaongezeka kila iitwapo leo
vyema nao wakajua wazazi wakifa nn maslahi yao kufwatana na dini za wazazi wao
kazi kwenu wapendwa...
Operation okoa mtoto wa nje ya ndoa
Vyama vya upinzani vinakosa visionary people and great thinkers.
CCM hawana mbinu za kutawala, kuongoza wala kutoa mwelekeo sahihi wa nchi .
Ila unfortunately vyama vya upinzani vinakwama sehemu moja.
Wanashindwa kuelewa watu wanahitaji nini na ni aina gani ya akili za wananchi.
Natoa...
Kweli nimeamini umri sio kitu chochote cha maana katika maisha yaani hapa nimeona wamiliki wa lile gorofa Kariakoo aisee mmoja tu ndio mkubwa nimemzidi miaka 15 wengine ni vijana wadogo kabisa aiseee
Yaani miaka midogo hivi unamiliki nyumba kko daaah aya maisha ayako fear kabisa nimelia sana
Siku ya Kimataifa ya Watetezi wa Haki za Binadamu Wanawake huadhimishwa kila mwaka tarehe 29 Novemba.
Siku hii inatambua juhudi za wanawake wote wanaofanya kazi kwa bidii kutetea haki za binadamu, pamoja na watetezi wa haki za binadamu wanaopambana na ubaguzi dhidi ya wanawake.
Mwanzo wa...
Vijana wanajifariji eeeh maisha popote ilimradi mkono uende kinywani.
Kijana bila aibu na kimeza chake cha matunda anasema Mimi nina degree. Are you mad?
Kama ungetaka kuwa muuza matunda ungeishia DARASA la kwanza tu au la pili.
Hesabu za darasa la pili zinatosha kwa mfanyabiashara wa matunda...
📖Mhadhara (68)✍️
Katika mizunguko yangu ya leo tarehe 27/11/2024, majira ya saa 14:20 nilifika kwenye duka la nguo la dada mmoja mwenye umri kati ya miaka 30 - 40. Wakati nachagua nguo dada huyo akiwa na mwenzake walikuwa wanazungumza jambo. Kwenye mazungumzo yao dada mwenye duka anamshauri...
Kipi special sanaa katika hii dunia kinachoweza kunijali kwa dhati eti nikionee huruma??? Eti kinifanye nicheze kwa standards zilizo fair, hakipo, so ni muda wa kuwa ruthless.
Anaekuhubiria uache pombe, anatembea na mke wako
Anaekukamata haujalipa kodi, anapita na pesa zote za mradi wa mtaani...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, Novemba 27,2024 amepiga kura kuwachagua viongozi wa serikali za Mitaa.
IGP Wambura amepiga kura Jijini Dar es salaam ambapo amewasisitiza wananchi pamoja na askari kujitokeza kwa wingi kutimiza haki yao ya kikatiba.
Tumeona ukiukwaji mkubwa katika kujiandikisha, kuenguliwa wapinzani, /kuteuliwa. kuwekewa mapingamizi ya uongo na kweli, kuapishwa wamekataliwa, sasa UPINZANI mnadhani kesho ndiyo CCM watatenda haki?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.