carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Tukikumbuka, Tunajifunza.
Tukisahau, kuna kitu tunakijua lakini tunajitahidi kukisahau. Kwa hiyo, tunakumbuka tunachosahau. HAKIKA, tunakijua ndiyo maana tunajitahidi kukisahau.
KWA HIYO: Kuikumbuka 29 Oktoba ni kujifunza kilichotokea.
Kuisahau Oktoba 29 ni kuikumbuka ili tufanye jitihada kuisahau.
KUMBE! Oktoba 29, HAISAHAULIKI.
Kwa WEMA au kwa UBAYA tuikumbuke na kudhamiria kutoirudia.
Tuikumbatie AMANI ya kweli, si UTULIVU tu. Haki inatuunganisha, Dhuluma inatugawa.
Wapumzike kwa amani. Waliokuwa wema au wabaya ni juu yao na Muumba wao.
LAKINI, sababu ya kuondoka kwao, ni juu yetu na Muumba wetu.
Hata Wajaluo huwambuka marehemu waliojulikana kwa kuchafua njia za miguu kwa kinyesi wakiogopa kutumia choo.
HAKI na AMANI vipigane busu ili taifa lipone