MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Kwa mliokuja Inbox kutaka maoni yangu kuhusu press conference ya Lema tafadhali someni huu uzi kwa makini. Nitaandika kwa ufupi sana. Kwa ufupi ni kuwa Lema kakivua nguo chama chake na uongozi uliopo sasa. Haya ni mambo kadhaa niliyoona;
1. CHADEMA inahubiri kutaka haki ila inatenda tofauti
Kwa maelezo ya Lema ni kuwa miaka ya nyuma Habib Mchange aliporwa haki yake ya kugombea uenyekiti BAVICHA na nafasi yake kupewa Heche kibabe. Huu uhuni ulisimamiwa na Lema mwenyewe. Ikumbukwe hata Dr Slaa alishawahi kuporwa nafasi yake ya kugombea urais mwaka 2015.
2. Udhaifu wa ofisi ya msemaji wa CHADEMA unasababisha kila mtu kuwa msemaji na siri za chama kuvuja. Hili nimeshawahi kushauri hapa ila likapuuzwa. Kuna mambo ilitakiwa tu msemaji ajitokeze na kuyapinga au kutolea ufafanuzi cha kushangaza kila mtu ndani ya CHADEMA anaweza ita press conference na kuongea. Nidhamu hakuna.
3. Ni rasmi CHADEMA iko chini ya wanaharakati. Heche na Lissu ni viongozi vivuli.
Chama makini cha siasa kingechukua hatua za haraka kukataa wanaharakati kumshambulia mjumbe wa kamati kuu Lema. Cha kushangaza chama toka mwanzo kiliacha Lema ashambuliwe bila kuchukua hatua yoyote. CHADEMA wawaige Simba SC ambayo imesajili mchezaji asiye na kipaji Doumbia ila mashabiki na uongozi mzima unamtetea na kupambana na vijembe mitandaoni.
4. Lema ni kilaza promax na hajui kiingereza.
Kushindwa kuelewa kuwa lugha haitafsiriwi moja kwa moja kwenda lugha nyingine ni matokeo ya ukilaza wa Lema. Kutafsiri moja kwa moja kiingereza kwenda kiswahili bila kuzingatia muktadha ni upunguani. Kushindwa kujua neno BALLS linatumikaje kwa wazungu na Lema kukimbilia kulalamika kaambiwa hana pumbu ni ujinga uliotukuka. Kiufupi elimu duni imechangia Lema kutomwelewa shetani Mange alichosema.
5. Lema na Lissu hawana uzalendo na nchi hii na hawafai kuota uongozi wa hii nchi.
Mtu ambaye mke na watoto tayari ni raia wa nchi nyingine hafai kabisa hata kujihusisha na siasa za nchi hii. Huyu ni mamluki aliyepo nchini kimaslahi zaidi na sio vinginevyo. Karibu viongozi wakubwa wote Afrika hawana watoto ambao ni raia wa nchi zingine. Yaani tuwe na Rais ambaye familia yake ina uraia wa Ubelgiji au Canada? Huyu atalinda maslahi ya Ubelgiji au Tanzania?