ujerumani

  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Sc tumevunja Record ya Bayern Munich ya Ujerumani

    Simba SC imefikia ushindi wa mechi 20 mfululizo katika Ligi Kuu Tanzania Bara, na hivyo kuvuka rekodi ya ushindi 19 mfululizo iliyowekwa na Bayern Munich katika Bundesliga ya Ujerumani. Kwa mujibu wa taarifa ya The Citizen ya tarehe 3 Novemba 2026, Simba ilifikia rekodi hiyo baada ya kuifunga...
  2. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Ujerumani: Maduka yamevunjwa na kuibiwa huku Maandamano ya kupinga Gharama Kubwa za Maisha Yakigeuka Kuwa ya Vurugu

    Mbali na Frankfurt, ambayo ni kitovu kikuu cha shughuli za kifedha nchini Ujerumani, matukio ya vurugu pia yaliripotiwa Berlin, Cologne na Hamburg. Polisi walisema walitumia magari ya maji ya kuwatawanya waandamanaji baada ya baadhi yao kuanza kuwarushia fataki, mawe na chupa wahudumu wa huduma...
  3. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Baada ya Ufaransa sasa Ujerumani bado Uingereza mpaka wakome na kiherehere chao

    German Gen Z takes to streets over cost of living (VIDEOS) Demonstrations are planned in 34 cities as Europe braces for more unrest this weekend Published 31 Oct, 2026 15:56 | Updated 31 Oct, 2026 17:00 © Thomas Banneyer/picture alliance via Getty Images Young people are protesting across...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mashirika ya utangazaji DW na BBC mtuletee pia kumbukumbu ya mauaji aliyofanya Hitler huko Ujerumani kila mwaka

    DW na BBC walituletea kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu vurugu za October 29 zitokee. Binafsi sikuupenda upuuzi ule hasa kwa kipindi hiki ambacho taifa linajitahidi kurejea katika hali ya kawaida. DW na BBC hawakutaka kuhoji hata mtu mmoja aliyekatwa kidole, kupoteza mali zake kwenye zoezi lile...
  5. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Ujerumani waikomalia serikali haramu kuhusu haki, mauaji, utekaji, n.k.

    Sina haja ya kuandika mengi. Tazama video mwenyewe. Pia, angalia dakika ya 2:33 mbunge wa Ujerumani akimshushua askari wa muuaji Samia. Wanataka kudhibiti hadi mahojiano ya wabunge wa nchi zingine na vyombo vya habari. Huyo mama Mjerumani kanifurahisha sana...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Hati Balozi mpya Ujerumani

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Annett Gunther, Balozi Mteule wa Ujerumani hapa nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
  7. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Ujerumani, Tanzania wazindua Kituo cha Taarifa cha Serengeti

    SERENGETI. Tanzania na Ujerumani leo wamezindua rasmi Kituo kipya cha Taarifa cha Serengeti baada ya kukarabatiwa, hatua inayolenga kuimarisha ushirikiano wa muda mrefu kati ya nchi hizo katika uhifadhi wa bayoanuwai, utalii endelevu na maendeleo ya jamii zinazozunguka Hifadhi ya Taifa ya...
  8. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Ujerumani kuingia mzimamzima kuisaidia Ukraine 🇺🇦 vita dhidi ya Urusi 🇷🇺

    HABARI Kansela wa Ujerumani, Friedrich Merz, amewasili katika mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, akisema Rais Volodymyr Zelenskiy anaweza kutegemea uungwaji mkono wa Ujerumani, huku mashambulizi ya Urusi yakizidi. Merz, pamoja na wakuu wa kampuni kadhaa za ulinzi, amesema mashine ya vita ya Urusi...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania yawalenga wawekezaji wa Ujerumani kwa teknolojia, ajira

    Serikali imesema uwekezaji kutoka kwa makampuni ya kigeni, hususan Ujerumani, haupaswi kuangaliwa kwa mtazamo wa mtaji unaoingia nchini pekee, bali pia teknolojia, ajira na fursa kwa wafanyabiashara wadogo na vijana wanaojihusisha na teknolojia. Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Balozi mteule wa Ujerumani awasilisha nakala za hati za utambulisho kwa waziri Kombo

    BALOZI MTEULE WA UJERUMANI AWASILISHA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO KWA WAZIRI KOMBO Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amepokea nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Hamisi Delgado: Anavyomkumbuka Joseph Kasella Bantu Mahakamani Tabora na Uhamishoni Ujerumani

    https://youtu.be/08lfmnl-ahQ
  12. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Gunter Guillaume: Jasusi aliyosababisha Kansela wa ujerumani kujiuzulu

    Hebu Fikiria kwa sekunde moja. Unatawala moja ya mataifa yenye nguvu zaidi barani Ulaya. Kila siku unajadili siri za vita, diplomasia, NATO, na mustakabali wa taifa lako. Pembeni yako amesimama mtu unayemwamini kabisa. Anakupangia ratiba, anakusindikiza kwenye safari za kikazi, anakuletea...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jurgen Klopp: Kama VAR imekataa goli lile la Ujerumani basi Arsenal haikustahili kuwa bingwa wa Premier League

    "Kama goli hilo la Ujerumani limekataliwa na VAR, basi Arsenal isingetakiwa kutwaa ubingwa wa England (Premier League). Asilimia 60 ya magoli waliyofunga yalikuwa ya aina hiyo.” Juni 30, 2026 Jurgen Klopp 'A joke' - how a 'terrible' VAR disallowed goal cost Germany Germany thought their...
  14. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, ni kweli kuwa baadhi ya mataa nchini Ujerumani yameanza kuyeyuka kutokana na joto?

    Kumekuwepo na video iliyochapishwa kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook ikidai kuwa kutokana na wimbi kali la joto linaloendelea kulikumba bara la Ulaya, hususan nchini Ujerumani, baadhi ya mataa ya kuongozea magari yaliyowekwa kandokando ya barabara yameanza kuyeyuka kutokana na kiwango...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Ujerumani Wasaini Mkataba wa Bilioni 60.7 Kuboresha Huduma za Maji Tunduma na Vwawa-Mlowo

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini mkataba wa msaada wa Euro milioni 20 sawa na shilingi za Tanzania bilioni 60.7 kutoka Serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) kwa ajili ya kufadhili mradi wa Uboreshaji wa Huduma za...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kikosi bora cha Brazil cha muda wote hiki hapa

    Hiki ndicho kikosi ambacho watu wengi wanasema kuwa ndio kikosi bora kabisa cha Brazil cha muda wote. kikosi hiki ndicho kilichobeba kombe la dunia mwaka 2002 huko korea dhidi ya timu ngumu ya Ujerumani kwa magnolia 2-0 yaliyofungwa na Ronaldo og. Katika mashindani hayo Ronaldo akiwa katika...
  17. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ujerumani ahoji bungeni mauaji ya Oktoba 29 Tanzania na kesi ya Lissu

    Mbunge wa Lahn-Dill nchini Ujerumani, Mheshimiwa Johannes Volkmann wa chama cha CDU ameihoji Serikali ya nchi hiyo kwamba, inachukua hatua gani kwa Tanzania kutokana na mauaji ya raia katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na kuhusu kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliyosema inakiuka...
  18. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz anasema Iran inaidhalilisha Marekani

    Wanaukumbi. ⚡️Germany's Merz on Iran: The U.S. and Israel assumed at the very beginning that this problem could be solved within a few days. But today we must acknowledge: it has not been solved. That is why we, from the European side, are also seeking a diplomatic solution. I hope that we...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Chancellor wa Ujerumani awalipua USA,asema Taifa la USA limedhalilishwa na Iran kwenye vita na Trump na uongozi wake wamekosa mipango

    Taifa zima la marekani limedhalilishwa na uongozi wa Iran tena haswa hao wanaoitwa Irgcc.:-Chancellor Merz -Wa Iran wananguvu ambayo haikutarajiwa na waMarekani hawana mipango ya kweli ya kushawishi hata kwenye negotiations. -Kwahali ya sasa sioni marekani kama wana mipango au maono ya...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ujerumani: Trump ni chanzo cha mpasuko wa Dunia

    Rais wa Ujerumani, Frank Walter Steinmeier, ameonya kuwa kurejea kwa Donald Trump Madarakani kwa muhula wa pili kumezua mpasuko mkubwa katika Uhusiano wa Kimataifa, hususan kati ya Ulaya na Marekani. Akizungumza Mjini Berlin, amesema hali hiyo imebadili kwa kiasi kikubwa mwelekeo wa Diplomasia...
Back
Top Bottom