Mbunge Ujerumani ahoji bungeni mauaji ya Oktoba 29 Tanzania na kesi ya Lissu

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,922
Reaction score
3,252

Mbunge wa Lahn-Dill nchini Ujerumani, Mheshimiwa Johannes Volkmann wa chama cha CDU ameihoji Serikali ya nchi hiyo kwamba, inachukua hatua gani kwa Tanzania kutokana na mauaji ya raia katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na kuhusu kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliyosema inakiuka misingi ya kidemokrasia.

Katika video iliyosambaa mitandaoni Aprili 6, 2026, Mheshimiwa Volkmann anauliza: “Mheshimiwa spika, swali langu linaelekea kwa Waziri Radovan, nataka nielekeze macho yetu Tanzania.

“Wakati wa uchaguzi mkuu kule Oktoba iliyopita kumetokea ukatili mbaya dhidi ya wanaosapoti upinzani, kusababisha maelfu ya vifo - mwenye wajibu ni serikali ya kijamaa. Wakati uleule Tanzania ni nchi rafiki (partner country) muhimu katika ushirikiano wa kimaendeleo, ikiwa imepokea Euro milioni 90 ya fedha ya ushirikiano wa maendeleo mwaka 2024.

“Hivyo basi swali langu ni wewe unatathmini vipi kufungwa kwendelevu kwa kiongozi wa upinzani Tundu Lissu haswa kwa kuzingatia viwango vya demokrasia na utawala bora na kukabiliana na matokeo haya tunachukua hatua gani kwa ushirikiano wetu wa kimaendeleo na Tanzania?” alihoji.

Akijibu swali hilo, Waziri wa Ushirikiano wa Kiuchumi, Reem Radovan alisema: “Asante Mbunge Volkmann, ukandamizwaji unaoongezeka wa uhuru wa vyombo vya habari, wa kujieleza na wa kukusanyika, ukiwemo ukandamizwaji unaovuka mipaka, unanitia wasiwasi.

“Kwa hiyo tunashirikiana na washirika wenzetu wa EU kudai uchunguzi wa visa vyote vya utekaji na kuachwa huru kwa wafungwa wote wa kisiasa akiwemo Tundu Lissu. Serikali ya Ujerumani katika mawasiliano yake na serikali ya Tanzania inadai tena na tena kukidhi kwa viwango vya utawala bora na demokrasia.

“Katika ushirikiano wetu wa kimaendeleo kimsingi tunalenga kusapoti miradi/juhudi za kukuza utawala bora na tukizingatia hali ilivyo nchini Tanzania tunakusudia kuendeleza approach hii.”
 
View attachment 3585096

Ahsante kwa taarifa.
Ila hii yatusaidia sie ktk harakati za kuitoa CCM?
 
Bila kumpiga huyu hatawasikiliza. Lugha atakayoielewa ya USA/ISRAEL against Iran. Short of that ni dikiteita aliyekubuhu
 
apewe ripoti ya jaji chande ili aone ukweli wa mambo na sio kupayukapayuka mambo ya kufikirika tu
 
Hiyo unayoita ripoti ya jaji chande ni ushubwada gentleman, ndiyo maana hata yeye Samia kaamua kuiweka kwapani.
 
Hiyo takataka ni kwaajili ya ninyi wendawazimu wauaji. Hakuna mwenye akili timamu anayeihitaji hiyo takataka.
 
tuliza kipago basi kama nawe umeingizwa kichwakichwa na kupotoshwa kwenye masuala ya Tanzania kama huyo balozi
 
Hiyo takataka ni kwaajili ya ninyi wendawazimu wauaji. Hakuna mwenye akili timamu anayeihitaji hiyo takataka.
calm down bas gentleman,
ni wazi ukweli wa ripoti ya tume ya jaji chande unakuuma sana,
hata hivyo,
itabidi uzoee
 
Relax Gentlemen hoja hujibiwa kwa hoja
Yes,
ripoti ya jaji chande ndio hoja ya msingi ambayo huyo mjamaa anefanyiwa usahili wa kua balozi wa US to Tanzania alipaswa kupewa kabla ya kuohojiwa,

wanamuuliza maswali ya upotoshaji na yeye anawapa majibu ya upotoshaji, kiujumla wanapotoshana tu.

wahenga walisema,
JAMBO USILOLIJUA NI KAMA USIKU WA GIZA
 
Walisema amekuja kutengeneza taswira ya Tanzania iliyochafuliwa vibaya na Pombe Magufuli.

Yamemshinda, amevurunda mbaya kinyama.

Atabaki kwenda Omani na Nigeria.

Inamuuma sana kushindwa kwenda kutalii na kulambwa lambwa na wazungu.
 
Back
Top Bottom