Mbunge Ujerumani ahoji bungeni mauaji ya Oktoba 29 Tanzania na kesi ya Lissu

Gentleman muda wenu wa kutapatapa umeisha, sasa ni dhahiri shahiri kifo chenu ni hakika.

Mwambie bimkubwa wako aachie huo ushubwada wa chande hadharani tuone madudu mengine aliyoyapika, maana hata hesabu rahisi kabisa za kujumlisha, yeye na wajumbe wake wameshindwa.
hizo ramli nonsense danganyaneni na kupotoshana wenyewe gentleman,

serikali ya sikivu ya CCM itaendelea kuongoza Taifa hili kwa matakwa ya wananchi hata ukamilifu wa dahari
 
Bado kitambo kifupi mtajua ni ramli au reality. Uzuri wewe utaikimbia hii ID yako lakini utashuhudia anguko kuu.
 
Gentleman,
ushirikina na ramli nonsnse kama hizo fanyieni huko huko na washirikina wenzenu,
HUMU JUKWAANI TUNAJADILI MASUALA YA MSINGI KWA MASLAHI MAPANA YA NCHI YETU.
 
MIkwaju aliyoitamani Samuya kuwapiga watu sasa yeye ndio inamtandika.

Chapa mikwaju kabisa .
 
Dah! Kipindi babu zake wanauwa watanganyika, wanachukua mali ,kufanyisha watu kazi bila malipo, Kodi za hovyo ilikua ni Kwa ajili ya maisha mazur ya vituu vyao. Yeye pia aangaliapo watoto wake sijui anawaza Nini kuhusu Africa.
 
View attachment 3585096

Mbunge wa Lahn-Dill nchini Ujerumani, Mheshimiwa Johannes Volkmann wa chama cha CDU ameihoji Serikali ya nchi hiyo kwamba, inachukua hatua gani kwa Tanzania kutokana na mauaji ya raia katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na kuhusu kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliyosema inakiuka misingi ya kidemokrasia.

Katika video iliyosambaa mitandaoni Aprili 6, 2026, Mheshimiwa Volkmann anauliza: “Mheshimiwa spika, swali langu linaelekea kwa Waziri Radovan, nataka nielekeze macho yetu Tanzania.

“Wakati wa uchaguzi mkuu kule Oktoba iliyopita kumetokea ukatili mbaya dhidi ya wanaosapoti upinzani, kusababisha maelfu ya vifo - mwenye wajibu ni serikali ya kijamaa. Wakati uleule Tanzania ni nchi rafiki (partner country) muhimu katika ushirikiano wa kimaendeleo, ikiwa imepokea Euro milioni 90 ya fedha ya ushirikiano wa maendeleo mwaka 2024.

“Hivyo basi swali langu ni wewe unatathmini vipi kufungwa kwendelevu kwa kiongozi wa upinzani Tundu Lissu haswa kwa kuzingatia viwango vya demokrasia na utawala bora na kukabiliana na matokeo haya tunachukua hatua gani kwa ushirikiano wetu wa kimaendeleo na Tanzania?” alihoji.

Akijibu swali hilo, Waziri wa Ushirikiano wa Kiuchumi, Reem Radovan alisema: “Asante Mbunge Volkmann, ukandamizwaji unaoongezeka wa uhuru wa vyombo vya habari, wa kujieleza na wa kukusanyika, ukiwemo ukandamizwaji unaovuka mipaka, unanitia wasiwasi.

“Kwa hiyo tunashirikiana na washirika wenzetu wa EU kudai uchunguzi wa visa vyote vya utekaji na kuachwa huru kwa wafungwa wote wa kisiasa akiwemo Tundu Lissu. Serikali ya Ujerumani katika mawasiliano yake na serikali ya Tanzania inadai tena na tena kukidhi kwa viwango vya utawala bora na demokrasia.

“Katika ushirikiano wetu wa kimaendeleo kimsingi tunalenga kusapoti miradi/juhudi za kukuza utawala bora na tukizingatia hali ilivyo nchini Tanzania tunakusudia kuendeleza approach hii.”
Mungu wabariki Wazungu
 
“Kwa hiyo tunashirikiana na washirika wenzetu wa EU kudai uchunguzi wa visa vyote vya utekaji na kuachwa huru kwa wafungwa wote wa kisiasa akiwemo Tundu Lissu. Serikali ya Ujerumani katika mawasiliano yake na serikali ya Tanzania inadai tena na tena kukidhi kwaw viwango vya utawala bora na demokrasia.

“Katika ushirikiano wetu wa kimaendeleo kimsingi tunalenga kusapoti miradi/juhudi za kukuza utawala bora na tukizingatia hali ilivyo nchini Tanzania tunakusudia kuendeleza approach hii.”
Watume wawakirishi wao waje waone uchaguzi wetu ulivo Huru na Haki 11/05 kule Iringa.
 
View attachment 3585096

Mbunge wa Lahn-Dill nchini Ujerumani, Mheshimiwa Johannes Volkmann wa chama cha CDU ameihoji Serikali ya nchi hiyo kwamba, inachukua hatua gani kwa Tanzania kutokana na mauaji ya raia katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na kuhusu kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliyosema inakiuka misingi ya kidemokrasia.

Katika video iliyosambaa mitandaoni Aprili 6, 2026, Mheshimiwa Volkmann anauliza: “Mheshimiwa spika, swali langu linaelekea kwa Waziri Radovan, nataka nielekeze macho yetu Tanzania.

“Wakati wa uchaguzi mkuu kule Oktoba iliyopita kumetokea ukatili mbaya dhidi ya wanaosapoti upinzani, kusababisha maelfu ya vifo - mwenye wajibu ni serikali ya kijamaa. Wakati uleule Tanzania ni nchi rafiki (partner country) muhimu katika ushirikiano wa kimaendeleo, ikiwa imepokea Euro milioni 90 ya fedha ya ushirikiano wa maendeleo mwaka 2024.

“Hivyo basi swali langu ni wewe unatathmini vipi kufungwa kwendelevu kwa kiongozi wa upinzani Tundu Lissu haswa kwa kuzingatia viwango vya demokrasia na utawala bora na kukabiliana na matokeo haya tunachukua hatua gani kwa ushirikiano wetu wa kimaendeleo na Tanzania?” alihoji.

Akijibu swali hilo, Waziri wa Ushirikiano wa Kiuchumi, Reem Radovan alisema: “Asante Mbunge Volkmann, ukandamizwaji unaoongezeka wa uhuru wa vyombo vya habari, wa kujieleza na wa kukusanyika, ukiwemo ukandamizwaji unaovuka mipaka, unanitia wasiwasi.

“Kwa hiyo tunashirikiana na washirika wenzetu wa EU kudai uchunguzi wa visa vyote vya utekaji na kuachwa huru kwa wafungwa wote wa kisiasa akiwemo Tundu Lissu. Serikali ya Ujerumani katika mawasiliano yake na serikali ya Tanzania inadai tena na tena kukidhi kwa viwango vya utawala bora na demokrasia.

“Katika ushirikiano wetu wa kimaendeleo kimsingi tunalenga kusapoti miradi/juhudi za kukuza utawala bora na tukizingatia hali ilivyo nchini Tanzania tunakusudia kuendeleza approach hii.”
Hawa wazungu ni wanafiki tu, wao ndo wanamuuzia silaha Israel ili aue wanawake na watoto wasio na hatia
 
Back
Top Bottom