hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 9,013
- 10,034
apewe ripoti ya jaji chande ili aone ukweli wa mambo na sio kupayukapayuka mambo ya kufikirika tu
Warekebishe hesabu kwanza zikae sawa
apewe ripoti ya jaji chande ili aone ukweli wa mambo na sio kupayukapayuka mambo ya kufikirika tu
Hivi huwa mnalipwa posho shingapi kuitetea serikali ya CCM Gentlemen nione kama ujira unafaa nijiunge namimi huko nisikae joblessYes,
ripoti ya jaji chande ndio hoja ya msingi ambayo huyo mjamaa anefanyiwa usahili wa kua balozi wa US to Tanzania alipaswa kupewa kabla ya kuohojiwa,
wanamuuliza maswali ya upotoshaji na yeye anawapa majibu ya upotoshaji, kiujumla wanapotoshana tu.
wahenga walisema,
JAMBO USILOLIJUA NI KAMA USIKU WA GIZA
Mbunge wa Lahn-Dill nchini Ujerumani, Mheshimiwa Johannes Volkmann wa chama cha CDU
Mnajaribu kufunika ukweli na hiyo ripoti ushubwada, round hii hamchomoki. Uzuri hatufahamiani unaruhusiwa kuongea vyovyote.tuliza kipago basi kama nawe umeingizwa kichwakichwa na kupotoshwa kwenye masuala ya Tanzania kama huyo balozi
unakaaeje jobless gentlemani hali ya kua ajira bwerere tena za kutosha waTanzania wote zimejaa tele kwenye kilimo, biashara au ufugaji?Hivi huwa mnalipwa posho shingapi kuitetea serikali ya CCM Gentlemen nione kama ujira unafaa nijiunge namimi huko nisikae jobless
😂😂😂Punguza jaziba Gentlemen relax Nipe mwongozo huko Lumumba posho ni shingapi ? Acha kuwa mbinafsi Gentleman , right?unakaaeje jobless gentlemani hali ya kua ajira bwerere tena za kutosha waTanzania wote zimejaa tele kwenye kilimo, biashara au ufugaji?
halafu,
ukiwa huna hoja unakaa kimya tu bila kuweweseka, okey?
Gentleman,Mnajaribu kufunika ukweli na hiyo ripoti ushubwada, round hii hamchomoki. Uzuri hatufahamiani unaruhusiwa kuongea vyovyote.
lazima niwe na jazba kwasababu mtu kukaa jobless wakati ajira ziko bwerere mashambani inakera sana,😂😂😂Punguza jaziba Gentlemen relax Nipe mwongozo huko Lumumba posho ni shingapi ? Acha kuwa mbinafsi Gentleman , right?
Gentleman Acha Matusi nijibe kistaarabu huko lumumba posho ni shingapi? nami. pia naitaka hiyo fursa huko lumumba acha uchoyo Gentlemen hii nchi ni yetu sotelazima niwe na jazba kwasababu mtu kukaa jobless wakati ajira ziko bwerere mashambani inakera sana,
au nawe ndio wale wachagua kazi na kutwa kujiangalia kwenye kioo?
Waje wamnyakue kama waliyofanya kwa MaduroBila kumpiga huyu hatawasikiliza. Lugha atakayoielewa ya USA/ISRAEL against Iran. Short of that ni dikiteita aliyekubuhu
Kwa ajili ya illgimate SamuyaHiyo takataka ni kwaajili ya ninyi wendawazimu wauaji. Hakuna mwenye akili timamu anayeihitaji hiyo takataka.
Mbona Chancellor wao ameshasema vita vile ni kinyume na sheria za kimataifa, siyo halali.Mwambie ahoji mauaji ya wasio na hatia kule Iran kunakofanywa na wamarekani na Israel
Wewe nonsense nenda Kwa mamako kwenye hio report.apewe ripoti ya jaji chande ili aone ukweli wa mambo na sio kupayukapayuka mambo ya kufikirika tu
Iran magaidi kama mamayenu yanafaa kuuliwa.Mwambie ahoji mauaji ya wasio na hatia kule Iran kunakofanywa na wamarekani na Israel
Tuliza mihemko nonsense gentleman,Wewe nonsense nenda Kwa mamako kwenye hio report.
Mbona Chancellor wao ameshasema Vita vile Ni kinyume na sheria za kimataifa, siyo halali.
Amesema Trump anadhalikishwa na Iran.
Hadi Trump kachukia anaondoa wanajeshi wake 5000 waliopo Ujerumani.
Wewe upo dunia gani?
Gentleman muda wenu wa kutapatapa umeisha, sasa ni dhahiri shahiri kifo chenu ni hakika.Gentleman,
kwanza kabisa hatujachomeka kitu chochote kokote, kwahiyo hiyo ya hamchomoki ni ramli nonsense tu ya wenye mihemko useless jukwaani.
Ripoti ya jaji chande ni ukweli mtupu dhidi ya maporojo na mauzushi yenu nonsense ya awali