Rais wa Ujerumani: Trump ni chanzo cha mpasuko wa Dunia

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Rais wa Ujerumani, Frank Walter Steinmeier, ameonya kuwa kurejea kwa Donald Trump Madarakani kwa muhula wa pili kumezua mpasuko mkubwa katika Uhusiano wa Kimataifa, hususan kati ya Ulaya na Marekani. Akizungumza Mjini Berlin, amesema hali hiyo imebadili kwa kiasi kikubwa mwelekeo wa Diplomasia ya Kimataifa.

1774356297336.png
Steinmeier amefananisha athari za mabadiliko hayo na zile za Uvamiaji wa Urusi Nchini Ukraine, akisisitiza kuwa dunia haiwezi kurejea katika hali iliyokuwepo awali.

Soma: Donald Trump atangaza kusimamisha vita na Iran kwa siku 5 kuanzia leo

Kutokana na mabadiliko hayo, amesema Ujerumani inalazimika kupunguza utegemezi wake kwa Marekani, hasa katika Sekta Nyeti kama Ulinzi na Teknolojia, na kuongeza kuwa hatua hiyo inafanana na juhudi zilizofanywa awali za kujinasua kutoka utegemezi mkubwa wa Urusi, akisisitiza umuhimu wa kujitegemea kimkakati.

TRUMP JF.jpg
Hata hivyo, amehimiza Ulaya kuona changamoto hiyo kama fursa ya kujijenga upya na kuwa kitovu cha teknolojia duniani, ikinufaika na rasilimali Watu, masoko imara na misingi thabiti ya maadili.

===

The Iran war is a "disastrous mistake" that breaches international law, Germany's president said ‌on Tuesday in an unusually blunt rebuke of U.S. President Donald Trump's foreign policy, which he said marked a rupture for German ties with its biggest post-war ally.

In a scathing verbal attack, Frank-Walter Steinmeier, whose largely ceremonial role allows him to speak more freely than politicians, took a far more critical line than Chancellor Friedrich Merz, who has skirted questions on the war's legality.

"Our foreign policy does not become ⁠more convincing just because we do not call a breach of international law a breach of international law," Steinmeier, a former foreign minister from the centre-left Social Democratic Party, said in a speech at the foreign ministry.

"We must address this with regard to the war in Iran. For, in my view, this war is contrary to international law," he said, adding he had little doubt that the justification of the imminent nature of an attack on U.S. targets did not hold water.

Calling the war unnecessary and a "politically disastrous mistake", Steinmeier said Trump's second term marked a rupture in German foreign relations as profound as Russia's invasion of Ukraine.

"Just as I ‌believe ⁠there will be no going back in relations with Russia to before February 24, 2022, so too do I believe there will be no going back in transatlantic relations to before January 20, 2025," said Steinmeier.

REDUCING DEPENDENCY

Germany had to apply lessons it learned in extricating itself from "excessive dependencies" on Russia and apply them to the U.S., particularly in defence and ⁠technology, which translate to power, he said.
Germany has stressed the importance of creating alternatives to U.S.-dominated technology as concerns grow over U.S. access.

China returned to being Germany's top trading partner in the first eight months of 2025, overtaking the U.S. as higher ⁠tariffs weighed on German exports. Trade between the U.S. and Germany amounted to more than 163 billion euros ($190 billion) over that period.

The recent spat between the Pentagon and Anthropic over safety guardrails surrounding the latter's artificial ⁠intelligence could be a wake-up call, or even an opportunity, for Europe, said Steinmeier.

"Europe as a technology hub has talent, markets, opportunities and, importantly, ethical standards. We should build on these," he said.
 
Zile risasi za mwaka juzi hazikulengwa vizuri kwa orange man.
 
Zile cinema tu Mzee ndio maana baada ya pale ukaone mara yupo mack Donald anauza pizza mara sijui kabeba gari la taka anazoa taka

Ili kusaka tension katika jamii apate kuonekana kuwa ni raisi muwajibikaji ni kama alivyo kuwa ana fanya jiwe 🤣😄

Trump amefanikiwa Kwa kiasi kikubwa kuwaaminisha watu kwamba Obama na wenzake

hawamtakii mema trump na
tukio kama lile lilikuwa linalenga kukichafua chama pinzani

Wajua hata alivyo tolewa madarakani katika ule muhula wake wa kwanza yeye pia alifanyiwa trick kama hizo , Walimuua yule Mmarekani mweusi George Floyd then Waka push mchongo ili ifanyike maandamano Dunia nzima Kwa lengo la kumpaka trump matope kwamba ni mbaguzi wa rangi (Though Hilo ni kweli ) na serikali yake inaua watu weusi na kweli maandamano yakafanyika Nchi nzima na ulaya so Trump akapoteza nguvu ya ushawishi so ilipofika wakati wa uchaguzi akapigwa chini

But walicho kosea kina Obama ni Aina ya mpinzani waliye muweka kushindana na trump joe Biden alikuwa ameshachoka Uzee tatizo so Hakuwa mshindani sahihi Kwa trump kama wasinge fanya zile fugisu za kumuua George Floyd wasinge mshinda trump kabisaaa ,

Bad enough joe Biden alipoingia madarakani ikawa anaonyesha kabisaa kuwa kachoka hafai kuendesha Nchi mpaka wanafikia katika kinyang'anyiro Cha uchaguzi wakawa hawaja muandaa mtu sahihi wakuchukua mikoba ya Biden hapo ndio kilicho wacost na trump ndio akaja na yake masinema 🤣
 
Umeelezea vizuri sana bwashee.
 
Back
Top Bottom