Wabunge wa Ujerumani waikomalia serikali haramu kuhusu haki, mauaji, utekaji, n.k.

Ukitambua jambo hili moja tu, naachana na mwenda wazimu kama wewe, kwa sababu huna lolote la maana kuendelea na wewe.
Unachotakiwa kujuwa ni kwamba Samia Suluhu Hassan ni mhalifu; kama jambazi lolote lilivyo halifu. Hili tu pekee ukilijuwa inatosha.
We wazimu wako unazidi kupanda. Hata hao TEC wenyewe wanatambu kuwa Samia Suluhu Hassan ni Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu.
We nani mpk ubishe Muha we!
Acha wazimu!
Kama hutaki hamia Burundi na wazimu wako
 
Amiri jeshi Jambazi linalofuga nguruwe kama wewe?
Subiri tu hapo utakapoanza kukosa masalia ya chakula anayokutupia hapo ulipo; hapo ndipo akili itakuingia kichwani kujuwa kwamba uhalifu haulipi chochote.
 
We sema yooote, tukana utakavyo ila usijisahaulishe kuwa Samia Suluhu Hassan ndiye Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu na huna uwezo wa kutengua hilo au kumfanya lolote zaidi kubwatabwata tu nyuma ya keyboard
 
Sasa najuwa huna akili ya kutosha kuelewa ninachokueleza, kwa hiyo wewe utakuwa ni punguani.
Samia ni Jambazi, mhalifu anayeua waTanzania.
Mhalifu yeyote wajibu ni kumwajibisha, na siku yake inakuja. Atawajibishwa ipasavyo.

Ni kipi kinachokushinda wewe kuelewa katika maneno hayo?
 
Nlichokwambia wewe ni mbwabwajaji tu mitandaoni lkn huna uwezo wa kubadili chochote kwa Samia. Huna akili za kukutosha, utakuwa punguani tu wewe
 
Nibadili nini wakati jambazi linasubiri kudhibitiwa na kuwajibishwa?
Kwako hili linakuwia gumu vipi kulielewa?
 
Tokea umeanza kusubiri samia awajibishwe bado hujazeeka tu. Basi endelea kusubiri
 
Unahangaika humu JF kwa kujuwa upo upande wa jambazi ambalo ni lazima liwajibishwe kwa uovu liliousababisha.
Kila kukicha hujui kama hilo jambazi bado litakuwepo au la ili uendelee kuwa na matumaini ya kula.
La muhimu kwako, nimekwisha kueleza, Samia ni jambazi, na ni lazima liwajibishwe. Maswala ya lini hayo hayakuhusu wewe.
 
Utasubiri sana japo wajua fika huna lolote la kumfanya Samia zaidi ya kubwabwaja tu nyuma ya keyboard humu ukijichimba mkwara mwenyewe kutoka uvunguni
 
Kama hutakuwa mwangalifu, kwa jinsi unavyomtegemea jambazi Samia, hata wewe utakuwa ndio mwisho wako. Sipo hapa kukushawishi lolote ila kukupa ukweli ulivyo. Samia ni mhalifu, na haki ya mhalifu yeyote ni kuwajibishwa. Huna uwezo wa kuzuia hili.
 
Huna uwezo zaidi ya kulalama nyuma ya keyboard mpk uzeeke na huna utakalobadili
 
Sina haja ya kuandika mengi.

Tazama video mwenyewe.

Pia, angalia dakika ya 2:33 mbunge wa Ujerumani akimshushua askari wa muuaji Samia.

Wanataka kudhibiti hadi mahojiano ya wabunge wa nchi zingine na vyombo vya habari.

Huyo mama Mjerumani kanifurahisha sana.

View: https://youtu.be/bSQD4I9A0Iw?is=qMLfSw2NwYEXDvzC

Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanatuchezesha kimaisha kweli?
 
Huna uwezo zaidi ya kulalama nyuma ya keyboard mpk uzeeke na huna utakalobadiliHhakuna kitakachomponya mhalifu Samia Suluhu Hassan

Huna uwezo zaidi ya kulalama nyuma ya keyboard mpk uzeeke na huna utakalobadili
Hakuna kitakachomponya mhalifu Samia Suluhu Hassan wakati wake wa kuwajibishwa utakapowadia.
Hili jiandae tu likae kichwani mwako.
Hakuna kitakachozuia waovu kuwajibishwa; siyo hivi vimaneno vyako hapa wala mitutu unayofikiri wewe kuwa itakuwa upande wa uovu kila mara.
 
Endelea kusubiri.
Ila unajizeekea kwa kujitakia. Waumiza kichwa kwa jambo ambalo huna uwezo nalo
 
Sitashangaa kama na wewe utakuwemo kwenye kundi la waovu watakaowajibishwa, maana inaonyesha unashiriki kwenye uovu. Huwezi kukomalia jambo la uharifu kiasi hiki kama wewe mwenyewe siyo mhusika.
Wahalifu wote ni lazima wawajibishwe.
 
Uzee wa kujitakia huo. Kula maisha dogo, na wewe utakate kidg.
Muda wote unawaza mambo maguuuumu huna ht Muda wa kutabasamu japo sekunde chache.
Anyway, ushaanza mgomo wa kula?
 
Back
Top Bottom