serikali haramu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Ujerumani waikomalia serikali haramu kuhusu haki, mauaji, utekaji, n.k.

    Sina haja ya kuandika mengi. Tazama video mwenyewe. Pia, angalia dakika ya 2:33 mbunge wa Ujerumani akimshushua askari wa muuaji Samia. Wanataka kudhibiti hadi mahojiano ya wabunge wa nchi zingine na vyombo vya habari. Huyo mama Mjerumani kanifurahisha sana...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Serikali Haramu yashirikiana na RC Arusha /DC na DED Ngorongoro na wamiliki wa Sheli Kuuza Petroli Elfu Sita kwa Lita kuwakomoa Wamasai !

    Wakuu, hii ni aibu na inayotia Kinyaa!!. Jamaa yangu huyu aliyepo Makao makuu ya Ngorongoro , ananipigia simu kumielezea adha wanayopitia huko Porini kwao kwa karibu mwezi mzima sasa !. Petroli ianuzwa Elfu Sita kwa Lita, huku Chama cha Mapinduzi (CCM) , Mwenyekiti wake wa Wilaya, DED, DC na...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania CHADEMA iachane na kauli za kusema serikali haramu

    Duniani kote serikali ikishakuwa madarakani hiyo ni serikali halali bila kujali imepatikanaje. Serikali sio lazima ipatikane kwa kura, inaweza kupatikana hata kwa mapinduzi ya kijeshi au ya raia wengi ila ikishaingia madarakani inatambulika rasmi kuwa serikali ya nchi. Soma pia Prof. Kabudi...
Back
Top Bottom