Wabunge wa Ujerumani waikomalia serikali haramu kuhusu haki, mauaji, utekaji, n.k.

Wabunge wa Ujerumani waikomalia serikali haramu kuhusu haki, mauaji, utekaji, n.k.

Infact, she sodomizes you all (her haters) right now.
IMG_0678.jpeg
 
Ongeza maarifa aise, kwani hizi habari za Eid Amin mama na genge lake la wauaji ni jambo la siri? Je, kuna mtanzania yeyote mwenye akili timamu ambaye hajui kuwa Eid Amin mama kapora kura na hapashwi hata kuwa madarakani, na mbaya zaidi ni muuaji, mdini, mfisadi, mkanda, mfiraji, mtekaji na mbakaji wa waTanganyika? Kwa mawazo yako unafikiri habari za wazungu ndio zitaridhisha utambuzi wa watanzania kujua nini kinaendekea nchini kwao?. Je hutambui kuwa hata kwenye audio version ya AI inatambua udhalimu wa utawala wa huyu mama shetani na genge zima la CCM, na je hujui kuwa dunia nzima kwa sasa inajua nini kinaendekea Tz. Mlikuwa mna haja gani ya kutaka kuvamia interview ya watu. Ni kutiana aibu tu pumbafff.
Hayo yooote yanajulikana na yashakuwa historia. Sasa ndo tuendelee kushabikia wazungu itasaidiaje kuhakikisha Mama hatoboi 2030?
 
"...wanaendelea kutawala..."; hivi unazo za kutosha kweli humo kichwani mwako?
Nenda kamuulize Samia kama kweli anatawala.

Mtu aliyejaa hofu ya watu anaotakiwa kuwaongoza utasema huyo anatawala?
Kwa kuwa wewe unaridhika tu na uwepo wa huyo Samia, kwa sababu zako uzijuazo (ambazo ni za kipuuzi), basi unajiridhisha kwamba anatawala?
Huyu ni sawa na jambazi linaloishi na hofu wakati wowote litafurumushwa na liliowafanyia uovu; halafu msukule kama wewe kila siku huchoki kuja humu na kujigamba kuwa anatawala?
Haya wewe mwenye akili zinazokutosha sana, hebu tuthibitishie hapa kuwa Samia sie anayetawala
 
Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, amewabana manyumbu mpaka wote Sasa wamekuwa mahayawani.........hujui yupi yupo ulaya, yupi yupo nanjilinji; wote wanaongea ujinga ujinga tu.

😂😂😂😂
Mbona umeandika ujinga sana kama mtu aliyepanic
 
Haya wewe mwenye akili zinazokutosha sana, hebu tuthibitishie hapa kuwa Samia sie anayetawala
Nakuthibitishia bila ya shaka yoyote kwamba Samia ni jambazi anayesubiri tu kuwajibishwa; hana tawala yoyote.

Kujifanya kwako kuwa hulijui hili hakuondoi ukweli huo.
 
Nakuthibitishia bila ya shaka yoyote kwamba Samia ni jambazi anayesubiri tu kuwajibishwa; hana tawala yoyote.

Kujifanya kwako kuwa hulijui hili hakuondoi ukweli huo.
Hayo maneno ya kwenye Khanga tu kutoka kwa Kiongozi wenu Mange Kimambi. Otherwise thibitisha na sio blah blah
 
Hayo maneno ya kwenye Khanga tu kutoka kwa Kiongozi wenu Mange Kimambi. Otherwise thibitisha na sio blah blah
Mtafute Samia atakuthibitishia hata bila ya kutumia maneno yoyote. Nenda tu kamtafute na umwangalie bila ya maluweluwe mengi ambayo huwa yanakuingia akilini na kushindwa kujuwa anavyohangaishwa na damu ya waTanzania aliyoimwaga.
Wewe unajirusharusha hapa ukidhani unampunguzia mzigo, wakati michango yenyewe unayoweka humu JF ni uchafu mtupu, usioweza kumshawishi mtu yeyote mwenye akili timamu na kumwangalia Samia kuwa mtawala, wakati ni jambazi linalosubiri kuwajibishwa tu!
 
Povu lote hilo la nini ati!
We thibitisha tu kwamba Samia hatawali Tanzania kama ulivyosema awali na sio kukimbilia eti tukamuulize. Kwani yeye kasema hatawali!?
 
Back
Top Bottom