Je Mauaji ya Oktoba 29 sasa kuadhimishwa Kila mwaka?

Waterloo

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
25,682
Reaction score
39,811
Watanzania poleni kwa kumbukizi ya mauaji ya maelfu ya ndugu jamaa na marafiki kufuatia ghasia za uchaguzi mkuu wa mwaka jana maarufu kama mauaji ya oktoba 29.
Kwa kweli watanzania wameshindwa kusahau na kumove on. Ni mwaka sasa Serikali hii ya CCM ikijitahidi kumaliza mkwamo huu lakini naona kama imeshindikana kutokana na namna siku ya jana ilivoazimishwa na watanzania. Swali langu ni je siku hii inaweza kuwa ndio kumbukizi ya milele Kila mwaka? Na kama ni hivyo kwanini Serikali hii hata kama inaitwa haramu isirasimishe tu siku hiyo na kutambulika kama "kumbukizi ya mauaji ya oktoba 29"?
Ni mawazo yangu tu jamani mawazo hayapigwi rungu
 
Tupo kwenye mkwamo mpaka sasa mwaka mmoja.
 
Hawawezi kufanya kumbukumbu ya mauaji waliyoyafanya!
 
mnaweza kuadhimisha hata kila siku gentleman huo unafiki, nadhani itapendeza zaidi 🐒
 
Watanzania poleni kwa kumbukizi ya mauaji ya maelfu ya ndugu jamaa na marafiki kufuatia ghasia za uchaguzi mkuu wa mwaka jana maarufu kama mauaji ya oktoba 29.
Kwa kweli watanzania wameshindwa kusahau na kumove on. Ni mwaka sasa Serikali hii ya CCM ikijitahidi kumaliza mkwamo huu lakini naona kama imeshindikana kutokana na namna siku ya jana ilivoazimishwa na watanzania. Swali langu ni je siku hii inaweza kuwa ndio kumbukizi ya milele Kila mwaka? Na kama ni hivyo kwanini Serikali hii hata kama inaitwa haramu isirasimishe tu siku hiyo na kutambulika kama "kumbukizi ya mauaji ya oktoba 29"?
Ni mawazo yangu tu jamani mawazo hayapigwi rungu
Bila kikomo, bola kuchoka
 
Jibu ni ndio, kila mwaka.

Mauaji ya October 29 2025 yalikuwa ni sawa na mauaji ya Kimbari nchini Rwanda na pia sawa na mashambulizi ya magaidi yalofanywa kwenye majengo ya Twin Towers mjini New York nchini Marekani tarehe 11 September 2001.

Hivyo kila mwaka Tanzania iendelee kukumbuka mauaji hayo kwa sala na maombi kwa wale wote waloathirika walouawa, walojeruhiwa na familia zao ambazo hadi kesho hawafahamu ilipo miili ya ndugu zao au sehemu walipozikwa kwa pamoja.

Hivyo sambamba na hiyo pia tuwe na kumbukumbu zifuatazo.

1. Sokoine Day (kifo cha kutatanisha) 12 April 1984

2. Nyerere Day (Baba wa Taifa) October 1999

3. Magufuli Day (kifo cha kutatanisha na tarehe iso na uhakika 17 March 2021)

4. Siku ya kitaifa kukumbuka wahanga wa mauaji ya October 29 2025 ambapo watu zaidi ya 10,000 waliuawa na vikosi vya kukodi kutoka nje ya Tanzania.

Zanzibar nao wawe na Karume Day (ambae aliuawa kwa kupigwa risasi) na pia watafute tarehe maalum ya kukumbuka mauaji ya mwaka 1995 au 2005 baada ya uchaguzi.

Kila mtanzania awajibike kwa matukio kama haya, matukio haramu.
 
Back
Top Bottom