antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Maadhimisho yanafaa kuwa ya kudumu.Je Mauaji ya Oktoba 29 sasa kuadhimishwa Kila mwaka?
March 21, 1960, mauaji ya watu weusi 69 yalitekelezwa na polisi wa Makaburu (Sharpville Massacre) kwa wananchi waliokuwa wakiandamana kwa amani kupinga sera za ubaguzi.
Hadi leo miaka 66 baadaye, kumbukizi ya hayo mauaji ya halaiki hufanyika kila mwaka, tena duniani kote..
Cc: Tlaatlaah, KUNGUNI na ma CHAWA wote
