mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mashamba Makubwa Nalima

    Dili la kumtetea limekata, wameshauriana wanamkataa sasa hivi wakiamini watamsafisha aliyepo sasa

    Uzi tayari?!? Yeah uzi tayari
  2. Mashamba Makubwa Nalima

    TBT: Tundu Lissu aelezea Meseji za Ben Saanane za vitisho

  3. Suley2019

    Dodoma: Achomwa moto kwa tuhuma za mauaji

    Athuman Malesa (22) mkazi wa Kijiji cha Kaloleni wilayani Chemba mkoani Dodoma, ameuawa na watu wenye hasira kali kwa kuchomwa moto, akituhumiwa kwa mauaji na kufanya vitendo vya ukatili ikiwemo ubakaji na kulawiti watoto. Mwenyekiti wa Kijiji cha Olboloti wilayani Chemba Shabani Maslahi...
  4. Moto wa volcano

    Ninalaani ukatili aliofanyiwa mtoto wa Dodoma, Wazazi wote tutoke na somo

    Ninalaani sana ukatili aliofanyiwa mtoto wa Dodoma, Jambo la kujifunza wazazi wekeni umakini kwa wasaidizi wenu majumbani. Soma Pia: Utata wa kifo cha mtoto wa kufikia wa Chief Godlove, inakuwaje apandishwe bodaboda peke yake? Na pia kwa wadada ukiamua kupata mtoto / watoto ambao bado wako...
  5. Mtoa Taarifa

    Wanasiasa, Wananchi wanamtaka Rais Ruto kukemea na kukomesha Matukio ya Utekaji, Mauaji ya Wakosoaji wake

    Wadau mbalimbali wa masuala ya Haki za Binadamu wakiwemo Wanasiasa wametoa wito kwa Rais William Ruto kukemea na kukomesha Vitendo vya Utekaji wa Wananchi wengi wakiwa ni wakosoaji wa Serikali yake. Miongoni mwa waliotoa wito huo ni pamoja na Mahakama, Wanasiasa Raila Odinga, Kalonzo Musyoka...
  6. Mkalukungone mwamba

    Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limewakamata Watuhumiwa watatu kufuatia mauaji ya aliyekuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Kilolo

    Naona Polisi lipo na kasi ya 5G kuwakamata watuhumiwa waliofanya makosa kwa viongozi wa CCM ila upande wa vyama vingine uchunguzi unachukua muda mrefu sana. Kwani kuna siri gani kwenye chunguzi zao? ================ Jeshi la Polisi Mkoani Iringa Limesema limewakamata Watuhumiwa watatu kufuatia...
  7. Waufukweni

    Askari Polisi asakwa kwa mauaji ya mtuhumiwa wa Wizi wa Simu

    Jeshi la polisi mkoani Iringa linamsaka Askari wa Jeshi hilo aliyefahamika kwa jina la Sajenti Rogers wa Kituo cha Polisi Ipogolo na Askari wa jeshi la Akiba aitwaye Thomas Mkembela kwa tuhuma za kumuua Nashon Kiyeyeu mwenye umri wa miaka 23, Mkazi wa Nyamuhanga, Manispaa ya Iringa aliyekuwa...
  8. jingalao

    Luigi Mangione mtuhumiwa wa mauaji ya bosi wa bima ya afya atiwa nguvuni

    Hii ni taarifa isiyotajwa sana katika vyombo vyetu vya habari nchini.lakini ni tukio linalo-trend nchini Marekani. kijana Msomi na anayetoka kwenye familia tajiri Ndg.Luig Mangione anatuhumiwa kumpiga risasi na kumuua CEO wa kampuni ya bima ya afya maarufu nchini Marekani Thomson Brian. Leo...
  9. Waufukweni

    Pre GE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Kawaida: Uchunguzi ufanyike kufuatia vitendo vya utekaji na mauaji

    Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mohammed Ali Kawaida (MCC) amesisitiza jeshi la polisi kuwa wafanye uchunguzi kufuatia vitendo vya mauaji na utekaji na pale wanapopata taarifa watoe kwa jamii ili wajue kinachoendelea. Mwenyekiti ameyasema hayo tarehe 04 desemba 2024 akitoa...
  10. Waufukweni

    Jeshi la Polisi linawashikilia watu 4 kwa tuhuma za mauji ya Mtumishi wa TRA Amani Simbayao kutoka tukio la Tegeta

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro anazungumza na Vyombo vya Habari. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaaam linawashikilia wanaotuhumiwa wanne, Deogratius Paul Massawe (40), Bakari Idd Bakari (30), wote ni kuli wa Tegeta kwa Ndevu, Omary Issa...
  11. M

    Mbeya: Polisi inawashikilia watuhumiwa wa mauaji ya mwenyekiti wa UVCCM tawi la Machinjioni kata ya Bwawani Makongolosi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili kwa tuhuma za mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) tawi la Machinjioni kata ya Bwawani Makongolosi wilayani Chunya Michael Andarson Kalinga (36) mkazi wa wilayani humo. Inaelezwa kuwa watu...
  12. L

    UVCCM yalaani Vikali Mauaji ya Michael Kalinga Mohammed Kawaida kwenda Mkoani Mbeya Kushiriki Mazishi yake hapo kesho

    Ndugu zangu Watanzania, Umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi UVCCM umelaani vikali mauaji ya ndugu Michael Kalinga. Ambaye alikuwa ni Mwenyekiti wa UVCCM Tawi La Machinjioni Makongorosi Wilayani Chunya Mkoani Mbeya .Ambaye mwili wake umekutwa umetelekezwa .baada ya kuuwawa na watu...
  13. M

    Mpaka lini utekaji, utesaji na mauaji Nchini Tanzania?

    Ndugu zangu Watanzania, kila mmoja wetu ameshuhudia wimbi kubwa la utekaji, utesaji na mauaji hapa Nchini hasa kabla na wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024. Mimi niwaombe wanaotekeleza mambo haya, waangalie zaidi UBINADAMU na UTANZANIA wetu. Tofauti ya vyama vyetu isiwe sababu ya...
  14. Waufukweni

    LGE2024 Amos Makalla: Tunakemea na kulaani matukio ya mauaji yaliyotokea kwa vyama vyote katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Leo Novemba 29, 2024 kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema: Tunakemea na kulaani matukio ya mauaji yaliyotokea kwa vyama vyote katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Na mimi niungane na viongozi wa dini kukemea matukio haya...
  15. Mlaleo

    Madam Nderitu Mama Mkenya Ofisa wa UN Afukuzwa kazi kwa kulazimisha kusema Israel inafanya mauaji ya Kimbari - Inawezekana amekuwa kilaza

    Umoja wa Mataifa(UN) yamfukuza Nderitu(Faizafoxy wa Kenya) kwa kukataa kuainisha tabia ya Israel huko Gaza kama 'mauaji ya halaiki,' WSJ inahoji. Upinzani wa Nderitu kutaja vitendo vya Israel huko Gaza wakati wa Vita vya Israel-Hamas kuwa mauaji ya halaiki, ulisababisha Umoja wa Mataifa kukataa...
  16. Mtoa Taarifa

    LGE2024 Polisi wathibitisha kumkamata Mtuhumiwa wa Mauaji ya Kada wa CHADEMA, Stephen Chalamila

    SONGWE: Jeshi la Polisi Wilaya ya Momba, limesema linamshikilia Mwanaume mmoja ambaye ni Dereva wa Bodaboda anayetuhumiwa kuhusika na Kifo cha Stephano Chalamila (23) ambaye awali aliripotiwa kuwa Mwanachama wa CHADEMA. Taarifa ya Polisi imesema tukio la mauaji ya Chalamila lilitokea Novemba...
  17. The Watchman

    Padri Kitima: Viongozi wa dini mkiendelea kukaa kimya juu ya matukio ya watu kuuawa maovu haya yataendelea nchi hii

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Tanzania, Padre Charles Kitima awavaa viongozi wa dini kwa kushindwa kukemea maovu yanayoendelea nchini humo hasa kupotezwa kijana Soka na wenzake, kuuawa kwa Mzee Kibao, awakemea wanaosema wasichanganye dini na siasa, awataka viongozi kujua...
  18. Ritz

    Takwimu za gazeti Kiebrania mauaji ya Wanajeshi wa Israel

    Wanaukumbi. ⚡️INGIA TU: Takwimu za Ekari za Masuala ya Kiebrania: Vifo 31 kati ya wanajeshi na walowezi wa Israel vimeripotiwa tangu mwanzoni mwa Novemba, kama ifuatavyo: •Novemba 1: Afisa mmoja wa Israel alikufa kutokana na majeraha mabaya aliyopata kwenye mlipuko wa nyumba iliyonaswa na...
  19. ILAN RAMON

    Israel yamuua Salim Ayyash, wa Hisbollalieh aliyehukumiwa na Mahakama Kuu ya Lebanon kwa mauaji ya waziri mkuu wa zamani Rafik Hariri

    Salim Ayyash, gaidi wa Hezbollah, alietiwa hatiani kwa mauaji ya waziri mkuu wa zamani, Rafik Hariri, ambaye alikuwa mzalendo wa Lebanon anayejulikana kwa kujenga upya Beirut baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe. Ripoti zinadai kuwa aliuawa katika shambulizi la Israel nchini Syria...
  20. Mkalukungone mwamba

    Iringa: Polisi yaanza uchunguzi mauwaji ya Katibu wa CCM Kilolo

    Hivi nchi yetu tunaelekea wapi jamani? Maana matukio ya kutisha yanazidi kutoea. Haya Jeshi la Polisi mkoa wa Iringa limeingia kazini kufuatailia tukio la katibu wa CCM aliyeuwawa leo, Je watachukua muda gani kuja na majibu na pengine kuwakamata hao wauwaji? ================== Jeshi la Polisi...
Back
Top Bottom