Leo nalazimisha kuwatania wakwe zangu, wachaga!
(sisemi nimeoa mchaga yupi)
Mimii nimeoa huko kwa hiyo msifure kwa hasira na mkani RIP mie chasaka!!
Wiki ilianza na mangi Wilfred Massawe, mambo ya viti moto yamekuwa magumu kwa hiyo kaanza utapeli.
Akajiita Katibu uenezi wa chama Tawala na...
Mauaji yaliyotokea hivi karibui katika eneo la Sinza ndani ya Lemax Bar yaliyosababisha vijana wawili kupoteza maisha baada ya marehemu aliyekuwa anamiliki bastola huku akifanya mambo ambayo ni kinyume na kanuni na tataratibu wa umiliki mpaka kufikia kitendo cha kuua na kujiua
Kwanza nianze...
Kuna mambo ambayo mahakama/polisi inabidi mubadilike
Kuna dogo alimchoma mwenzie kisu akakaa mwaka ndani wakidai uchunguzi unaendelea.
Hay mambo yanakatisha tamaa sana mahakamani, mfano mauaji ya kijana Goba.
Huyu dada usishangae mwaka mzima aje hukumiwa huku ndugu wakidanganywa toa hiki toa...
Nikiri kwamba andiko hili limepata nguvu kutokana na mauaji yaliyofanyika katika Bar ya Lemax, Sinza, kama yalivyoletwa na Tusker Bariiiidi. Kupitia taarifa ya ITV, ukichunguza kwa umakini utagundua kuna mhanga wa hili tukio, mwili wake umelala kwenye kiti, ingawa polisi wapo wakirandaranda kila...
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tarime Vijijini, Simon K pamoja na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya mauaji namba PI RM (MURDER) CASE NO. 4/2021 wameachiwa kwa dhamana hapo jana mjini Musoma. Jambo ambalo limewashangaza watu wengi kwani inajulikana wazi kuwa kesi hiyo haina dhamana.
Hata hivyo mke...
Habari wadau,
Sheria zetu na mtu anayekutwa na kosa la mauaji nashauri ibadilishwe waweke miaka 15 tu inatosha maana lengo la kumuweka mtu jela ni ajifunze naamini miaka 15 atakuwa amejifunza kumuweka maisha jela ni kuipa mzigo tu serikali usio na tija pia kuharibu maisha ya wategemezi wake...
Kukamatwa kwa mfanyabiashara mwenye uraia wa Haiti ambaye anaishi Florida ambaye vyombo vya usalama vinadai kwamba ni mhusika mkuu wa mauaji ya aliyekuwa raisi wa Haiti, kunazidi kuongeza maswali kwenye hili sakata ambalo tayari limeacha mawasli mengi.
Vyombo vya usalama vya Haiti vinadai...
Ubora wa Katiba yetu ya mwaka 1977 na yaitwayo madaraka makubwa ya Rais.
Funzo kwa wenzetu nchi ya haiti na kumpunguzia rais wao madaraka.
Je, watungaji (constitutional framers) wa katiba ya 1977 ya JMT walikosea kumpa rais wetu madaraka makubwa?
Kufuatia mauaji ya rais wa nchi ya Haiti...
Mkuu wa Polisi Nchini humo, Leon Charles, amesema watu wanne wanaoshukiwa kwa mauaji ya Rais Jovenel Moïse wameuawa na wengine wawili wamekamatwa
Kuuawa kwa Moïse na kujeruhiwa kwa Mkewe kulitarajiwa kuleta machafuko zaidi katika Taifa hilo ambalo tayari linakabiliwa na ghasia za magenge ya...
Kesi ya mauaji ya Sharon Otieno aliyekuwa mjamzito ambayo Gavana wa Migori Okoth Obado ni mshukiwa mkuu Mahakama ya Nairobi imeamua kuisikiliza wiki ijayo.
Katika kusikiliza kesi hiyo Jaji Cecilia Githua aliamuru upande wa mashtaka kuleta mashahidi wawili.
Kesi hii iliyopaswa isikilizwe...
Hii ni baada ya Polisi kuruhusu Bawacha wakutane kwa dk 30 tu huku polisi nao wakitaka kuwemo ndani ya ukumbi ili kusikia yanayozungumzwa , kabla ya ruhusa hiyo zimepigwa danadana kuanzia polisi kinondoni , DC hadi RC wakipiga danadana huku kila mmoja akijitoa asionekane kuruhusu jambo hilo ...
"Baada ya kushinda kesi ya Mh Freeman Mbowe na wenzake, mjadala sasa ni juu ya matumizi ya 350M, hatujadili uhai wa Akwilina. Nani alimuua? Nani anawajibika? Mkurugenzi wa Kinondoni anawajibikaje? Kwanini hakutoa barua za mawakala? Athari walizopata warufani. Uhuni huu utaisha lini?"
- Mch...
Hukumu ya kesi ya mauaji ya George Floyd inatarajiwa kutolea leo mchana jijini Minneapolis.
Derek Chauvin ambae alikuwa askari polisi tayari amepatikana na hatia ya mauaji ya George.
Mwezi April 2020 Derek akiwa anamkamata George kwa tuhuma za wizi dukani alimwekea goti shingoni kwa zaidi ya...
Moshi. Ni mwendo wa askari kuuana kwa risasi, hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya Askari wa Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (Suma-JKT), kudaiwa kumuua mwenzake kwa risasi katika wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Juhudi za kumpata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro...
Familia ya mr Joe Mutaboyerwa imepigwa mapanga inawezekana ni mlinzi wao mama na watoto wawili wote wameuwawa [emoji33]
Very sad story
Inasemekana ni njama ya boy friend wake aliyekuwa nae baada ya kifo cha Joe! Aligundua dada ana hela nyingi ambazo alikuwa apeleke bank next day, boy friend...
Wanasiasa wa Upinzani Nchini humo wameikosoa kitendo cha Serikali kuingia makubaliano na Ujerumani kuhusu mauaji ya kimbari wakati wa Ukoloni, ambapo Taifa hilo liliomba msamaha na kuahidi Dola za Marekani Bilioni 1.3
Wameishutumu Serikali kwa kuwaweka kando wao pamoja na Jamii zilizoathiriwa...
Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia askari watano wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) waliokuwa wamemaliza muda wao wa kujitolea, wakisubiri ajira za muda wa Kikosi cha Jeshi la Wananchi 27 KJ MAKOKO kwa tuhuma za mauaji ya mkazi wa Rwamlimi manispaa ya Musoma, Paulo Joseph, maarufu kama...
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe ameomba mwongozo wa Spika wa Bunge akitaka chombo hicho cha kutunga sheria kujadili ongezeko la mauaji ya wivu wa mapenzi.
Mbunge huyo ameomba mwongozo huo leo Ijumaa Juni 4, 2021 mara baada ya kipindi cha maswali na majibu.
Munde amesema kuna ongezeko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.