Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 5,233
- 12,398
Suala la Oct 29, 2025 viongozi wa Juu wa kiislam ni kama haliwahusu: uongozi wa TEC ndio umekuwa mstari wa mbele kuhoji uhalali wa mauaji ya Oct 29. Imepelekea ionekane kama hili suala lipo kidini zaidi.
Ninaishukuru TEC kwa kutojali huo mtazamo na kuendelea kunenea HAKI BIL BATIL. Naishukuru pia TEC kutowajibu wote wanaolifanya hili swala lionekane lipo kidini... ni MUFLISI
Siwezi kuwalaumu viongozi wa Kiislam , ninaheshimu mtazamo wao.
Aidha, ni makosa pia kuendelea kulinganisha mauaji ya Oct 29 na vurugu za mwembechai na vurugu za Zanzibar .
Hili lililomtokea Mama Samia I believe pia lingeweza kutokea hata kwa JPM au Mkapa ... ni rotten system ya CCM
Tatizo kubwa ni pale SERIKALI ya MAMA Samia chini ya CCM inapotaka kufunika kombe mwanaharamu apite.... It is not going to work that way , it never has and never will
Swali la msingi ni nani aliewauwa Watanzania ? Kwa idhini ya nani ? Zile picha za mabandidu ni kina nani ? jeshi na intelligence ya nchi imeshindwa kuwakamata hawa ?
We can be sure kuwa kulikuwa na inside job iliyo Orchestre mauaji ?
Hakuna serious accountability hadi sasa zaidi ya drama , why ? Viongozi ni wale wale na wale wale wapo madarakan, ni aibu mno
Sidhan kama itawezekana kuendesha nchi kwa drama drama . 90% ya viongozi waliokuwa wakati wa mauaji bado wapo kwenye nafasi zao, je serikali inajiondoa vipi kuwa haikuhusika ?
Dr Megalodon Mushi
Canada