PostGE2025 Kwanini suala la Mauaji ya Oktoba 29 halionekani kuwagusa Viongozi wa juu wa kiislam?

PostGE2025 Kwanini suala la Mauaji ya Oktoba 29 halionekani kuwagusa Viongozi wa juu wa kiislam?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Unakosea sana

Nchi haiwezi kuendelea kwa kuongozana bila utaratibu
Ukija kukua utaelewa
 
Suala la Oct 29, 2025 viongozi wa Juu wa kiislam ni kama haliwahusu: uongozi wa TEC ndio umekuwa mstari wa mbele kuhoji uhalali wa mauaji ya Oct 29. Imepelekea ionekane kama hili suala lipo kidini zaidi.

Ninaishukuru TEC kwa kutojali huo mtazamo na kuendelea kunenea HAKI BIL BATIL. Naishukuru pia TEC kutowajibu wote wanaolifanya hili swala lionekane lipo kidini... ni MUFLISI

Siwezi kuwalaumu viongozi wa Kiislam , ninaheshimu mtazamo wao.

Aidha, ni makosa pia kuendelea kulinganisha mauaji ya Oct 29 na vurugu za mwembechai na vurugu za Zanzibar .

Hili lililomtokea Mama Samia I believe pia lingeweza kutokea hata kwa JPM au Mkapa ... ni rotten system ya CCM

Tatizo kubwa ni pale SERIKALI ya MAMA Samia chini ya CCM inapotaka kufunika kombe mwanaharamu apite.... It is not going to work that way , it never has and never will

Swali la msingi ni nani aliewauwa Watanzania ? Kwa idhini ya nani ? Zile picha za mabandidu ni kina nani ? jeshi na intelligence ya nchi imeshindwa kuwakamata hawa ?
We can be sure kuwa kulikuwa na inside job iliyo Orchestre mauaji ?

Hakuna serious accountability hadi sasa zaidi ya drama , why ? Viongozi ni wale wale na wale wale wapo madarakan, ni aibu mno

Sidhan kama itawezekana kuendesha nchi kwa drama drama . 90% ya viongozi waliokuwa wakati wa mauaji bado wapo kwenye nafasi zao, je serikali inajiondoa vipi kuwa haikuhusika ?

Dr Megalodon Mushi
Canada
wakati waislam wanaonya mliwaita mashekhe ubwabwa sijui wananjaa sijui nn sasa mnawataka wa nn?

mfanye ujinga mtegemee kuungwa mkono na waislam, asiyesikia la mkuu huvunjika guu

mengine umeandika porojo tu
 
wakati waislam wanaonya mliwaita mashekhe ubwabwa sijui wananjaa sijui nn sasa mnawataka wa nn?

mfanye ujinga mtegemee kuungwa mkono na waislam, asiyesikia la mkuu huvunjika guu

mengine umeandika porojo tu
Tatizo umechagua ujinga

Muslims walikufa wengi
 
Hili ni tatizo kubwa

60% waliokufa kwenye maandamano ni Muslims , je unayo hiyo taarifa

Hata yule mama aliekuwa anachoma chapati pale buza , ni muislam mwenzio

Being islam or not should not be our reasoning
sasa nini cha kufanya mambo yaishe? Watu washaambiwa waombe msamaha/toba maisha yaendelee
 
Hawanaga akili hao, wapo kwa maslahi Yao hawana utofauti na viongozi wa madhehebu ya Kilokole
 
Walikufa watu wangapi ? Mbona hatukuona curfew ?

Yaani nchi imeingia Hadi kwenye curfew for five days unasema yaliyotokea Znz na Bongo ni sawa

I doubt your reasoning

Watu zaid ya elf 10 wamelala chini unasema ni mauaji yale yale

Upo subjective and that does not justify yaliyotokea Zanzibar na mwembechai

Haya ya oct ni our first country history
Hayawezi kuundiwa tume ya mchongo ndio iishe hivyo

Hadi waliokuwa majumbani kwao walikula gun

You should learn to be serious dogo
Nisikilize basi, tulia wewe babu!

Maana mimi umesema ni dogo. Basi babu tulia.

Nasemaaaaa:

Brigedia Hashim Mbita aliambiwa chunguza kwa nini askari wamepiga watu risasi za vichwa masuala ya kisiasa visiwani.

Benjamin Mkapa akaisoma ripoti, akaitemea mate, akaitupa kwenye septic tank la maji taka.

Kama ambayo Julius Nyerere alivyosoma Mgonja Commision Report akaenda kwenye backyard burn pit ya Ikulu, akaichoma moto ripoti inayosema TISS na Polisi wameua watu kwenye torture chambers za serikali Shinyanga na Mwanza. Adolf Hitler waliwapulizia watu Cyanide gas. TISS na polisi cyanide gas hawana, wakatumia simpler and cheaper tecnique, funga madirisha. Wakafia mumo kwenye vi interogation rooms!

What changed ? Hakuna. Mwinyi na Siyovelwa wakajiuzulu. Okay, and then what ? What the eff was ordered changed ??? Hakuna.

YAKAJA YAKAJIRUDIA YALE YALE

MFUMO WA KUAMRISHA MAUAJI FOR WHATEVER THE EMERGENCY CASE MAY BE SIKU ZOTE UMEBAKIA NI VILE VILE, UNAMPA YEYOTE YULE MADARAKA YA KUAMURU MAUAJI!
 
Back
Top Bottom