PAMOJA NA MATUKIO MATATU YA MAUAJI SABABU YA MAPENZI WIKI HII ILA BADO WANATUHITAJI SANA

7scom

Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
51
Reaction score
90
Mchezaji wa soka wa kike wa Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania, Athenea Del Castillo, amefunguka kuhusu maisha yake binafsi, akieleza kuwa umaarufu wake wakati mwingine huwafanya wanaume kusita kumkaribia.
Athenea amesema watu wengi humwona kama mtu ambaye ni vigumu kumfikia, licha ya yeye kuamini kuwa kila mtu ni binadamu mwenye thamani na anayestahili kupendwa na kuheshimiwa.
Amesema pia hajawahi kujiona bora kuliko wengine kwa sababu ya umaarufu wake, na kwamba wakati mwingine haifurahii maisha ya kuwa mtu maarufu.
Kwa mujibu wa Athenea, nyuma ya umaarufu, soka na kuangaziwa na watu, bado yeye ni mwanamke wa kawaida anayetamani kupendwa na kumpenda mtu.
Mchezaji huyo amesema bado yuko katika hali ya kutokuwa na mpenzi, na kwamba nyakati nyingine anapokuwa peke yake, hujikuta akilia kutokana na maumivu ya kujisikia mpweke.
“Haijalishi ninaonekana kuwa imara kiasi gani mbele za watu, bado inauma kujisikia mpweke,” amesema Athenea
 
Atafute Ben 10 au Marioo akae naye.
 
Asili tu ya viumbe vyote hai huhisi furaha vinapokuwa vinapata upendo na huhisi kuthaminiwa.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Huyo demu kashapata bwana na nyinyi hiyo habari ya kitambo
 
1791376060167.png
 
Back
Top Bottom