ni hatari sana mwenyekiti wa chama kitaifa kuwa rais.hapa akitokea rais asiyetaka kushauriwa ,ni hatari sana kwa taifa .kwa kweli mwenyekiti wa chama kitaifa asiwe rais. chukulia mtu mwenye misimamo kama TL awe rais na ni mwenyekiti wa chama .hapo inakuwaje? hata hayati magufuli kuna sehemu...
Kiongozi wa muungano wa vyama vya kisiasa vya Waarabu anakataa kukiita Hamas kundi la kigaidi. Hawa ndio watu wanaotaka kushiriki katika serikali ya Israel. Wanapaswa kufukuzwa na kurudishwa Jordan! Yeyote aliyewapigia kura anapaswa kufukuzwa na kupelekwa akaishi Gaza.
Vyama vyote vya waarabu...
Israel: Kiongozi wa chama cha Ra'am, Mansour Abbas, anaashiria kuwa masharti yaliyowekwa na Gadi Eisenkot kwa ajili ya kuunda muungano hayatazuia chama chake kujiunga na serikali, kwa mujibu wa taarifa ya Channel 12. Masharti hayo manne ni Kuitambua Israel kama taifa la Kiyahudi na la...
Please Please,
My friends, ladies and gentlemen,
tusikae kimya, kutazama tu bila kukemea taasisi za kidini na vyama vya siasa vikiendelea kuhamasisha na kuchochea chuki, uhasama na migawanyiko, ambayo ni wazi inalenga kuamsha hasira na ghadhabu miongoni mwa jamii za waTanzania na pengine kuleta...
Wakuu salaaaam. Ndivyo wanavyoonyesha hapa Aljazeera.
Je, kwa hiki kinachoonekana bado tu Netanyahu ameshindwa kama akina Ritz wanavyotaka kutuaminisha?
Alamusiki.
Ukiondoa Dar es Salaam, mkoa uliofuata kwa Mo29 ulikuwa ni Mbeya, wilaya nne za Mbeya Mjini, Mbeya Vijijini, Uyole na Kyela maandamano yalifanyika kwa kiwango kikubwa. Kwa upande wa mikoa kama Mwanza na Arusha, maandamano yalijikita zaidi katika maeneo ya mijin, kwa mkoa wa Mara maandamano...
chama
hamasa
harakati
hawana
imara
injini
kiongozi
majina
makubwa
mbeya
mfano
siasa
siasa za upinzani
tanzania
upande
upinzani
upinzani tanzania
viongozi
viongozi wa vyamavyamavyama imara
wako
wenye
Watanzania siyo wageni na kitu kinachoitwa maridhiano, kwa nature ya wanasiasa hawa tulionao, hakuna haja ya maridhiano kwasababu maridhiano yalishawahi kufanyika tukitegemea tutaona siasa za kizalendo, tulitegemea tutaona uzalendo wa kwelikweli kwa Taifa letu lakini cha ajabu wanasiasa wakaanza...
Kauli ya Waziri wa Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Profesa Palamagamba Kabudi, kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amevipa vyama vya siasa nafasi sawa, inafungua mjadala kuhusu maana ya usawa wa kisiasa, uhuru wa Tume ya Uchaguzi na hatua zilizochukuliwa kushughulikia malalamiko ya muda mrefu...
Mwishoni mwa miaka ya 1980 na mapema miaka ya 1990, nikiwa bado kijana mdogo na mwanafunzi, nilitawaliwa na shauku kubwa ya mabadiliko. Tulikuwa kizazi kilichochoshwa na ukiritimba wa mawazo ya chama kimoja. Hewa ya Dar es Salaam nyakati zile ilikuwa imejaa harufu ya mapinduzi ya fikra—mageuzi...
Kwa kurelax,
elezea hasara na athari hizo za kisiasa, kijamii na kiuchumi wanazopitia wasusia uchaguzi na vyama vyao vya siasa, kwa kurejea hasara na athari za wasusia uchaguzi wa Kenya, Zanzibar na Tanzania na itapendeza zaidi, kwasababu sote ni mashahidi, hakuna faida hata moja waliopata...
Vyama vya upinzani hapa Tanzania vinazirotesha upatikanaji wa demokrasia hapa Tanzania kwa kukosa utaalamu na uzoefu wa siasa
Kughaili kushiriki uchaguzi sio njia ya kirafiki ya kupigania demokrasia. Inataka muda kwa mtu yeyote kuachia usukani. Inataka mkakati wa kiiufundi.
Ni safari ndefu...
Halafu matokeo yake sasa,wakati muafaka wa kikatiba hususani wa uchaguzi ukifika, mayowe, visingizio na vilio vya mabadiliko vinaanza.
Ooh tume huru ya uchaguzi ibadilishewe, mara sijui sijui yafanyike mabadiliko madogo ya katiba na uchaguzi usogezwe mbele n.k, badala ya kujipanga na kujiandaa...
ccm
chama
chama tawala
chama tawala tanzania
kimkakati
kuendelea
kuongeza
mikakati
nchini
siasa
tanzania
vingine
viongozi
vyamavyama vingine
wafuasi
wakati
wananchi
wengi
Vyama vya siasa vya Ulaya na Marekani vinapokezana kuongoza nchi zao sio kwa bahati mbaya tu, bali kuna mambo ya msingi ya nchi vimekubali yabaki kuwa hivyo yalivyo kama yalivyoamuliwa huko nyuma na watangulizi wao.
Mfano, Pale UIngereza vyama vyote lazima visiiguse familia ya kifalme, ubepari...
Jamani naomba kujua kama jaji Mtungi na msaidizi wake Sisty wapo!
Kuna chama cha siasa kinamiliki majeshi na vyombo vya usalama.
Nadhani hii ni kinyume na sheria ya vyama vya siasa na natumaini hatua kali sana za kukifuta chama hicho zitachukuliwa
Nawaza tuu au wanapingana wao kwa wao?
Campaign za uchaguzi hakuna
Msemaji wa chama hakuna
Uhaini lazima uwepo lakini
Utekaji lazima uwepo lakini
Rushwa lazima iwepo
Haki za binadamu
Ubadhirifu utakuwepo
Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania, kumekuwepo na mageuzi na mabadiliko mengi sana makubwa ya kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa.
Kama mdau wa muhimu na wa heshima sana wa JF, unadhani ni upi mchango wa vyama vya siasa vya upinzani katika...
Je,
ni kwasababu Tanzania hakuna changamoto kubwa sasa ambazo zinaweza kua agenda kuu kwa vyama vya siasa hasa vya upinzani kuzisimamia?
Au ni uwezo mdogo wa viongozi wa upinzani katika kupanga, kubuni na kuibua mipango na agenda zenye mashiko ili kuwafanya kua relevant all the time kwenye...
Huwa nafuatilia sana siasa za dunia na Afrika. Afrika yote ni kama vile inaongozwa na Rais mmoja, bunge moja, mahakama moja na baraza la mawaziri moja. Hali yetu inafananafanana kwa kila kitu. kiuchumi, siasa, na huduma za jamii.
Huduma na maendeleo yetu yako chini relatively kulinganisha na...
Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au...
Mahakama Kuu imeunga mkono sheria inayozuia Rais mstaafu kushikilia nafasi rasmi ya uongozi katika chama cha kisiasa zaidi ya miezi sita baada ya kuondoka madarakani.
Justice Lawrence Mugambi alitupilia mbali kesi iliyokuwa inapinga Section 6 ya Presidential Retirement Benefits Act, akisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.