Mahakama Kuu imeunga mkono sheria inayozuia Rais mstaafu kushikilia nafasi rasmi ya uongozi katika chama cha kisiasa zaidi ya miezi sita baada ya kuondoka madarakani.
Justice Lawrence Mugambi alitupilia mbali kesi iliyokuwa inapinga Section 6 ya Presidential Retirement Benefits Act, akisema restriction hiyo haikiuki haki ya kushiriki siasa, freedom of association wala equality.
Sheria hiyo inaweka mstari wazi kati ya kushiriki siasa na kuendelea kushikilia mamlaka rasmi ndani ya chama.
Rais mstaafu bado anaweza kuwa na maoni ya kisiasa, kushiriki mijadala ya kitaifa na kuhusishwa na shughuli za chama. Kile anachozuiwa ni kuendelea kuwa office bearer wa chama baada ya kipindi kilichowekwa na sheria.
Hapo ndipo uamuzi huu unakuwa mkubwa kuliko mtu mmoja.
Hoja ya mahakama ni kwamba mtu aliyeshikilia mamlaka makubwa ya urais kwa miaka kadhaa anaendelea kuwa na ushawishi mkubwa hata baada ya kuondoka State House. Kuruhusu ushawishi huo kuendelea kupitia nafasi rasmi ya chama kunaweza kumwezesha Rais mstaafu kuendelea kuwa na nguvu kubwa juu ya siasa na hata mrithi wake.
Lakini upande mwingine wa mjadala pia una uzito.
Ikiwa mtu amemaliza urais na bado ana haki za kisiasa kama raia mwingine, kwa nini sheria imzuie kuongoza chama anachokiamini?
Je, former presidents wanapaswa kupewa nafasi ya kuendelea kuwa political actors kama Wakenya wengine, au kuna haja ya kuweka umbali kati ya former presidential power na active party leadership?