Ni wazi matokeo yoyote ya ushindani, minyukano na uhasama wa kisiasa baina ya viongozi wanao gombea nafasi ya uenyekiti wa Chadema Taifa, kutaidhoofisha chadema yenyewe na kuimarisha vyama vingine vya siasa nchini, ikiwa ni pamoja na chama tawala.
Hakuna atakaeshinda uongozi wa chadema Taifa...
Hii ni tathmini yangu ya haraka haraka. Kuna fukuto kubwa sana na bifu kubwa sana kati ya wanachama na viongozi wa chadema.
Natabiri vurugu kubwa sana ambayo kama Ubungo Plaza watakubali kuwapa ukumbi chadema, basi wajiandae kwa lolote litakalotokea, vinginevyo Chadema waweke dhamana ya fedha...
Kinachomtofautisha Tundu Lissu wanasiasa wengi hapa Tanzania ni usomi wake.
Jenerali Ulimwengu hakukosea aliposema kwamba kila anapozungumza Lissu yeye humsikiliza kwa makini sana.
Mara nyingi katika mazungumzo yake Tundu Lissu lazima atatoa neno au somo jipya kwa wasikilizaji wake.
Msikilize...
Bunge la Job Ndugai
Bunge la Anne Makinda
Bunge la Samweli Sitta
Bunge la Pius Msekwa.
Bunge la Tulia Akson
Lipi lilikidhi Kiu yako na uliona kama faida kwa nchi na lipi halijawahi kukata kiu yako na unaliona kama hasara kwa nchi?
Dk. Lwaitama, moja kati ya nguli wa zamani pale UDSM ameshangazwa na msimamo wa Lissu kwamba hataki kuzungumza au kuridhiana na yeyote. Katika moja ya makala zake, mzee wa maswali magumu Ansbert Gurumo, katika moja ya makala zake, alisema kwamba Lissu ni Mwanasiasa ambaye anaweza kutoa kauli...
Happy new year .
Leo napenda kutoa ushauri mdogo Kwa vyama vya siasa hasa Chadema ambao wamekuwa wakipambana na kujaribu kuingia madarakani.
Katika siasa kinachohitajika zaidi sio Good plan pekee bali na good strategies .
Mbinu nzuri na mipango mizuri , kila uchaguzi huwa nafatilia na...
Sheria ya vyama vya siasa inataka vyama kupeleka taarifa zao za kifedha kwa msajili kila mwaka; kwakuwa vyama hivi vina maslahi kwa nchi, ningependekeza ofisi ya msajili kuzitoa taarifa hizo kwa umma wa watanzania, kuna viongozi wanastahili kufunguliwa kesi za matumizi mabaya ya fedha za umma...
1962 mondlane aliasisi chama Kikongwe kwa ajili ya kuikomboa msumbiji kutoka kwenye makucha ya wareno !kutoka na Hali ya msumbiji nyakati hizo iliwalazimu frelimo kuweka makao yake makuu jijini dar es salaam! Mapambano makali wakisaidiwa na serikali ya Tanzania chini ya jemedari hayati mwalimu...
Siku zote huwa nawaambia vijana fanyeni siasa, fanyeni ushabiki wa kisiasa, wapendeni viongozi wa kisiasa lakini kamwe msije kujitoa mhanga kiasi kwamba mnahatarisha maisha yenu kuwapigania wanasiasa au vyama vyao.
Wanasiasa wote unaowajua wapo pale kwaajili ya maslahi yao na familia zao kwanza...
Wakuu,
Wale wana CHADEMA ambao mnahisi Mbowe hatoshi kuongoza chama chenu mna salamu zenu huku kutoka kwa Dr Aikande ambaye ni mwanachama maarufu.
Kwa logic hii maana yake pia CHADEMA mtafute nchi nyingine ya kuishi muache kuilalamikia CCM kwani kuna nyingine 194 duniani...
Wepesi sana kulaumu vyama vya siasa vinapofanya makosa huku wao wakijificha nyuma ya laptop.
Dada wa Taifa alijaribu kuandaa maandamano akiwa ughaibuni lkn nayo hayakufanikiwa kwa sababu alitegemea Chadema wajitokeze, kwanini wanaharakati hamkujitokeza kumuunga mkono mwenzenu.
Maria Sarungi...
Kila mtu anaona na kusikia yanayotokea chama kikuu cha Upinzani CHADEMA. Wanachama wanaumia sana mioyoni mwao kutokana na mnyukano unaoendelea. Saaafi sana.
Sisi, kama Wafuasi wa kujitolea wa Rais tunaamini kitu kimoja hapa Duniani:
Nchi ni Rais. Rais ni nchi.
Nchi ni wananchi. Wananchi ni...
Lojiki ya kufikiria ya Watanzania wenzengu mara nyingine inaniacha nashindwa kuwaelewa. Sielewi kwa nini suala la Mbowe na Lissu kugombea uenyekiti liwe jambo linalotishia uhai wa Chadema.
Tukirudi nyuma, hatuwezi kusema Nyerere aliacha uongozi kwa sababu aliishiwa fikra sahihi na ghafla Mwinyi...
Huwa najiuliza mantiki ya kuvipa vyama vya siasa ruzuku kila mwezi. Zaidi ya makelele, migogoro, kelele, na usanii vinazalisha nini ikilinganishwa na wakulima na wafugani kwanza, na pili wafanyakazi?
Kwanini hii ruzuku ya kila mwezi kwanza, isiende kwa wakulima na itakayobaki iende kwa...
Zambia, Hakainde Hichilema amekuwa Rais wa chama cha UPND kwa miaka 18
Kenya, Raila Odinga amekuwa Kiongozi mkuu wa ODM kwa miaka 20, ameachia uongozi kugombea nafasi ya uongozi AU. Uhuru Kenyata bado ni Kiongozi mkuu wa chama cha Jubilee tangu mwaka 2016.
Zimbabwe, Morgan Tsvangirai alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.