ni hatari sana mwenyekiti wa chama kitaifa kuwa rais.hapa akitokea rais asiyetaka kushauriwa ,ni hatari sana kwa taifa .kwa kweli mwenyekiti wa chama kitaifa asiwe rais. chukulia mtu mwenye misimamo kama TL awe rais na ni mwenyekiti wa chama .hapo inakuwaje? hata hayati magufuli kuna sehemu alikuwa anazingua ,lakini unawezaje kumshauri mwenyeki wako wa chama? na mwenyekiti wachama kitaifa unakuta kashakolabo na wenyeviti cha chama kimkoa,kiwilaya,mpaka shinani,sasa akiwa mbovu hapo inakuwaje?kwa wenzetu waliyostarabika ,wenye uchumi mzuri na wenye katiba nzuri inawezekama lakini siyo kwa africa kabisa
kule uganda tumeanza kufanya majadiliano na KIZZA BESIJE ili tumfutie kesi ya uhaini.Unaonaje tukifanya hivyo hata kule TANZANIA tumfutie kesi T.lissu? wanachadema mtakubari au mnajiona wasomi na wenye haki sana kuliko wengine?