Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Kiongozi wa muungano wa vyama vya kisiasa vya Waarabu anakataa kukiita Hamas kundi la kigaidi. Hawa ndio watu wanaotaka kushiriki katika serikali ya Israel. Wanapaswa kufukuzwa na kurudishwa Jordan! Yeyote aliyewapigia kura anapaswa kufukuzwa na kupelekwa akaishi Gaza.
Vyama vyote vya waarabu walishapewa Mashariki 4 hayo ni lazima wayatimize Kama wanataka kushiriki siasa za Israel bila hivyo hawatakiwi Israel waende kwa waarabu wenzao wanaowahusudu!!
Vyama vyote vya waarabu walishapewa Mashariki 4 hayo ni lazima wayatimize Kama wanataka kushiriki siasa za Israel bila hivyo hawatakiwi Israel waende kwa waarabu wenzao wanaowahusudu!!