Ukiona mtu anadai anataka mabadiliko halafu wakati huo huo anawapinga "radicals" au wanaharakati, huyo mtu ni ama hajui umuhimu wao au ni kibaraka wa upande wa pili.
Uwepo wa radicals au wanaharakati unawasaidia moderates hata katika meza ya maridhiano au majadiliano maana upande wa pili utaona...
TAARIFA KWA UMMA
HAKUNA MARIDHIANO BILA UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI
Leo, Novemba 1, 2026. Chama cha ACT Wazalendo kimeeleza kuwa Tanzania ipo katika mkwamo mkubwa wa kisiasa unaotokana na ukiukwaji wa misingi ya demokrasia, utawala bora na haki za binadamu, na kusisitiza kuwa hakuna maridhiano...
Kiongozi wa muungano wa vyama vya kisiasa vya Waarabu anakataa kukiita Hamas kundi la kigaidi. Hawa ndio watu wanaotaka kushiriki katika serikali ya Israel. Wanapaswa kufukuzwa na kurudishwa Jordan! Yeyote aliyewapigia kura anapaswa kufukuzwa na kupelekwa akaishi Gaza.
Vyama vyote vya waarabu...
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeendelea kutoa elimu kwa umma kuhusu Rasimu ya Katiba ya Fungamano la Kisiasa la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali mkoani Arusha, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuongeza uelewa na kuwaandaa wananchi...
Uchaguzi mkuu wa Israel uliofanyika mnamo Oktoba 27, 2026, umeacha taifa hilo katika sintofahamu kubwa ya kisiasa baada ya matokeo ya mwisho ya Kamati Kuu ya Uchaguzi (CEC) kuthibitisha kuwa hakuna upande uliopata ushindi wa wengi. Uchaguzi huu, ambao ulikuwa wa kwanza tangu mashambulizi ya...
Kuna ukweli kiasi gani katika madai kwamba Zanzibar inaweka mfumo wa kisiasa na kiutawala ndani ya Tanganyika unaoweza kuiwezesha kuendelea kushikilia mamlaka kwa miongo kadhaa ijayo, hata pale ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakapokuwa anatoka Tanganyika?
Je, huu ni mkakati wa...
Wasalaam,
Katika medani za siasa zetu hapa Tanzania, kuhama kwa wanasiasa kutoka chama kimoja kwenda kingine limekuwa si jambo la kushtua tena. Lakini kinacholetwa maswali mengi ni nyakati zenyewe kete hizo zinaposogezwa.
Tukio la hivi karibuni la Alute Mughwai Lissu, kaka yake Tundu Lissu...
Kenya ilikuwa ikionekana kama safe haven, kimbilio la wale wanaharakati wa siasa waliotafuta uhuru na usalama nje ya nchi zao
matukio yanayohusisha wanaharakati wa kisiasa, akiwemo Kizza Besigye wa Uganda, Maria Sarungi na Twaha Mwaipaya, kukamatwa yameibua hofu kubwa kuhusu usalama wa...
Maridhiano si tangazo la kisiasa tu kushikana mikono kati ya baadhi ya viongozi. Ni mchakato wa kurejesha imani miongoni mwa watu ambayo maisha yao, familia zao na hali zao zipo mashakani .
Tukizungumzia kiongozi wa kisiasa anayechukiwa na wananchi, athari zake zinaweza kuwa kubwa sana. Historia inaonyesha kuwa kiongozi anaweza kuwa na mamlaka makubwa kisheria, lakini akapoteza uungwaji mkono wa wananchi.
Athari 7 za kiongozi wa kisiasa kuchukiwa na wananchi
1. Kupoteza uhalali...
Hamjambo!
Napenda wapigania haki. Hilo litabaki hivyo. Lakini nachukia ushabiki maandazi. Yaani uanaharakati wa kishabiki.
Siupendi kwa sababu unaulaghai na uongo mwingi sana. Na mtu mwongo kwa kweli hanivutii.
Ukiwa muongo uwe muongo mwenye Akili angalau.
Hawa wanaharakati uchwara hawana...
Heri ya siku wana-JamiiForums,
Katika kuelekea tarehe 6 Novemba 2026, siku ambayo Mahakama Kuu inatarajiwa kutoa hukumu katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Lissu, kumekuwa na msisimko mkubwa sana wa maneno mtandaoni. Jambo linaloshangaza na linalostahili...
Sasa ni mwaka mmoja tangu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, tukio ambalo lilitakiwa kuwa kielelezo cha sauti ya wananchi, lakini badala yake likageuka kuwa kilele cha kile ninachokiita Umachiaveli wa Kitaasisi.
Mbinu za Machiavelli sio wazo geni katika siasa zetu. Lakini sasa limefikia kiwango cha...
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu tahadhari ya mvua za El Niño iliyotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Baadhi ya wananchi wameanza kuibeza TMA na hata Serikali kwa sababu mvua zilizotabiriwa kuanza mwanzoni mwa Oktoba hazijanyesha katika maeneo mengi...
Hii ishu ya Ukimbizi wa kisasa walijua itakuwa upande wa Lissu na Wapambania haki wa CHADEMA.
Hakuna aliyetegemea Polepole atatekwa kama Mdude Nyagali.
Hakuna Mwana CCM alitegemea Nchimbi anaweza kupotezwa asijulikane alipo kama Ben Saanane.
Mwigulu alipokuwa waziri wa Mambo ya ndani...
Rais William Ruto amezua mjadala baada ya kumhusisha Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna na pombe alipokuwa akizungumzia uzinduzi wa chama kipya cha kisiasa, The Equitable Party (TEP), na madai ya Sifuna kuonekana kwenye baa baada ya hafla hiyo.
“Niliona Sifuna alienda kulaunch the Empty Party alafu...
Hii itaimarisha uzalendo na uhakika wa usalama wa Taifa letu. Na itasaidia sana kuondoa wagombea na wanasiasa wenye tamaa za madaraka, wanaozurura na tiketi za ndege mifukoni mwao. Lakini pia hii itasaidia kudhibiti utitiri wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ndani ya taifa letu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.