kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Uhasama wa kisiasa, kugawanyika na kusambaratika kwa CHADEMA kutaimarisha vyama vingine vya siasa nchini

    Ni wazi matokeo yoyote ya ushindani, minyukano na uhasama wa kisiasa baina ya viongozi wanao gombea nafasi ya uenyekiti wa Chadema Taifa, kutaidhoofisha chadema yenyewe na kuimarisha vyama vingine vya siasa nchini, ikiwa ni pamoja na chama tawala. Hakuna atakaeshinda uongozi wa chadema Taifa...
  2. Tlaatlaah

    Activist Mtanzania aliedai kutekwa Kenya ni kama vile alijiteka mwenyewe tu ili kuzichonganisha na kuharibu uhusiano wa serikali za Kenya na Tanzania

    Maelezo yake ni dhahiri ya kupikwa, hayana uhalisia hata kidogo. Script haikuandaliwa vizuri. Kwakua mwanaharakati huyo amekua akipuuzwa kwa muda mrefu katika masuala mbalimbali anayojaribu kuyaibua kwa manufaa yake binafsi na nia zake ovu, ameona kutumia njia hiyo ya kujiteka ili kuvuta huruma...
  3. S

    Mbowe siku zote alijua watekaji na wauaji ni nani na kituo chao kipo wapi, hakutaka kusema hadi alipoona itamnufaisha binafsi kisiasa?

    Nimekuwa shocked na maelezo ya Mbowe yakionyesha kumbe kwa muda mrefu amejua watekaji na wauaji ni nani, kwamba kilikuwa kikosi maalumu kilichoundwa na serikali kwa madhumuni ya "amani na usalama", kikijumuisha Polisi, TISS na JWTZ. Na hata ameeleza kwamba baadae JWTZ walichukua uamuzi wa...
  4. Tlaatlaah

    CHADEMA bado haijakomaa kidemokrasia, mioyo na fikra za baadhi ya wagombea uongozi wa kitaifa

    Ni wazi ukomavu wa kisiasa na kidemokrasia ndani chama cha demokrasia na maendeleo chadema, miongoni mwa wanaogombea uongozi wa kitaifa, wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa wanachama na mashabiki bado haijapevuka vizuri mioyoni na kwenye fikra zao. Shari inayombatana na masharti juu ya...
  5. KHM 1995

    Hatma ya Tanzania iko juu ya Watanganyika na Wazanzibar

    Hatma ya Tanzania iko juu ya watanganyika na wazanzibar, lakini athari za kisiasa inaweza kuwa doom day kwa Tanzania. Lakini kanuni ya asili itaamua mustakabali wa Tanzania,itaacha kiashiria cha hatari juu ya watanganyika na wazanzibar,lakini kanuni ya asili sio matokeo ya kisiasa wala kiuchumi...
  6. Fortilo

    Kwa wanaompenda Tundu Lissu Mwambieni aache kuishi kama Celebrity maadui zake Kisiasa bado wapo

    Mwanasiasa yeyote duniani prominent ana maadui, wengine kwa muda wengine wa kudumu, na hii ni kutokana na aina ya siasa unazofanya Siasa ni maisha ya watu, ni kupata na kukosa, siasa ni fedha na madaraka, Heshima na Urithi. Sasa unapofanya harakati kuna utakaowaumiza kwenye kusema, kutoa...
  7. Tlaatlaah

    Kuna mgombea uongozi wa CHADEMA ngazi ya Taifa anaweza kuenguliwa kabla ya Uchaguzi asipojirekebisha

    Kwakua tayari inasemekana amejiandaa kwa hali hiyo endapo hilo litatokea, na kwamba anayo destination mpya ya uhakika ya kufanikisha malengo yake. Kwa makusudi, mgombea huyo anasema na kutenda kinyume na katiba ya chadema ili tu achukuliwe hatua, halafu kisha afanye mass defections aloipanga na...
  8. Mr-Njombe

    Mgawanyiko na mpasuko ndani ya CHADEMA, sasa wadhihirika bayana na unaelekea pabaya usipodhibitiwa mapema kisiasa

    Mwanzoni viongozi waandamizi wa chadema hususani ngazi ya taifa walikua wakijipiga kifua sana hadaharani kwamba hakuna mgawanyiko wala mpasuko wowote ndani ya chadema, ispokua kilichokua kinajitokeza ni uhuru wa viongozi na wanachama wa chadema kutoa maoni na mitazamo yao dhidi ya waliyo kua...
  9. winnerian

    Tafakari kwa Viongozi wa Kisiasa: Siku ya ukomo wenu mtaacha Taifa la namna gani kwenye mikono ya warithi wenu?

    Viongozi wakuu wa kisiasa nchini Tanzania, ukiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni vyema kutafakari kwa kina kuhusu urithi wa uongozi wenu kwa taifa hili. Siku ya ukomo wa uongozi wenu inakaribia, siku ambayo mtaweka chini mzigo wa kuiongoza nchi na kuwaachia wengine waubebe kwenye...
  10. M

    UCHAGUZI CHADEMA: Hotuba ya leo, kisiasa Heche amemucha mbali sana Lissu

    Nimesikiliza Hotuba ya Heche leo akitangaza kugombea Umakamu Mwenyekiti CHADEMA, nimegundua kisiasa Heche ni Mkubwa sana kuliko Lissu ingawa kiharakati Lissu kamuacha mbali sana Heche. Heche katambua nguvu ya Mbowe ndani ya CHADEMA, hotuba yake imekwepa sana kumshambulia Mbowe Binafsi na...
  11. Mudawote

    Mbowe Amuita Tundu Lissu: Njama za Kisiasa Kabla ya Uchaguzi?

    Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya CHADEMA, Kamati Kuu ya Chama inatarajiwa kukutana tarehe 6 Januari 2025 kwa ajili ya kujadili masuala mawili makubwa: uvujishaji wa taarifa za ndani ya chama na tuhuma dhidi ya Makamu Mwenyekiti Taifa, Tundu Lissu. Hii imeibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa...
  12. chiembe

    Katika nchi zote za Afrika Mashariki, William Rutto anamaliza mwaka 2024 akiwa Rais dhaifu kisiasa kuliko wote.

    Ndio, ni dhaifu kuliko Salva Kiir. Sasa anaomba Mungu Raila Odinga asijitikise kisiasa, akifanya hivyo jumba la ikulu ya Nairobi litapata nyufa na kubomoka. Ni kama ng'ombe aliyekatika mkia kwa kuwa hana Rigathi Gachagua, anaonekana muda mwingi ana wasiwasi, mawazo, amekosa uimara kama Rais...
  13. M

    Pre GE2025 Kwa dalili hizi Lissu kajimaliza kisiasa

    Maria space imemuharibia LISSU kisiasa. 1. Uenyekiti CHADEMA ni wazi uko mbali na yeye. 2. Akihamia chama chengine kama Chauma uwezekano wa chama hicho kuwekewa biti na kujikuta LISSU anayumba yumba. 3. ACT WAZALENDO upande wa Zanzibar hawatukubali kumpokeaa LISSU watahofu ya Lipumba. Mwisho...
  14. B

    Sultani wa Zanzibar alikaa Tanganyika kwa siku 5 kabla ya kuelekea Uingereza kwa hifadhi ya kisiasa

    SULTANI JAMSHID ALIYOISHI DAR ES SALAAM KAMA MKIMBIZI AKIJITAYARISHA KWENDA NCHI YA TATU ILI TANGANYIKA ISIWE NA MGOGORO NA ZANZIBAR. Mchezo huu hauhitaji hasira, mtu ni kwao, karibu sana Sultan Jamshid. TOKA MAKTABA: AIISHUKURU SERIKALI YA TANGANYIKA KWA KUMPA NJIA YA KUPITA KUELEKEA...
  15. Mtoa Taarifa

    Ripoti ACLED: Nchi 10 za Afrika zilizoongoza kwa Vurugu na Migogoro ya Kisiasa kwa mwaka 2024

    1. Nigeria 5 2. Sudan 8 3. Cameroon 9 4. DR Congo 13 5. Ethiopia 20 6. Somalia 21 7. Mali 22 8. Kenya 23 9. Sudan Kusini 24 10. Burkina Faso...
  16. R

    Hypothetical Scenario: Rais Samia piga marufuku mikutano ya hadhara ya kisiasa Lisu aje akulazimishe kuifungua au aifanye kwa kukaidi

    SI MNASEMA SO CALLED "MARIDHIANO"/PROCESS TO MARIDHIANO AS PUT BY NGURUMO HAYANA FAIDA, SASA Maana mnamuona LISU ni mwamba usiopenyeka. Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye...
  17. K

    Naona kuna wimbi la wasusiaji wa CHADEMA hasa wale wanaharakati kwasababu wanataka Lissu awe mwenyekiti

    Naona kuna wimbi la wasusiaji wa Chadema hasa wale wanaharakati kwasababu wanataka Lissu awe mwenyekiti. Hata mimi nafikiri ni wakati Lissu angetakiwa kuwa mwenyekiti lakini tupiganie sababu za kutaka Lissu awe mwenyekiti. Tupiganie midahalo na kuelimishana sio kuzuia midahalo. Elimu ipatikane...
  18. DR Mambo Jambo

    Kwanini kila ikifika Mwaka mmoja kabla ya Uchaguzi Lazima kutokee Mikwaruzano Ya Kisiasa CHADEMA Ya FAM Hii ndo SIRI ILIYOJIFICHA

    Kiistoria, kila unapobaki mwaka mmoja au miwili kuelekea uchaguzi mkuu wa rais na wabunge nchini, ndani ya chadema kunaibuka minyukano. Hii ilikuwa kweli mwaka 2008 na 2009, kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010 Na Ikawa kweli 2013 na 2014, kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 Na sasa ni kweli pia...
  19. D

    Kimhemko na kisiasa Makonda yupo sahihi; kitaalamu Mchengerwa Yuko sahihi zaidi!

    Usahihi wa Makonda; Inaweza ikaamsha watendaji kuwahi majukumu yao kwa haraka na kwa wakati.........si mbaya. Usahihi wa Mchengerwa; Desturi hii ikiingia katika akili na damu za watu wetu, ambao wengi wao uelewa wao ni mdogo sana na ambao huchagizwa na mihemko ya kisiasa au kikanda na kikabila...
  20. Ileje

    Uimara wa CCM utategemea upepo wa kisiasa ndani ya Chadema

    Huu ndiyo ukweli kuwa Chadema ikisambaratika CCM itakuwa imara kuliko wakati wo wote tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe. Ikitokea Mbowe akajitoa katika kinyang'anyiro cha kuwania tena kiti cha uenyekiti Taifa Chadema basi CCM itakuwa tumbo moto. Hii itawapa nguvu baadhi ya makada wa CCM...
Back
Top Bottom