kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Mbowe hajawahi kung'ang'ania madarakani CHADEMA, madai ya hivi ni upotoshaji wa kisiasa tu.

    Mbowe anaweza kulaumiwa kwa mambo yote lakini jambo moja kubwa ambalo hawezi kulaumiwa nalo ni kung'ang'ania au kukaa madarakani muda mrefu. Lissu mwenyewe ambaye ndiye mpinzani mkuu wa Mbowe katika nafasi ya mwenyeketi kwa sasa na anayetaka ukomo wa kushika madaraka ndani ya CHADEMA uwekwe...
  2. M

    Lissu,Mzee Mbowe akikushinda umekwisha kisiasa

    Hakuna ubishi ya kwamba Lissu ni moja ya akili kubwa tulizonazo hapa nchini ukiondoa mapungufu ambayo hakunaga binadamu asiekuwa na mapungufu. Kitendo cha Lissu kutaka kuwa Mwenyekiti wa chama chake na kuanza kuonekana kutishia utawala wa mzee Mbowe na dalili mbaya kwa chama na Lissu pia. Mzee...
  3. sinza pazuri

    Mpanzu ni usajili wa kisiasa kuna uwezekano asicheze kabisa Simba

    Elie Mpanzu aka Joshua Mutale toka kongo. Huu ni usajili wa kisiasa na inawezekana asichezee kabisa Simba msimu huu. Simba ni mabingwa wa kufanya sajili za kisiasa kutuliza joto la mashabiki. Lakini pia Mpanzu hana quality ambayo wengi wanaamini anayo ni winga wa kizamani wa kucheza kwenye...
  4. Father of All

    Je ni kosa kuita uhamaji vyama ima uchumia tumbo au umalaya wa kisiasa?

    Kila ukaribiapo uchaguzi aka uchakachuaji, wachumiatumbo wengi uhama vyama kwa sababu mbali mbali mzuri na mbaya. Japo tunasema ni uhuru kidemokrasia, je huu una tofauti gani na umalaya wa kawaida ambapo huu ni umalaya wa kisiasa uliohalalishwa ili kuvinufaisha au kuvidhoofisha vyama?
  5. Bob Manson

    Pre GE2025 Upepo wa kisiasa unavuma upinzani, je hii ni ishara njema kwa chama tawala kuelekea 2025?

    Ukweli ni kwamba kwa sasa upepo wa siasa unavuma CHADEMA, macho na masikio ya wengi yameelekea huko. Chama tawala ni kama wamesahaulika kwa muda, je hii ni ishara njema kwao kuelekea 2025? Nini sababu ya chama tawala kupoteza ushawishi katika kipindi hiki kifupi? Je ni mbinu hafifu za kisiasa...
  6. technically

    Pre GE2025 Tundu Lissu kabadilisha kabisa upepo wa kisiasa nchini

    Tukiacha unafiki Tundu Lissu amebadilisha kabisa siasa za Tanzania Joto la kisiasa lipo juu vyombo vyote vya habari mpaka gazeti la Uhuru habari ni Tundu lissu. Sasa naona Tundu Lissu ndiye Rais ajaye wa Tanzania Kama atachaguliwa kuwa mwenyekiti wa chadema akafanya reform ya chama...
  7. S

    Madai ya Lissu kulipiwa fomu na Sativa ni mbinu za kisiasa tu hazina ukweli wowote

    Tundu Lissu leo amechukua fomu na amedai fomu hiyo amelipiwa na Sativa.Kwanini amemtaja Sativa? amemtaja Sativa ili wanachadema waone namna anavyopendwa na wahanga wa matukio ya utekaji, hizo ni mbinu za siasa za kutafuta sympathy kutoka kwa wapiga kura, hata hiyo hoja ya kupigiwa simu na mtu...
  8. T

    Historia ya vyama vingi vya kisiasa Tanzania ni giza nene sana

    Uwanzishwaji na uwendeshaji wa vyama vya siasa vya Tz nigiza nene kiasi ukiingia nikama umenasa kwenye ulimbo usijuwe palitokea. Hakuna mtu atakaye nielewa kama hukuwahi kugoma kwenye vyuo huwezi nielewa ila nataka kusema nibora hata visingekuwepo maana huu ni mtego wa panya na hakuna...
  9. Waufukweni

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Mchungaji Peter Msigwa ni rafiki yangu, lakini nitamkabili Kisiasa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Tundu Lissu, amesema kuwa pamoja na kuwa na urafiki wa muda mrefu na Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, kwa sasa hawezi kumkwepa kumkabili kisiasa, kwani Msigwa amehamia chama pinzani na si mwanachama...
  10. Ojuolegbha

    Mbowe ni kiongozi anayekumaliza kisiasa badala ya kukuinua, na hili linaathiri maendeleo ya Chadema," alisema Tundu Lissu leo, Alhamisi, Disemba 12,

    Mbowe ni kiongozi anayekumaliza kisiasa badala ya kukuinua, na hili linaathiri maendeleo ya Chadema," alisema Tundu Lissu leo, Alhamisi, Disemba 12, 2024, wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Mlimani City. Lissu alieleza kuwa Freeman Mbowe ameongoza chama kwa muda mrefu...
  11. Tlaatlaah

    Rais Samia Suluhu ndie kiongozi pekee wa kisiasa Tanzania ambae ni kielelezo cha uzalendo na nembo ya umoja wa kitaifa na kimatafa

    Nia na dhamira yake njema ni ya wazi na yenye lengo la kuhakikisha umoja, amani na utangamano miongoni wananchi na Tanzania kwa ujumla, ni imara licha ya utofauti wa mirengo ya kisiasa au kidini, lakini kama Taifa tunabaki kua ndugu, jamaa na marafiki kwa maslahi mapana ya Taifa. Dr.Samia...
  12. X men

    KERO Nzega: Zahanati nyingi zina mhudumu mmoja, akipata dharura zinafungwa

    Habari wana JF. Leo napenda kuzungumzia kero ya huduma za Afya katika zahanati nyingi za mkoa wa Tabora. Kwa kipindi cha miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la ufunguzi wa zahanati mpya katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Tabora na maalum niizungumzie Halmashauri ya Nzega...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mtambue Shemsa Mohammed (M/K CCM Mkoa wa Simiyu) Katika Meza ya Viongozi Mashuhuri wa Kisiasa

    MTAMBUE SHEMSA MOHAMED M/KITI CCM MKOA WA SIMIYU KATIKA MEZA YA VIONGOZI MASHUHURI WA KISIASA DUNIANI Ameandika Comrade Msauzii (0769086992) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed Seif amekuwa kiongozi bora katika kukijenga chama cha Mapinduzi. Juhudi zake zinafananishwa na...
  14. M

    Askofu Shoo: Baadhi ya Sharika za KKKT Dayosisi ya Kaskazini Zinatumika Kisiasa

    NA SAMWEL JOHN LEMA Hivi karibuni Jimbo Kuu Katoliki jimbo la Nairobi lilikataa na kurejesha mchango wa fedha kutoka kwa Rais wa Taifa la Kenya Mhe William Samoei Ruto na Gavana Johnson Sakaja, likisema halitaki kutumika kisiasa. Askofu Mkuu Philip Anyolo, ambaye ndiye Askofu wa jimbo la...
  15. H

    Chanzo cha umaskini wa Waafrika ni viongozi wa kisiasa na wa kidini

    Habarini, Lengo kubwa la Waafrika kupigana vita dhidi ya wakoloni ilikuwa ni kurudisha ardhi na heshima yao ambazo zilikuwa zimechukuliwa na wanasiasa na viongozi wa dini wa kikoloni siyo kurejesha DEMOCRACY. Leo hii taasisi za kidini na wanasiasa ndiyo wanamiliki ARDHI na UTU kwa kumiliki...
  16. Mindyou

    Katibu Uenezi CCM Dodoma: Sio kila kifo kinahusiana na uhasama wa kisiasa. Kufa hakusimami katika kipindi cha Uchaguzi!

    Wakuu, Naona ile kauli ya kifo ni kifo inaendelea kufanyiwa kazi kazi ipasavyo na chama kimoja cha siasa hapa nchini. Hawa viongozi wa CCM huwa hawafanyiwagi vetting na kupewa semina on what cha kuzungumza na kwa wakati gani? ====== Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Kijana maskini unataka nyota yako ing'ae kisiasa na wakubwa wakuchague. Hivi ndivyo utakavyofanya

    KIJANA MASKINI UNATAKA NYOTA YAKO ING'AE KISIASA NA WAKUBWA WAKUCHAGUE. HIVI NDIVYO UTAKAVYOFANYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuna vijana maelfu kwa maelfu wapo kwenye siasa miaka na Miaka lakini hawatambuliki, hawajulikani, hawaonekani na zaidi wanaishia kuwa vibaraka vya wakubwa...
  18. Mindyou

    Bila Marekani na washirika wake, Tanzania kisiasa tungekuwa kama North Korea

    Wakuu, Ni dhahiri shahiri kuwa hakuna kitu Sisiemu wanaogopa kama Marekani na nchi za Ulaya. Kwa haya yanayoendelea ikiwemo wizi wa kura na kuua wapinzani ni wazi kuwa ingekuwa ni amri yao CCM ingekuwa imeshafuta upinzani. The only reason they are not doing it (kufuta upinzani) it's because...
  19. econonist

    Tanzania tupo kwenye mfumo wa chama kimoja ulioshirikisha vyama vingi

    Ni uongo kusema ya kwamba Tanzania inafuata mfumo wa vyama vingi. Ni kwamba serikali ya Mwinyi ya mwaka 1992 iliruhusu uwepo wa vyama vingi ndani ya mfumo wa chama kimoja. Na hili ndio tatizo, vyama vingi vipo ila mfumo ni wa chama kimoja. Ili mfumo uitwe wa vyama vingi inatakiwa yafuatayo...
  20. M

    Rais Samia alivyowanyima wapinzani agenda za kujijenga na kujiimarisha kisiasa

    Utendaji wa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia serikali ya awamu ya sita anayoiongoza umekua sumu kali kwa upinzani nchini kwani umewanyima wapinzani agenda za kusimama nazo kwenye majukwaa ya kisiasa kumnanga na kumshambulia. Zaidi wamebaki kufanya siasa za kibaguzi kwa kushambulia asili...
Back
Top Bottom