Shughuli za uwakili nchini Tanzania hufanywa kwa mujibu wa Sheria ya Mawakili (The Advocates Act) ambayo kimsingi, inatoa masharti, ikiwemo kuhudhuria shule ya sheria (Law School) na kisha kuapishwa na Jaji Mkuu baada ya kufaulu.
Huyu Robert Amsterdam hana leseni ya kufanya shughuli za sheria...
Kwa ujumla wamepata fundisho kuwa taifa letu linahitaji amani ndio maana kila mtanzania anataka kila hitaji la kisiasa lipatikane kwa amani.
Hakuna haja ya kulumbana na kuvutana juu ya suala lolote ambalo ni hitaji la kisiasa. Hakuna haja ya kuleta jazba na vitisho juu ya hitaji la kisiasa...
Rais Samia Suluhu Hassan anaipaisha Tanzania kimataifa kisiasa na kiuchumi.
Rais Samia Suluhu Hassan alianza na ‘Royal Tour’ kama sehemu ya kui - brand Tanzania katika uso wa dunia, na sasa safari hii ya New York pamoja na kuhudhuria Baraza la Umoja wa Mataifa na mikutano mingine, itatumika...
Nina mashaka kabisa kama kweli tuna jeshi la polisi hapa Tanzania kama siyo sehemu ya chama cha mapinduzi. Kwa sasa polisi bila haya wanatumika kisiasa kuilinda na kuitetea CCM huku wakikandamiza vyama viingine vya kisiasa.
Kama CCM wanakagua utekelezaji wa Ilani yao, ni kazi ya upinzani pia...
Changamoto ya afya ya moyo ya Mkuu wa tano wa utawala wa nchi yetu ilijulikana kwa kuchelewa sana (baada ya kifo chake) kuwa alikuwa na matatizo ya kiafya.
Changamoto ya afya ya moyo ambayo ndiyo iliyomlazimu (hili nina uhakika kabisa ukirejea utaalamu wa kiafya) asiweze kusafiri mbali kwa...
Masoud Kipanya, wengi tulianza kumfahamu miaka ya mwishoni mwa 1990 na miaka ya mwanzoni mwa 2000.
Kadiri miaka ilivyokwenda ndipo Masoud Kipanya aliendelea kuwa maarufu na kujulikana katika mambo mbalimbali, vijana wengi kumbukumbu yao kwa Masoud Kipanya ni kipindi cha Chuchu ambacho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.