Sioni future elekezi kwa Tundu Lissu, ipo haja na ulazima wa yeye Kuunda Chama Chake aachane na Chadema.
Chama Kipewe Jina UFD Kirefu Chake United Front for Democracy.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Kauli ya Lissu kuwa CHADEMA siyo mama yake anaweza kuhama ni kiashiria cha uwezekano wa kuhama CHADEMA
Kwa sababu hofu ya Mungu imekuwa kubwa kwa watu wengi siku hizi wameanza kumtumia Mungu kisiasa.
Kunq mqma mmoja namkumbuka aliwahi kuomba hadi analia Mungu afanye miujiza ya kumpa pesa wakati pesa alikuwa nayo ya kutosha. Lengo ilikuwa ni kuwaaminisha watu wa hapo nyumbani (wageni) wajue...
Nafuatilia mkutano wako ITV kwa wananchi uliouita ni Taarifa ya miezi 6 ya utekelezaji wa majukumu ya Serikali mkoani Arusha.
Lakini ninachosikia kupitia kwa waandishi kina Zembela uliowaandaa, maswali mengi kuhusu Matendo Yako binafsi kama Makonda.
Hakika ungesema uko kwenye kampeni za...
Watanganyika amkeni, hao wanasiasa na matapeli wa kidini kama shoo na wenzake wanagawana maokoto. Bado na ninyi mnawaamini na kuwapa sadaka na michango kujaza matumbo yao.
Hali ya elimu yetu ni mbovu sana. Kama taifa, hivi sasa tuko kwenye kilele cha mavuno ya matunda ya ubovu wa mfumo mzima wa elimu yetu.
Na bado huu ni mwanzo tu, kuna siku rais atakuja kuwekewa drip ya mafuta ya taa.
afrika
chanzo
elimu
elimu.
kesi
kilele
kimataifa
kisiasa
kuanguka
maghorofa
makundi
siasa
siri
ubovu
uchawa
umaskini
viongozi
viongozi wa kisiasa
vyama
vyama vya siasa
wingi
zao
Wanabariki utekaji.
Wanabariki uuwaji.
Wanabariki wizi wa kura.
Wanabariki majina feki.
Wanaiba hela za umma.
Wanafitinisha jamii.
Wanadhulumu maskini.
Haya na mengine mengi wanasiasa hawataiona pepo.
Inaripotiwa kwamba power struggle ya kumritithi dikteta mzee Teodoro Obiang Nguema wa Guinea mwenye miaka 82 aliyeitawala nchi hiyo kwa miaka 45 ndio chanzo cha kuvujishwa video za ngono za mpwa wake Baltasar Ebang.
Nadharia mojawapo ni makamu wa Rais wa Guinea ambaye ni mtoto wa Rais pia...
Raisi Samia amekuwa akiwatoa wasomi diplomasia ambao wanajua na kupendwa na kuweka machawa ambao hawasaidii nchi.
Mama Mulamula alitolewa baada ya kupata umashuhuri . Makamba baada ya woga wa Mama kisiasa. Sasa mama kabaki na makada machawa na watu anaowahopa .
Mkuu wa zamani wa usalama ni...
Misuguano kidogo tu polisi washatoa barua. Hii nchi ina mfumo wa vyama vingi na ni kawaida kushindana kisiasa.
Uchaguzi wa serikali za mitaa mnaandika barua za nini?
Mimi sio mfuasi wa chama chochote cha siasa ila kama mtanzania naona watu wanastahili kuwa na uhuru wa majadiliano na...
Mimi kama kijana mwenye ndoto zangu binafsi, mwenye maisha ya hali ya kawaida, mwenye mambo kibao ya msingi ambayo nahitaji kuya-achieve nilikaa chini na kufikiria ni mazingira gani natakiwa kujitengenezea ili niwe katika Ari nzuri ya kujipambania.
Katika kufanya research yangu ndogo nikaona...
Nimeona kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiwasema waislamu wanao mkosoa HMh Rais, kuwa kwa uislamu wao wasifanye hivyo.
Hapo naingia wasi wasi mkubwa kwa kiongozi wa juu kiserikali na kichama.
Mwenyezi Mungu ametupa macho na ufahamu ili tusifanye makosa hayo tena. History inatuambia hakuna mahali popote mauwaji ya kisiasa yalileta amani au mataifa hayo kuwa nabutulivu.
Mauaji yakisiasa ni sawa na time boom 💥 ndio maana ma diktator wengi walikufa vifo vibaya au mataifa mengi...
Mnada wa kwanza wa korosho uliofanyika 11/10/2024 ulifunguliwa kwa bei ya TSh 4150/= kwa kilo moja ya korosho. Kwenye mnada huu kulikuwa na tani chache sana za korosho. Ukafuata mnada wa pili ambapo bei ilishuka mpk kufikia TSh 3750/=, napo pia kulikuwa na tani chache sana za korosho. Bei...
Miaka mingi nyuma kabla ya kugombea mara tatu mfululizo kuwania urais wa Marekani, Donald Trump (78) alikuwa bilionea mwenye mbwembwe nchini Marekani.
Maisha ya tajiri huyo wa majengo huko New York yalikuwa kwenye magazeti ya udaku na runinga katika miongo kadhaa kabla ya mbio zake...
Ambao mmewahi kusafiri humu, hivi ukitaka kununua kitu kwa winga Dirishani unafanyeje?
Wale wenye uroho na walafi wa Kulakula hovyo wananunuaje mayai,karanga,mahindi na maembe?
Au abiria wa haya mabus ni wastaarabu ambao wanapaki supermarket kununua mahitaji ya njiani..
Mabus yanafanana na...
Shida ni nini?
-Elimu (mbona wengine wanaelimu kubwa hata maprof?)
-Uchawa
-Njaa (mbona wengine wanauwezo na ni matajiri kabisa?)
- Ashakum Si Matusi au ni AFYA YA AKILI?
Tanzania na Finland zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) kuhusu kufanya rasmi Mashauriano ya Kisiasa kati ya nchi hizo mbili. Uwekaji saini huo ulifanyika leo tarehe 09 Oktoba, 2024 jijini Helsinki na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo kwa niaba...
UNÀTAKA KUWA NA MVUTO KIJAMII, KISIASA AU KIUCHUMI ILI UPATE PESA AU MAFANIKIO? FANYA MAMBO HAYA KISHA NJOO UNISHUKURU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
MVUTO, mvutano. Kani au nguvu ya Uvutano.
Maisha ni Ñguvu ya Uvutano, MVUTO.
Kûna Aina Mbili za Uvutano (MVUTO)
1. MVUTO HASI
2. MVUTO...
Kama kawaida wakuu.
Sijawahi kumuona Mpanzu akicheza uwanjani kama ambavyo wana Simba wengi hawajawahi kumuona akicheza uwanjani.
Jana hotuba ya Mo akiwahutubia wwnachama alisema amesajili wachezaji 16 pia amemleta Mpanzu.
Yaani ktk wachezaji 16 mpanzu ni wa 17, katajwa kivyake. Ktk hao 16...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.