Kuna ukweli kiasi gani katika madai kwamba Zanzibar inaweka mfumo wa kisiasa na kiutawala ndani ya Tanganyika unaoweza kuiwezesha kuendelea kushikilia mamlaka kwa miongo kadhaa ijayo, hata pale ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakapokuwa anatoka Tanganyika?
Je, huu ni mkakati wa kisiasa unaoendelea kujengwa, au ni tafsiri inayotokana na namna mamlaka yanavyogawanywa na mifumo ya uongozi inavyoundwa ndani ya Muungano?
Je, huu ni mkakati wa kisiasa unaoendelea kujengwa, au ni tafsiri inayotokana na namna mamlaka yanavyogawanywa na mifumo ya uongozi inavyoundwa ndani ya Muungano?