Kamishna wa Polisi wa Israeli Danny Levy alitangaza kupungua kwa takriban 14% kwa mauaji ndani ya jamii ya Kiarabu tangu mwanzo wa 2026 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana.
Takwimu hizo ziliwasilishwa wakati wa mkutano uliohudhuriwa na makamanda wakuu wa polisi na maafisa. Levy...
Kiongozi wa muungano wa vyama vya kisiasa vya Waarabu anakataa kukiita Hamas kundi la kigaidi. Hawa ndio watu wanaotaka kushiriki katika serikali ya Israel. Wanapaswa kufukuzwa na kurudishwa Jordan! Yeyote aliyewapigia kura anapaswa kufukuzwa na kupelekwa akaishi Gaza.
Vyama vyote vya waarabu...
Israel: Kiongozi wa chama cha Ra'am, Mansour Abbas, anaashiria kuwa masharti yaliyowekwa na Gadi Eisenkot kwa ajili ya kuunda muungano hayatazuia chama chake kujiunga na serikali, kwa mujibu wa taarifa ya Channel 12. Masharti hayo manne ni Kuitambua Israel kama taifa la Kiyahudi na la...
Uchaguzi mkuu wa Israel uliofanyika mnamo Oktoba 27, 2026, umeacha taifa hilo katika sintofahamu kubwa ya kisiasa baada ya matokeo ya mwisho ya Kamati Kuu ya Uchaguzi (CEC) kuthibitisha kuwa hakuna upande uliopata ushindi wa wengi. Uchaguzi huu, ambao ulikuwa wa kwanza tangu mashambulizi ya...
Wakuu salaaaam. Ndivyo wanavyoonyesha hapa Aljazeera.
Je, kwa hiki kinachoonekana bado tu Netanyahu ameshindwa kama akina Ritz wanavyotaka kutuaminisha?
Alamusiki.
Kuna taarifa zinaendelea kufichuliwa baadhi ya Mashagala (house managers) kutoka Kenya wanaokwenfa kufanya kazi za ndani wanakutana na ajabu.
Imethibitika si nyumba moja tu hawa Waarabu wanafuga hii mijusi iguana na mfanyakazi wa ndani ndio anapaswa kumuogesha na kumuhudumia.
Sasa maswali ya...
Jengo la kihistoria la halmashauri ya mji wa Limoges limeporomoka kabisa baada ya waandamanaji wenye msimamo mkali wa kushoto kulichoma moto. Lilijengwa mnamo mwaka 1876. Lilinusurika kwenye Vita Vikuu vya Dunia
Si kila watu ni wa kuwaingiza nchi yako haijalishi hata kama watu wa kufanya kazi...
Nyie akina Kabudi, na kampuni yako. Kama siyo nyinyi, basi wanaonufaika na uhujumu wenu huu kuna siku mtajibu kwa watanganyika.
Mnabariki kuuza kila kitu as long as mnanufaika!
Time will tell!
Walioko Uarabuni wanasema ni vigumu kwa kijana mweusi kuwa na mahusiano ya mapenzi au kuzaa na binti wa Kiarabu na unaweza kuuwawa kabisa na familia yake wakijua una mahusiano ya mapenzi na binti yao.
Mwarabu mmoja huko Yudea na Samaria Ana mwaga maji machafu na kinyesi mtoni kwa majivuno na hata kujirekodi akifanya hivyo. "Wapalestina" wanahusika na aina zote za ugaidi. Wanaharibu kila kitu wanachokigusa.
Huu ni Ugaidi wa mazingira!!!
Jana niliona post, Mzungu aliuliza vijana wa Kenya kama wanamwamini Mungu. Vijana walimjibu kuwa hawamwamini Mungu ambaye anayekaa mbinguni, wala dini ya Ukristo wala uislamu bali wanamwamini Mungu aliye ndani yao ambaye ni wao wenyewe
Nilidhani comments za Wakenya zitakemea hili suala ila...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Uliwahi kuwa na boss Mzungu, mchina, Mwarabu?? What was your experience?? Siku boss wangu Mzungu anaondoka mwaka 2018, alitupa staki zote kwa mujibu wa sheria plus 900,000/= kila mmoja wetu kutoka katika akiba yake baada ya kuuza assets zote na kurejea kwao Denmark...
Marekani imeidhinisha uuzaji wa makombora 5,250 ya Patriot na THAAD kwa Bahrain, Kuwait, Qatar na Falme za Kiarabu kama sehemu ya juhudi kubwa ya kujaza akiba ya ulinzi wa anga wa Ghuba.
Hatua hii inafuatia matumizi makubwa ya vizuizi vya makombora ili kukabiliana na mashambulizi ya makombora...
Ukoloni Zanzibar haukuanzia kwa waingereza bali kwa walowezi waarabu wa Omani ambao walihamia zanzibar pamoja na ndugu ya sultani wao ambapo walimuweka akawa sultani wa zanzibar na kuanzisha utawala wa ukoloni wa kilowezi wa kiarabu.
Waomani hao wakatawala eneo la zanzibar na pwani ya afrika...
Kama ni Uhuni basi alianza Mwarabu kwa kutuuza kama nyanya kupitia biashara ya Utumwa
Mtanzania ameumbwa kuonewa na kusamehe inawezekana hii ni laana
Kuuzwa kama nyanya, na kuuwawa na watumwa kwa kukatwa shingo kwakutumia sime hayo ndiyo waliyofanya Waarabu
Leo hii wamejaa Tanzania na kudai...
Ukiachana na wachache kama kina Bakhresa, makundi hayo kazi ni msuli tembo lakini hadi hio hela umeipata ni kwa manyanyaso sana.
Boss tajiri lakini ukichunguza mishahara wanayowalipa wafanyakazi wao unabaki shangaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.