Sasa masuala ya kulombana si ni maamuzi tu ya mtu...Kuna familia bongo hapa ukienda si mtu wa kabila hilo hawakupi mke.Walioko Uarabuni wanasema ni vigumu kwa kijana mweusi kuwa na mahusiano ya mapenzi au kuzaa na binti wa Kiarabu na unaweza kuuwawa kabisa na familia yake wakijua una mahusiano ya mapenzi na binti yao.
View attachment 3676114
Mfano makabila gani watu wake wanapigwa vita kuoana kwetu sisi weusi ?Kuua ni propaganda, ila hata sisi weusi pia kuna makabila yapigwa vita kuoana na hata kuwa na mahusiano, sema sisi wamatumbi tunapenda kulia lia tu na taratibu za wengine dhidi yetu
Sio tu dunianiRangi nyeusi inadharaulika sana duniani.
Hutu na tusi , hadzabe na makabila yoteMfano makabila gani watu wake wanapigwa vita kuoana kwetu sisi weusi ?
Hakuna..Sio tu duniani
Nitajie nabii alietumwa na Mungu iwe kwenye biblia u kwenye Qur an ambae alikuwa mweusi?
kama mwanamke wa kiarabu au wa kizungu hapendi kuwa na mahusiano na mwanaume mweusi utamlazimisha?Ukishasema ni maamuzi ya mtu halafu tena unazungumzia familia na kabila hapo unakuwa unajichanganya.
Halafu kuna mtu anakwambia watu wote ni sawa....Hakuna..
Sipatii picha yesu angekuwa mwafrika
Haujawahi kusikia wachaga weusi nao wakidai ni waisrael?Eti wa zenji weusi nao wanajiita waarabu.
Ila wazenji jau. Njemba black balaaa mbantu na liarabu chake broken cha kukariri dah.Haujawahi kusikia wachaga weusi nao wakidai ni waisrael?
Hahaha hata wachaga black kabisa na pua yake pana kama kisado anadai ni myahudiIla wazenji jau. Njemba black balaaa mbantu na liarabu chake broken cha kukariri dah.
Yeah na utajiri wao unarithiwa kwa koo na damu zao tuTujifunze kupenda pale tunapopendwa na kuheshimika. Mimi ni mweusi siwezi kufosi kupendwa na familia ya watu weupe ili hali wao si preference yao kuchanganya damu na watu weusi. Wapo wanawake wengi wa kiarabu wa Yemen, Egypt,oman ,Palestine, Syria na hata Iraq wanakubali kuolewa na watu weusi. Ila nchi za Ghuba za uajemi kuwait,Qatar,bahrain,UAE na pia Jordan na Saudi Arabia huwa hawapendi kuchanganya damu na watu weusi.
Ni watu wanaooana kwa kutizama Nasaba (koo/familia)