Miss_deejjah
Senior Member
- Jul 17, 2026
- 167
- 355
Hawataki asili Yao ipotee kimaumbile kama rangi, nywele pua, mwarabu akizaa na mtu mweusi kitoto kitatoka mixer asili Yao inapotea
vipi kuhusu yule mke wa myoto wa mfalme alie oa mtu kutoka nje ya ufalme kabisa tena ni masikinicorrect wenyewe kwa wenyewe unaweza kukuta hawaoleani...yaani ukitaja unatokea kabila fulani/koo flani basi huwezi pewa mke.
Mfano ukitokea koo yenye hadhi ya chini basi huwezi pewa mke aliyezaliwa katika koo au kabila lente nguvu. Ipo hivyo hata kwa wazungu huwezi kwenda kuoa katika familia ya mfalme Charles ikiwa wewe si katika familia ya kifalme.
Hehehehe huyu inawezakuwa hehehe.MWAMPOSA
😂😂😂Sio tu duniani
Nitajie nabii alietumwa na Mungu iwe kwenye biblia au kwenye Qur an ambae alikuwa mweusi?
Hata kusalishwa msikitini mtu mweusi marufuku kwasababu hawauamini uislamu wakeTujifunze kupenda pale tunapopendwa na kuheshimika. Mimi ni mweusi siwezi kufosi kupendwa na familia ya watu weupe ili hali wao si preference yao kuchanganya damu na watu weusi. Wapo wanawake wengi wa kiarabu wa Yemen, Egypt,oman ,Palestine, Syria na hata Iraq wanakubali kuolewa na watu weusi. Ila nchi za Ghuba za uajemi kuwait,Qatar,bahrain,UAE na pia Jordan na Saudi Arabia huwa hawapendi kuchanganya damu na watu weusi.
Ni watu wanaooana kwa kutizama Nasaba (koo/familia)
Mussa Zungu au mussa yupi???Mussa