Kwa nini Waarabu hawapendi kuwa na mahusiano na watu weusi?

Rangi nyeusi inadharaulika sana duniani.
kuna waafrika ni weupe mfano wanyaturu, warangi na wambulu, hawa nao wanaweza kubaguliwa kwa rangi zao? Kuna raia mmoja mtanzania huko misri anafanya kazi huko, ni mnyaturu na mke wake ni msandawi, wote ni weupe na wamezaa watoto weupe utadhani ni waarabu wa misri. Wakivaa hijabu unaweza kudhani ni waarabu. Sasa hawa watabaguliwa vipi na waarabu wakati wanafanana nao weupe?
 
Hutu na tusi , hadzabe na makabila yote
Wahutu na Watusi wamekuwa wanaoana miaka yote (pia hawakuwa kama makabila tofauti bali watu katika madaraja mawili tofauti ya uchumi ndio maana hata lugha ni moja.

Hakuna mtu anayezuiwa au atakayebaguliwa kwenda kuoa au kuolewa kwa Wahadzabe nchi hii. Ubaguzi uliopo Tanzania kwenye kuoa labda wa dini.
 
Tujifunze kupenda pale tunapopendwa na kuheshimika. Mimi ni mweusi siwezi kufosi kupendwa na familia ya watu weupe ili hali wao si preference yao kuchanganya damu na watu weusi. Wapo wanawake wengi wa kiarabu wa Yemen, Egypt,oman ,Palestine, Syria na hata Iraq wanakubali kuolewa na watu weusi. Ila nchi za Ghuba za uajemi kuwait,Qatar,bahrain,UAE na pia Jordan na Saudi Arabia huwa hawapendi kuchanganya damu na watu weusi.

Ni watu wanaooana kwa kutizama Nasaba (koo/familia)
Kwa nini Waarabu hasa wa Gulf hawapendi kuchanganya damu na watu weusi ?
baba-mwajuma
 
Yeah na utajiri wao unarithiwa kwa koo na damu zao tu
correct wenyewe kwa wenyewe unaweza kukuta hawaoleani...yaani ukitaja unatokea kabila fulani/koo flani basi huwezi pewa mke.

Mfano ukitokea koo yenye hadhi ya chini basi huwezi pewa mke aliyezaliwa katika koo au kabila lente nguvu. Ipo hivyo hata kwa wazungu huwezi kwenda kuoa katika familia ya mfalme Charles ikiwa wewe si katika familia ya kifalme.
 
Walioko Uarabuni wanasema ni vigumu kwa kijana mweusi kuwa na mahusiano ya mapenzi au kuzaa na binti wa Kiarabu na unaweza kuuwawa kabisa na familia yake wakijua una mahusiano ya mapenzi na binti yao.
View attachment 3676114
Tabia za watu weusi zinajisema wenyewe!
Unajua MTU MWEUSI ANAUA MWENZAKE ILI MWEUPE AKAE KWA AMANI?

UNAJUA MTU MWEUSI ANAKATA VIUNGO VYA MWENZAKE ILI APATE UTAJIRI WA KUNUA SIMU ILIYOTENGENEZWA NA MTU MWEUPE?​
UNAJUA Mtu mweusi ananunua mafuta na kujipaka ili awe mweupe?

Kwanini mwarabu aoe mtu mweusi anayetaka kuwa mweupe, mtu mweusi anayejiongelesha na kusali kama mweupe, si bora achukue mweupe moja kwa moja?
 
kuna waafrika ni weupe mfano wanyaturu, warangi na wambulu, hawa nao wanaweza kubaguliwa kwa rangi zao? Kuna raia mmoja mtanzania huko misri anafanya kazi huko, ni mnyaturu na mke wake ni msandawi, wote ni weupe na wamezaa watoto weupe utadhani ni waarabu wa misri. Wakivaa hijabu unaweza kudhani ni waarabu. Sasa hawa watabaguliwa vipi na waarabu wakati wanafanana nao weupe?
Utaulizwa chimbuko lenu ni kabila lipi?
 
correct wenyewe kwa wenyewe unaweza kukuta hawaoleani...yaani ukitaja unatokea kabila fulani/koo flani basi huwezi pewa mke.

Mfano ukitokea koo yenye hadhi ya chini basi huwezi pewa mke aliyezaliwa katika koo au kabila lente nguvu. Ipo hivyo hata kwa wazungu huwezi kwenda kuoa katika familia ya mfalme Charles ikiwa wewe si katika familia ya kifalme.
Rachel Meghan Markle hatoki ukoo wa ufalme.
 
Kwa nini Waarabu hasa wa Gulf hawapendi kuchanganya damu na watu weusi ?
baba-mwajuma
wanalinda umoja wa kifamilia na mali pia.

Waarabu wanaoa kwa kufats sheria ya kiislam ambayo inaruhusu ndoa za kibinamu. Yaani mtoto wa baba mkubwa anaoa au kuolewa na mtoto wa baba mdogo na vice versa.

Hapa udugu wa familia unazidi kuwa na nguvu na pia mali za familia hazipotei. Sio jambo baya..huu utaratibu pia umetumiwa na familia za falme za wazungu kwa miaka mingi. Unasikia Duke wa rothesay amemuoa princess Margaret Tudor wa kingdom of England.
 
Hapo umeongelea Waarabu wenye pesa tu, vipi kuhusu Waarabu wasio na pesa na mali lakini hawapendi mahusiano kati ya Waarabu na watu weusi?
 
Kwa nini Waarabu hasa wa Gulf hawapendi kuchanganya damu na watu weusi ?
baba-mwajuma
Waarabu gani exactly? Saudia Ambao 10% ni weusi? Oman Ambao karibia nusu ni weusi? Kuwait?

Gulf imejaa weusi, kuna Ratio kubwa ya watu weusi Gulf kuliko nchi za Ulaya na North America.

Tushawahi discuss hii issue Wala si mara moja, nchi za Gulf kuna weusi wengi na pia sio wanyonge, wanakuwa masultan, ma CEO wakubwa wakubwa na vyeo vingine ambayo kokote pale duniani hukuti weusi wakipewa preference hizo.
 
Kwa nini Waafrika weusi waliotoka Africa walioko Uarabuni hawachukuliwi kwa uzuri kuwa na mahusiano na Waarabu hasa vijana kuwa na mahusiano na wanawake wa Kiarabu?
 
Back
Top Bottom