Kwa nini Waarabu hawapendi kuwa na mahusiano na watu weusi?

Kwa nini Waarabu hawapendi kuwa na mahusiano na watu weusi?

Kwa nini Waafrika weusi waliotoka Africa walioko Uarabuni hawachukuliwi kwa uzuri kuwa na mahusiano na Waarabu hasa vijana kuwa na mahusiano na wanawake wa Kiarabu?
Sio wa Africa wote ni culture issue kuliko rangi, same reason kwanini wa Algeria wanazamia Ufaransa kuliko Marekani ama nchi za Kiarabu. Ni culture.

Kwetu hapa Tanzania hasa visiwani na ukanda wa Pwani tunafanana culture na Oman, je hakuna watanzania Oman? Hakuna weusi wa Zanzibar wanaooa waarabu? Una mifano wa ma sultan waliopita wote Zanzibar na Oman wakiwa ni weusi kabisa na wanaheshimiwa na status kubwa.

Same kwa saudia, wakati wa ukoloni hata kabla Al Saud hajafanya mapinduzi Wanigeria (Hausa) na makabila mengine ya west Africa kama Fulani wakakimbilia Hijaz, Al Saud alipofanya mapinduzi walikua ni wa kwanza kumuunga mkono na kutengeneza kabila linaloitwa Hawsaw (kutoka neno Hausa), Leo Hawsaw ni kabila kubwa inakadiriwa wapo around Milioni 1, Hawsawi ana culture sawa na mwarabu wa saud, si tu kwamba wanaoa waarabu Bali ni watu Ambao wanaaminiwa sana na familia ya kifalme kuanzia kwenye matukio ya kigaidi ya saudia, kwenye ma CEO wa makampuni, ma injinia, ma Doctor etc utawakuta kwa wingi sana. Hausa waliweza ku integrate kirahisi sababu tayari walikua wanajua Kiarabu, wana practice uisilamu, mavazi na mambo mbalimbali kwao hayakua mageni.

Mifano ipo mingi Kuwait, Iraq, Syria, palestina na kwengineko.

Ukiwa na akili zako za ki "Hollywood" kwamba utafika kule utapata mtoto wa geti Kali mutaoana mwisho wa siku unakuta disappointed. Na hili si kwa weusi tu sio wachina, wahindi, Warusi, wazungu wengine, walatin etc hawaoi kirahisi kule, lakini unakuta wairan, wagiriki, wa Armenia, waturuki, na some Extent wapakistan wame intergrate vizuri to their corresponding culture
 
Sio tatizo kama wewe mtu binafsi utasema hutaka kuwa na mahusiano na mtu wa rangi au dini fulani ila inapofikia kiwango cha jamii, familia au kabila kwa ukubwa kupinga au kutatiza mahusiano kati ya watu kwa sababu ya rangi au dini hiyo ni shida.
huo ni mkanganyiko...Kama mtu binafsi sio shida, then mtu mwingine akiwa na mtazamo kama huo sio shida...tayari wanekuwa wawili then watu wa ukoo kila mmoja akiwa na mtazamo huo pia sio shida mpaka wanaunganika kuwa watu wa jamii nzima wenye mtazamo huo.

Tuheshimu maamuzi ya watu na tuache kulialia ubaguzi sababu ya mbususu.

Mungu kaumba wanawake wengi wa kufanana na sisi kuanzia rangi mpaka lugha. So tusijitaabishe kutaka watu wa rangi na mataifa mengine. Ubaguzi wa kwanza tunao wenyewe tunapoanza kusema...Mimi siwezi kuoa mwanamke wa kabila langu...ukiulizwa sababu huna zenye mashiko. Unaendelea kusema mimi siwezi au sitaki kuoa mwanamke mweusi..ukiulizwa sababu huna.

Ila views kama hizi wakiwa nazo waarabu, wahindi, wazungu, wachina n.k tunatoka kulalamika kubaguliwa.
 
Musa ni Character wa Kiyahudi
Ashkenazi Jews (Ambao sio wayahudi wa asili Bali wa kubadili dini) wana skew perception ya watu wengi kuhusu wayahudi.

Wayahudi wa asili wapo weusi kibao, una mfano unao predate kuja kwa Musa wa Suleiman na Sheba ila still utaamini tu propaganda za wazungu.
 
Asians wote wabaguzi sn kwa watu weusi,ajabu ni kwamba wanawake weusi wanawataka kimapenzi,ila dada zao hawataki nao.
Miaka fulani nipo india New Delhi,,ilikuwa kupata mwanamke ni ngumu sana,
Ikawa tunakwenda sehem fulani inaitwa GB ROAD,,huko wanawake wakihindi wanajiuza,sasa ikawa tukiingia humo kila round 1 ni rupees 50, lakini mtu anakaa hata saa nzima anapiga goli double double 3 kwa moja,,,basi ikawa nongwa sn,,kaka zao wahindi hawapendi,,ikawa tukionekana tu watu weusi tumezama humo kununuwa papuchi,wanaibuka police wa kihindi ghafla wanafanya ambush na target no moja ni mtu mweusi,,

Utakula magongo ya kichwa hata akili zikukae sawa,,ila wakiwa wenyewe wahindi police hawafiki wala hawasumbui..
Wadosi nao kavu sn
 
Wahutu na Watusi wamekuwa wanaoana miaka yote (pia hawakuwa kama makabila tofauti bali watu katika madaraja mawili tofauti ya uchumi ndio maana hata lugha ni moja.

Hakuna mtu anayezuiwa au atakayebaguliwa kwenda kuoa au kuolewa kwa Wahadzabe nchi hii. Ubaguzi uliopo Tanzania kwenye kuoa labda wa dini.
Suala la ukabila kwenye suala la kuoana lipo sana tu ndani ya nchi hii sema sisi vijana wa siku hizi tumekuwa na viburi hatufuati matakwa ya wazazi wetu.
 
Hiyo ipo pia kwa Wahindi.

Yaani kwa Wahindi, mhindi kuoa au kuolewa na mtu mweusi, anatengwa na jamii yote ya wahindi, na anatakiwa kutengwa pia hata na wazazi wake. Endapo wazazi wake hawatajitenga na huyo mtoto wao, nao watajumuishwa na mtoto wao, nao watatengwa.

Ndiyo maana ikionekana mzazi ameshindwa kuzuia mahusiano ya mtoto wao na mtu mweusi, wapo tayari kufanya njama za kumwua huyo mtu mweusi, kama ilivyowahi kutokea miaka ya 1980 huko Iringa ambapo wazazi wa binti wa kihindi waliposhindwa kumzuia binti yao kutokuwa na mahusiano na kijana wa kiafrika, tena huyo kijana wa kiafrika alikuwa akitoka kwenye familia rafiki kabisa na hiyo familia ta kihindi, kaka wa binti wakawatafuta majambazi yamwue yule mswahili. Bahati nzuri walipombonda wakadhani amekufa kumbe alikuwa amezimia, alipoamka na kusaidiwa, aliwakumbuka waliohusika, nao walipokamatwa wakaeleza kuwa walikuwa wametumwa na kulipwa na kaka zake wa huyo binti wa kihindi.
 
Hivo vitabu vime andikwa na hao hao ulitegemea waku andike kwenye vitabu vyao?
Kwani nyie kama mna manabii wenu nini kimewashinda kuwaandika!
Hebu oredhesha manabii weusi unaowajua walitumwa na Mungu kwa jamii yenu ya watu weusi.
Nje ya biblia na Qur ani
 
Hiyo ipo pia kwa Wahindi.

Yaani kwa Wahindi, mhindi kuoa au kuolewa na mtu mweusi, anatengwa na jamii yote ya wahindi, na anatakiwa kutengwa pia hata na wazazi wake. Endapo wazazi wake hawatajitenga na huyo mtoto wao, nao watajumuishwa na mtoto wao, nao watatengwa.

Ndiyo maana ikionekana mzazi ameshindwa kuzuia mahusiano ya mtoto wao na mtu mweusi, wapo tayari kufanya njama za kumwua huyo mtu mweusi, kama ilivyowahi kutokea miaka ya 1980 huko Iringa ambapo wazazi wa binti wa kihindi waliposhindwa kumzuia binti yao kutokuwa na mahusiano na kijana wa kiafrika, tena huyo kijana wa kiafrika alikuwa akitoka kwenye familia rafiki kabisa na hiyo familia ta kihindi, kaka wa binti wakawatafuta majambazi yamwue yule mswahili. Bahati nzuri walipombonda wakadhani amekufa kumbe alikuwa amezimia, alipoamka na kusaidiwa, aliwakumbuka waliohusika, nao walipokamatwa wakaeleza kuwa walikuwa wametumwa na kulipwa na kaka zake wa huyo binti wa kihindi.
Waafrika Kwa kupenda kulialia huo muafirika hata sisi wenyewe hatuutaki Kila siku kununua makemikali na kujikobia ili tuwe weupe ,wake zetu kutwa kujishonelea minyere ya marehemu kichwani eti afanane na waarabu na wazungu.

Ilhivi mpaka unganganie kuwa kwenye mahusiano na mtu ambayo familia yake haikutaki wanawake dunia hii imeisha.
 
Back
Top Bottom