Sio waarabu tu hata leo hii binti wa kisukuma akiolewa na mchaga...siku likitokea jambo ukweni akifika kule lazima wamtreat kama mgeni kuna vitu vingi havi match,mfano lugha ( wachaga wakiwa kwao wanaongea sana kichaga), vyakula, uchangamfu ule wa asili kwa ndugu wa mume huwa hakuna, mila na desturi za kichaga ni mbali na za kisukuma.
Kama ni mwanaume akienda kuos kabila lingine basi akifa utajiri nao unahama kuelekea kabila alilooa.
Ndio maana unaona waarabu, wahindi n.k wanaozeshana wao kwa wao..ili kulinda mila,lugha, destruri ,mali na koo zao